Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hii habari mmeidandia bila kuielewa $7bn usd ilikuwa ni pesa inayotolewa na china kwa ujenzi wa sgr toka dar mpaka mza na kigoma, baada ya kutoelewana na china serikali ikaamua kugawa project katika vipande na kuanza kutafuta pesa upya. Kwa kuanzia serikali itaanza ujenzi wa km 200 toka dar mpaka moro kwa pesa kutoka kwenye bajeti, treni zitatumia umeme na mafuta according to yesterday speech from magufuli, the amount of money turkey will provide is not yet to be known.
Watanzania tunajidhalilisha, speeches of politicians can not be the basis of a strong argument, because they talk so much and do little or nothing. Hebu tusubiri credible documents zipatikane ndo tujue which is which. Sasa kwa sasa nadhani inatosha kuwapongeza jirani zetu kwa hatua waliyopiga so far. Wao treni tayari iko relini sisi hata tender documents bado and still we have the courage to ridicule what they have achieved!! No please.
 
Kenya is like the-third-hand to receive those trains, they have been circulated for decades, originated and prolonged used in German then shifted to China if am not mistaken, lastly Kenya inaugurated them as new locomotives. Amazing
It look tired tho it said to be new
 
Watanzania tunajidhalilisha, speeches of politicians can not be the basis of a strong argument, because they talk so much and do little or nothing. Hebu tusubiri credible documents zipatikane ndo tujue which is which. Sasa kwa sasa nadhani inatosha kuwapongeza jirani zetu kwa hatua waliyopiga so far. Wao treni tayari iko relini sisi hata tender documents bado and still we have the courage to ridicule what they have achieved!! No please.
finally some sense into the thread, alot of speculation still in the air, i think we are a few months away from getting the nitty gritty of the project, however the turks are doing a good job in ethiopia where they are building the awash woldia line.The Awash Woldia/Hara Gebeya Railway Project is a new railway line being constructed between Awash and Woldia, Ethiopia.
Project owner Ethiopian Railway Corporation (ERC) is investing $1.7bn in the project. Construction of the new line commenced in February 2015 and is expected to be completed in 2017.
The new railway line will connect northern and central Ethiopia. It will also link the country's northern and eastern transportation networks. Total length is about 447kms, in my opinion the turks might be cheaper than the chinese.
 
Wote sasa hivi wamejificha na vikokotozi/calculators maana aibu imewafunika. Wanatafuta na ku-google ikawaje yao igahrimu $7b ilhali yetu $3.8b ukizingatia na manunuzi ya mabehewa na locomotives na ujenzi wa vituo na mambo mengi yakiwemo madaraja ya kupitia juu kwa juu. Wamekimbia wote na kuachia jamaa fulani anaitwa redeemer ang'ang'anie kuanika ukilaza wa kibongo bongo.
MK254 taratibu jamani sisi ndugu ujue.
 
Watanzania tunajidhalilisha, speeches of politicians can not be the basis of a strong argument, because they talk so much and do little or nothing. Hebu tusubiri credible documents zipatikane ndo tujue which is which. Sasa kwa sasa nadhani inatosha kuwapongeza jirani zetu kwa hatua waliyopiga so far. Wao treni tayari iko relini sisi hata tender documents bado and still we have the courage to ridicule what they have achieved!! No please.
Haya ndio hatuhitaji kabisa
kutangulia siyo kufika
pengine kutangulia kwao
ndio Raha na ahueni yetu
tusije pigizwa kama wao,
sisi tumejifunza
 
Endeleeni na story zenu za kishamba
aba8ae65e331636913a7638903d9902d.jpg
 
It look tired tho it said to be new
Unanifurahisha! Yaani ni mtu hajielewi tu ndiye ataanza kusifia kitu hajaona! Kama wewe, hata hujui nini kitaletwa kwenu lakini ndio huyu makelele kama mtoto wa chekechea! Sisi tunazo tayari, wewe ngoja 2021 ujishauwe!!! Hapo zetu zitakuwa tayari zimefanya masafa!!

Unaona aje?? Yenu Chora tuone sababu hujui ni gani mtapata! Ndoto tu!!!

V6RosOvh.jpg
 
View attachment 464048
Poleni Wakenya... The problem is not you but ur corrupted leaders...
 
Kama dawa kama kawa

Baada ya kupostiwa hii huko
wakenya na watanzania waanza kurushiana Vijembe!!

2e6d57f76fe893990f3557b173d71150.jpg
c3d29fad13296175249a52e3bd21ff8c.jpg
910b6185f063c1e70d785bccccd9fa6f.jpg
ba91e0f2591d6c06b4af7c07f7235f66.jpg

Tutaelewana tu
 
Unanifurahisha! Yaani ni mtu hajielewi tu ndiye ataanza kusifia kitu hajaona! Kama wewe, hata hujui nini kitaletwa kwenu lakini ndio huyu makelele kama mtoto wa chekechea! Sisi tunazo tayari, wewe ngoja 2021 ujishauwe!!! Hapo zetu zitakuwa tayari zimefanya masafa!!

Unaona aje?? Yenu Chora tuone sababu hujui ni gani mtapata! Ndoto tu!!!

View attachment 464048

wachana na hawa madebe tupu,....

the chinies contractor and the exim bank are two different people , if magu was throwing the deal out because of corrupt contractor, he would have just canceled the contractor...... the only reason they went to the chinies is eighther the turks are offering better deal or the chinies were concerened about Tanzanias capacity to pay back the loan hence they were delaying the project to seek guarantees
 
Haya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km

Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b

Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.
Point of correction. Hiyo 7b ndio imepigwa chini. Hapo ndio tulikuwa tunapigwa
 
This thread just shows how little information East African Citizens have of their own projects and how far back in terms of development we are. In true democracies, costs of these projects would be public knowledge.

Yaani tutalipia haya madeni yote na hadi kufikia sasa we dont know how much tumekopa/tutakopa. Tunaambiwa tu ya kwetu is cheaper than ya jirani yetu and we agree like zombies.
 
wachana na hawa madebe tupu,....

the chinies contractor and the exim bank are two different people , if magu was throwing the deal out because of corrupt contractor, he would have just canceled the contractor...... the only reason they went to the chinies is eighther the turks are offering better deal or the chinies were concerened about Tanzanias capacity to pay back the loan hence they were delaying the project to seek guarantees
Am sure just like the Bomba haitaanza mpaka 2020 huko na ikianza haitaisha in time
 
Point of correction. Hiyo 7b ndio imepigwa chini. Hapo ndio tulikuwa tunapigwa

Wapi taarifa za kuaminika, msilete viblog uchwara, nataka taarifa za kuaminika na kukubalika kwamba mlipiga deal ya Wachina chini kwa sababu ilikua ghali. Maana ninachojua ugomvi wenu na Wachina ni kwasababu wao walitaka mfanye single sourcing. Yaani watoe mkopo na wajenge wao, halafu mkandarasi Mchina akapewa kandarasi bila kufuatilia utaratibu.

Lakini hadi sasa sijaona gharama anayotoza Mturuki, hivyo sielewi mnachekacheka nini, maana humo ndani hamjui mahesabu yapi yanayofanywa. Hata wana Lumumba wamejaa humu JF bila taarifa ya kweli, wanatetea bila hata kujua nini wanachotetea.
Sisi reli yetu ipo tayari, umbali wa kilomita 609km, mabehewa, vichwa vya treni, madaraja ya kisasa, vituo vikubwa vilivyojengwa kwa teknolojia ya kisasa... yaani vitu vyote vipo tayari kwa gharama ya $3.8b

Halafu kumbuka yetu pia itaongezwa na kuwa ya umeme.
 
Back
Top Bottom