Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaweweseka wakiskia hii.
Hapo msahau.........na isitoshe kwa sasa hivi mnafanya vitu kwa presha ya Tanzania hii ni dalili tosha kuwa mshapotea...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] poleni sana mda ushawapitaBOOM!! [emoji23][emoji23]Wanaweweseka wakiskia hii.
Shida yenu.Hapo msahau.........na isitoshe kwa sasa hivi mnafanya vitu kwa presha ya Tanzania hii ni dalili tosha kuwa mshapotea...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] poleni sana mda ushawapita
Sent using Jamii Forums mobile app
Did u see the locomotives to be procured there will be some few diesel engines too!Shida yenu.
SGR yetu already iko functional na tunapanga ku upgrade to electricity. Yaani treni zetu zitakua zikitumia both diesel and electricity at our own convenience. Nyinyi stima ikiwa shida treni zitakwama jangwani kwa muda [emoji23][emoji23][emoji23]
Good for you then. Leave the Kenyan SGR to Kenyans. Nyinyi bado hamnaDid u see the locomotives to be procured there will be some few diesel engines too!
Sisi tunajenga the modern electric bullet train in africa, yajayo yanafurahisha👏👏👏🇹🇿🇹🇿Good for you then. Leave the Kenyan SGR to Kenyans. Nyinyi bado hamna
Sahau kuhusu hilo. . .. .Shida yenu.
SGR yetu already iko functional na tunapanga ku upgrade to electricity. Yaani treni zetu zitakua zikitumia both diesel and electricity at our own convenience. Nyinyi stima ikiwa shida treni zitakwama jangwani kwa muda [emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunajenga the modern electric bullet train in africa, yajayo yanafurahisha[emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241]
Mtakwama jangwani. Waulize wahabeshi
Baba yenu anauza mashamba ili ajenge nyumba ya gorofa kama ya jirani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amegundua jumba alilojenga mwanzo halimfai[emoji23][emoji23] sasa tatzo lake amesahau kuwa gorofa inaanza kujengwa kuanzia msingi yy anataka kuliungia juu kwaju, atawamaliza huyu mzee na mashamba yote mtapoteza.WIVU KIDONDAGood for you then. Leave the Kenyan SGR to Kenyans. Nyinyi bado hamna
Mkimaliza kujenga mrudi hapa kama wanaume,for now ni kelele mnapiga tu.Baba yenu anauza mashamba ili ajenge nyumba ya gorofa kama ya jirani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amegundua jumba alilojenga mwanzo halimfai[emoji23][emoji23] sasa tatzo lake amesahau kuwa gorofa inaanza kujengwa kuanzia msingi yy anataka kuliungia juu kwaju, atawamaliza huyu mzee na mashamba yote mtapoteza.WIVU KIDONDA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitambo sana niliwaambia waKenya ni watu wa ajabu. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average african/tanzagizan. Watu wa kuona mbele.Baba yenu anauza mashamba ili ajenge nyumba ya gorofa kama ya jirani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amegundua jumba alilojenga mwanzo halimfai[emoji23][emoji23] sasa tatzo lake amesahau kuwa gorofa inaanza kujengwa kuanzia msingi yy anataka kuliungia juu kwaju, atawamaliza huyu mzee na mashamba yote mtapoteza.WIVU KIDONDA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wakenya ni watu ww ajabu hapo nakubali.Kitambo sana niliwaambia waKenya ni watu wa ajabu. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average african/tanzagizan. Watu wa kuona mbele.
Wakati SGR inaundwa it was envisaged that later, it will be electrified. Hatujawai fanya vitu kwa kufuata Tanzagiza. Mtatusubiria sana. Ni ukweli tuu
Zingatia mada. Ulinipoteza baada ya waKenya kuwa watu wa ajabuKweli wakenya ni watu ww ajabu hapo nakubali.
Ni mtu anayegawa ardhi halafu anaomba chakula huyo ndo mkenya.
Ni mtu anayeweka bandari muhimu ili aombe msaada huyo ndo mkenya.
Ni mtu anayejisifu kujua kiingereza kuliko lugha zake za asili yako hayupo proud ya vyake.
Mjuaji hata hasivyojua yani ni tajiri wa ubishi na maskini wa mawazo chanya.
Anawaza kufanya fumanizi aue mke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkimaliza kujenga mrudi hapa kama wanaume,for now ni kelele mnapiga tu.
Zingatia mada. Ulinipoteza baada ya waKenya kuwa watu wa ajabu
No wonder huyo dada yuko kwenu Tanzagiza.I'm telling u, kuna mkenya nipo nae hapa she is my job mate here.Anakubali kuwa they are lost kwenye SGR. And father attempt to correction will cause total lost. Hata ww unajua hilo lakin hutosema ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe utamsikiza mhandisi ama huyo dada?I'm telling u, kuna mkenya nipo nae hapa she is my job mate here.Anakubali kuwa they are lost kwenye SGR. And father attempt to correction will cause total lost. Hata ww unajua hilo lakin hutosema ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Good for you then. Leave the Kenyan SGR to Kenyans. Nyinyi bado hamna