Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hapo msahau.........na isitoshe kwa sasa hivi mnafanya vitu kwa presha ya Tanzania hii ni dalili tosha kuwa mshapotea...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] poleni sana mda ushawapita

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yenu.

SGR yetu already iko functional na tunapanga ku upgrade to electricity. Yaani treni zetu zitakua zikitumia both diesel and electricity at our own convenience. Nyinyi stima ikiwa shida treni zitakwama jangwani kwa muda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Did u see the locomotives to be procured there will be some few diesel engines too!
 
Sahau kuhusu hilo. . .. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good for you then. Leave the Kenyan SGR to Kenyans. Nyinyi bado hamna
Baba yenu anauza mashamba ili ajenge nyumba ya gorofa kama ya jirani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amegundua jumba alilojenga mwanzo halimfai[emoji23][emoji23] sasa tatzo lake amesahau kuwa gorofa inaanza kujengwa kuanzia msingi yy anataka kuliungia juu kwaju, atawamaliza huyu mzee na mashamba yote mtapoteza.WIVU KIDONDA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkimaliza kujenga mrudi hapa kama wanaume,for now ni kelele mnapiga tu.
 
Kitambo sana niliwaambia waKenya ni watu wa ajabu. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average african/tanzagizan. Watu wa kuona mbele.

Wakati SGR inaundwa it was envisaged that later, it will be electrified. Hatujawai fanya vitu kwa kufuata Tanzagiza. Mtatusubiria sana. Ni ukweli tuu
 
Kweli wakenya ni watu ww ajabu hapo nakubali.
Ni mtu anayegawa ardhi halafu anaomba chakula huyo ndo mkenya.

Ni mtu anayeweka bandari muhimu ili aombe msaada huyo ndo mkenya.

Ni mtu anayejisifu kujua kiingereza kuliko lugha zake za asili yako hayupo proud ya vyake.

Mjuaji hata hasivyojua yani ni tajiri wa ubishi na maskini wa mawazo chanya.
Anawaza kufanya fumanizi aue mke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zingatia mada. Ulinipoteza baada ya waKenya kuwa watu wa ajabu
 
I'm telling u, kuna mkenya nipo nae hapa she is my job mate here.Anakubali kuwa they are lost kwenye SGR. And father attempt to correction will cause total lost. Hata ww unajua hilo lakin hutosema ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
No wonder huyo dada yuko kwenu Tanzagiza.
 
I'm telling u, kuna mkenya nipo nae hapa she is my job mate here.Anakubali kuwa they are lost kwenye SGR. And father attempt to correction will cause total lost. Hata ww unajua hilo lakin hutosema ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe utamsikiza mhandisi ama huyo dada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…