Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
Ha haaaaaMkuu njoo inbox this is more than ras lion, instant flawless English
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaaaaMkuu njoo inbox this is more than ras lion, instant flawless English
Watanzania tunajidhalilisha, speeches of politicians can not be the basis of a strong argument, because they talk so much and do little or nothing. Hebu tusubiri credible documents zipatikane ndo tujue which is which. Sasa kwa sasa nadhani inatosha kuwapongeza jirani zetu kwa hatua waliyopiga so far. Wao treni tayari iko relini sisi hata tender documents bado and still we have the courage to ridicule what they have achieved!! No please.Hii habari mmeidandia bila kuielewa $7bn usd ilikuwa ni pesa inayotolewa na china kwa ujenzi wa sgr toka dar mpaka mza na kigoma, baada ya kutoelewana na china serikali ikaamua kugawa project katika vipande na kuanza kutafuta pesa upya. Kwa kuanzia serikali itaanza ujenzi wa km 200 toka dar mpaka moro kwa pesa kutoka kwenye bajeti, treni zitatumia umeme na mafuta according to yesterday speech from magufuli, the amount of money turkey will provide is not yet to be known.
It look tired tho it said to be new
finally some sense into the thread, alot of speculation still in the air, i think we are a few months away from getting the nitty gritty of the project, however the turks are doing a good job in ethiopia where they are building the awash woldia line.The Awash Woldia/Hara Gebeya Railway Project is a new railway line being constructed between Awash and Woldia, Ethiopia.Watanzania tunajidhalilisha, speeches of politicians can not be the basis of a strong argument, because they talk so much and do little or nothing. Hebu tusubiri credible documents zipatikane ndo tujue which is which. Sasa kwa sasa nadhani inatosha kuwapongeza jirani zetu kwa hatua waliyopiga so far. Wao treni tayari iko relini sisi hata tender documents bado and still we have the courage to ridicule what they have achieved!! No please.
Li mkebeThat piece of engineering, soma data zake ndio uje kubwabwaja upumbavu hapa, unafikiri hii ni ile milegezo yenu ya singeli.
MK254 taratibu jamani sisi ndugu ujue.Wote sasa hivi wamejificha na vikokotozi/calculators maana aibu imewafunika. Wanatafuta na ku-google ikawaje yao igahrimu $7b ilhali yetu $3.8b ukizingatia na manunuzi ya mabehewa na locomotives na ujenzi wa vituo na mambo mengi yakiwemo madaraja ya kupitia juu kwa juu. Wamekimbia wote na kuachia jamaa fulani anaitwa redeemer ang'ang'anie kuanika ukilaza wa kibongo bongo.
Haya ndio hatuhitaji kabisaWatanzania tunajidhalilisha, speeches of politicians can not be the basis of a strong argument, because they talk so much and do little or nothing. Hebu tusubiri credible documents zipatikane ndo tujue which is which. Sasa kwa sasa nadhani inatosha kuwapongeza jirani zetu kwa hatua waliyopiga so far. Wao treni tayari iko relini sisi hata tender documents bado and still we have the courage to ridicule what they have achieved!! No please.
Unanifurahisha! Yaani ni mtu hajielewi tu ndiye ataanza kusifia kitu hajaona! Kama wewe, hata hujui nini kitaletwa kwenu lakini ndio huyu makelele kama mtoto wa chekechea! Sisi tunazo tayari, wewe ngoja 2021 ujishauwe!!! Hapo zetu zitakuwa tayari zimefanya masafa!!It look tired tho it said to be new
Poleni Wakenya... The problem is not you but ur corrupted leaders...Unanifurahisha! Yaani ni mtu hajielewi tu ndiye ataanza kusifia kitu hajaona! Kama wewe, hata hujui nini kitaletwa kwenu lakini ndio huyu makelele kama mtoto wa chekechea! Sisi tunazo tayari, wewe ngoja 2021 ujishauwe!!! Hapo zetu zitakuwa tayari zimefanya masafa!!
Unaona aje?? Yenu Chora tuone sababu hujui ni gani mtapata! Ndoto tu!!!
View attachment 464048
Unanifurahisha! Yaani ni mtu hajielewi tu ndiye ataanza kusifia kitu hajaona! Kama wewe, hata hujui nini kitaletwa kwenu lakini ndio huyu makelele kama mtoto wa chekechea! Sisi tunazo tayari, wewe ngoja 2021 ujishauwe!!! Hapo zetu zitakuwa tayari zimefanya masafa!!
Unaona aje?? Yenu Chora tuone sababu hujui ni gani mtapata! Ndoto tu!!!
View attachment 464048
Point of correction. Hiyo 7b ndio imepigwa chini. Hapo ndio tulikuwa tunapigwaHaya poa, naomba wadau wataalam tutaingia kwenye mahesabu. Maana hii ya Wabongo inagharimu 7bn$ kwa umbali wa 400km
Yetu umbali wa 609km, ujenzi wa vituo vya kisasa, madaraja marefu na ya kupitia juu, mabehewa na vichwa, na kuzingatia ugumu wa upatikanaaji wa ardhi Kenya vyote vimetugharimu $3.804b
Kuna uzi tulichemshana wakati Watanzania walianza na Wachina kabla ndoa kuvunjika baina yao. Nawasilisha, watu waje na mahesabu.
It is still more expensive than Kenyas RailEndeleeni na story zenu za kishamba![]()
Am sure just like the Bomba haitaanza mpaka 2020 huko na ikianza haitaisha in timewachana na hawa madebe tupu,....
the chinies contractor and the exim bank are two different people , if magu was throwing the deal out because of corrupt contractor, he would have just canceled the contractor...... the only reason they went to the chinies is eighther the turks are offering better deal or the chinies were concerened about Tanzanias capacity to pay back the loan hence they were delaying the project to seek guarantees
It is still more expensive than Kenyas Rail
Kenya
Mombasa Nairobi 609km
3.8bn$
Tanzania 400km
3.5bn$ mara 7bn$
Wea i geza at?
Hahaha aje hapa
I just like how brothers wanabishana nani ni bora zaidi ya mwingine.....Mijitu Meusi shida sana..No way, you just wait and see how we amaze multitude of you primitives
Point of correction. Hiyo 7b ndio imepigwa chini. Hapo ndio tulikuwa tunapigwa
Expensive ExpensiveExpensiveFicha Upumbavu wako kwa kusoma hapa
Kumbe wachina walitaka kutupiga kwenye Reli kama walivyofanya kwenye Bomba la Gesi