Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

That is obvious, corruption was everywhere and Tanzanians will pay for all those diabolical projects. However the current president should revisit all projects both complete and uncompleted for reevaluation.
That's right but Mr President must make himself clear of doubt before deciding so as he can not put the country into hostility with big potatoes.Hence not every project signed by his predecessors was corruptive
 
That is obvious, corruption was everywhere and Tanzanians will pay for all those diabolical projects. However the current president should revisit all projects both complete and uncompleted for reevaluation.
The first thing Magufuli and his team did, was to go through each and every contract past and present, looking for anything which indicate corruption or unfavorable conditions. That's why, you saw Dangote been revisited, mining company paying more tax, revoke licenses and cancelling title deed from speculative land grabbers and so on.
 
Haya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km

Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b

Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.
 
Its telling us most of construction projects previous awarded to Chinese could have sort corruption!!!

The incidence could have diplomatic consequences.
Mbona waswahili hamjiamini?
 
Haya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km

Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b

Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.
That means the whole project Bill of quantities need to be reivisited and find out whether there is a posibilitites of exagerating the real cost of project.
 
Are you talking about this sharks of yours
81343119fe15150038a422b2225104fa.png
these horrors should even cost free of charge
Haya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km

Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b

Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.
 
Wakenya hawajui hesabu? Ni kweli hawajui cost/km wameliwa big time! $6.9/km as compared to less than $4/km
 
3 billion?? Are you on your total sense?

(CNN)It's been billed as the most ambitious project in Kenya since it gained independence in 1963.

Now, the first section of the east African nation's $13.8 billion railway is nearly finished. Kenya's $13 billion East Africa railway - CNN.com

Nyie huwa mnajifanya ndio geniuses wa East Africa lakini hiyo project yenu namna mlivyopigwa mmeonesha ni namna gani mlivyo weupe kichwani, hizo scrapers hazina hata thamani ya Shilingi tatu.
Haya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km

Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b

Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.
n
 
Mmepigwa cha kike cha almost billion 14 dollars unasema billion 3 hahaha kweli unaota.
 
3 billion?? Are you on your total sense?

(CNN)It's been billed as the most ambitious project in Kenya since it gained independence in 1963.

Now, the first section of the east African nation's $13.8 billion railway is nearly finished. Kenya's $13 billion East Africa railway - CNN.com

Nyie huwa mnajifanya ndio geniuses wa East Africa lakini hiyo project yenu namna mlivyopigwa mmeonesha ni namna gani mlivyo weupe kichwani, hizo scrapers hazina hata thamani ya Shilingi tatu.
n

Kingereza huwa kinawatatiza sana Watanzania, Nyerere aliwaponza kwa kuwasindika ndani ya kapu moja la lugha ya Waarabu hadi mnaonekana kama mabumbumbu wa kiaina. Na ndio imewafanya mnaona kama Kenya tumeliwa kwenye suala la reli wakati mahesabu tumeyapiga kwa umakini mkubwa sana.

Soma hayo makala upya, rudia kuyasoma kama mara kumi au uombe mtu akutafsirie. Utapata kuelewa hiyo $13 billion inahusu nini.
Ujenzi wa kilomita 609 pamoja na vidubwasha vyote vinatugharimu $3.8B
 
Wewe umeshawehuka na mnyuko wa 14$ billion sasa unajifariji kwa vihesabu vya kipumbavu visivyo na kichwa wala miguu go figure out how cnn comes out with those 13$ billion then compare to your zero brain of 3$billion pathetic,

kusema nilikosea number 1 ya mwanzo sio ujinga. Hahahah 3$ billion?? Come build for me to my toilet.

Believe me these shits of yours are dilapidated unspeakably and seasoned as hell even Kenyans know that.
That piece of engineering, soma data zake ndio uje kubwabwaja upumbavu hapa, unafikiri hii ni ile milegezo yenu ya singeli.
 
Haya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km

Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b

Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.

Hahaha!! Niliaona hili lakini nikasema wacha niachie MK254 ama Kafrican awaumbue watani maana mimi ningejaza mitusi hadi post ipoteze maana yake. Hivi Geza Ulole yu wapi?
 
Wewe umeshawehuka na mnyuko wa 14$ billion sasa unajifariji kwa vihesabu vya kipumbavu visivyo na kichwa wala miguu go figure out how cnn comes out with those 13$ billion then compare to your zero brain of 3$billion pathetic,

kusema nilikosea number 1 ya mwanzo sio ujinga. Hahahah 3$ billion?? Come build for me to my toilet.

Nimekuambia umtafute mtu akusomee hayo makala ya CNN maana yameandikwa kwa Kingereza usichokijua au kukielewa, usaidiwe kuelewa hiyo $13b iliyotajwa hapo inahusu nini na ninayotaja $3.8b inahusu nini. Kwa jinsi mlivyo vila.za na ung'ang'anizi usiokua na tija bila aibu, hutaki kushughulika uelewe data, unaendelea kuanika upumbavu kwa jinsi ulivyokaririshwa.
Ongezea na akili zako jameni, yaani nyie ni aibu tupu, huwa mnadharilisha nchi yenu sana. Ni bora huwa mnaandika kwa Kiswahili maana ingelikua kwa Kingereza ingekua aibu kubwa, hivyo inabidi aibu yenu inabaki humu humu Kenya na Tanzania.
 
Hahaha!! Niliaona hili lakini nikasema wacha niachie MK254 ama Kafrican awaumbue watani maana mimi ningejaza mitusi hadi post ipoteze maana yake. Hivi Geza Ulole yu wapi?

Wote sasa hivi wamejificha na vikokotozi/calculators maana aibu imewafunika. Wanatafuta na ku-google ikawaje yao igahrimu $7b ilhali yetu $3.8b ukizingatia na manunuzi ya mabehewa na locomotives na ujenzi wa vituo na mambo mengi yakiwemo madaraja ya kupitia juu kwa juu. Wamekimbia wote na kuachia jamaa fulani anaitwa redeemer ang'ang'anie kuanika ukilaza wa kibongo bongo.
 
I am not talking particle information, I am talking the whole deal compared to the whole deal, sasa huo muda wa inayotoka kakamega na kuishia nakuru that keep for yourself, the matter here is the whole thing and that is what I have done.
Nimekuambia umtafute mtu akusomee hayo makala ya CNN maana yameandikwa kwa Kingereza usichokijua au kukielewa, usaidiwe kuelewa hiyo $13b iliyotajwa hapo inahusu nini na ninayotaja $3.8b inahusu nini. Kwa jinsi mlivyo vila.za na ung'ang'anizi usiokua na tija bila aibu, hutaki kushughulika uelewe data, unaendelea kuanika upumbavu kwa jinsi ulivyokaririshwa.
Ongezea na akili zako jameni, yaani nyie ni aibu tupu, huwa mnadharilisha nchi yenu sana. Ni bora huwa mnaandika kwa Kiswahili maana ingelikua kwa Kingereza ingekua aibu kubwa, hivyo inabidi aibu yenu inabaki humu humu Kenya na Tanzania.
 
Wote sasa hivi wamejificha na vikokotozi/calculators maana aibu imewafunika. Wanatafuta na ku-google ikawaje yao igahrimu $7b ilhali yetu $3.8b ukizingatia na manunuzi ya mabehewa na locomotives na ujenzi wa vituo na mambo mengi yakiwemo madaraja ya kupitia juu kwa juu. Wamekimbia wote na kuachia jamaa fulani anaitwa redeemer ang'ang'anie kuanika ukilaza wa kibongo bongo.

Sidhani kama hiyo 400kms ni sahihi. Kuna pahali nilisoma kuwa ilikuwa ndefu zaidi. Tena hiyo 7b ni price ya China. Ya Turkey ni karibu nusu ya hiyo. Sina info yote though.
 
Back
Top Bottom