Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hey Tanzanians, I want to see that station ya 20floor building, ile ya Dar. Ama inajengwa binguni?
 
Nafikiri unaelewa kuwa zege lina muda maalum kukauka, hivyo madaraja na kalvati lazima yacheleweshe kasi ya ujenzi. Baada ya haya kukamilika kwenye mwezi wa nane huko, ujenzi utakwenda kwa kasi zaidi.
Zege ta Tz ni special yani ya burret train inachukua muda kukauka 😂😂
Leta station tuone sisi sote. Na usipoleta ntakuletea coz nimeiona mahali and it's just a laughing stock.
Weka picha bana niingie laughing mode.
 
Tunaongelea madaraja na makalvati kwenye eneo la urefu wa 200km.
Yetu ilianza 2014 na by June 2017 ilikuwa imekamilika na kuanza usafiri wa abiria na mizigo from Mombasa to Nairobi KM500.

Hii yenu Km200 imewachukua zaidi ya miaka miwili na bado uongo uongo ndio mwingi...kubalini imewashinda na hamna fedha za kutosha.
 
Ujenzi ulianza 2018, Yapi Merkezi walishinda tenda Oct 2017.
kumbuka pia sisi yetu inavitu viwili vya zianda (welded na electric).
 
Tumezoea uongo na propaganda.
Screenshot_2019-06-17 tanzania awards turkish - Google Search.png

Angalia hizo tarehe za Google.
 
A Kenyan from a $100b middle income Country telling an LDC member to shut the fvk up.

Na bado hujajibu swali language, SGR Tz imekwamia wapi?
What is "swali language" !! Dose inakuingia mpaka una weweseka kama malaya alie lewa
 
I live in a country with GDP $21.3T, I'm not so much stressed with fake $100b.
Pitia Muhimbili wakupatie antidepressants alafu uje Hali yako ikiwa sawa. Sijawahi kusikia mwendawazimu akikiri kuwa Hana akili timam.
 
Back
Top Bottom