Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ila nilichogundua Tanzania ni nchi ambayo tunafanya mambo yetu Kwa ukubwa na ubora zaidi ya Jirani zetu, yaani we take Advantage of their weaknesses, mfano Barabara ya njia nane wao njia sita, SGR Station kubwa na bora kabisa than yao, BRT ya kisasa zaidi wenzetu hawana hiyo, yaani kiufupi KUTANGULIA SI KUFIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
You Tanzanians mko na ujinga mwingi sana, you argue without concrete evidence, sasa nikikushow uniambie hiyo 6 lane kwa Thika superhighway nimejua hutanishow more than 3. Ndo hizo barabara angalia.
dnThikaRoad0204b.jpeg
Transport-and-Infrastructure-Sector-In-Kenya.jpeg
PIX.jpeg
thika-highway.jpeg
002564baf2f90d484f7261.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakuletea usijal kumbe ulijua tunatania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

So SGR yenu imeleta faida???[emoji15][emoji15][emoji15]
Leta ushahidi hapa wakat mwaka wakwanza mumesugua loss of 10b ksh
Bado tunangoja please,keani data uliendea kwa mwezi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida wewe unadhani kutukana ndio kutabadili mambo, hata BRT , SGR zote mlidhani sisi tutafanya Kwa kiwango cha chini nyie endeleeni Ku rush sisi tukija ni one step ahead, wanawake ndio hutumia Maneno wanayodhani yatamkasirisha mwanamme so ww endelea
Yaani we ni kama unafikiria na mkundu blah blah na ukiambiwa uweke picha unabandika renders hapa,nenda jukwaa xa udaku akili yako finyu Sana....achia mada zingine wanaume wamekomaa wajadili[emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Average speed ni 120km/hr ..... Hakuna siku Madaraka express ishawahi chelewa. Ku calculate avg speed is as simple as Distance/Time... Kama ingekua ni 110km/hr ingekua train inachukua masaa sita kufika...

Alafu hapo kwa speed, Average container dwell time ya Dar-port ni 7 days wakati average Container dwell time ya Mombasa ni 5 days.... Kwahivyo hata kabla mzigo upakiwe kwa SGR-Tz tayari Kenya itakua na 2 days advantage!!!!
Hizo siku 7 siyo static kwani mambo yanabadilika na wanalenga dwell time isiyozidi siku 4 na ndiyo maana watu wa port dar wanafanyakazi 24/7.
 
Back
Top Bottom