Quinn
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 473
- 1,184
Dodoma SGR station....angalia muonekano wa hyo sgr station ya dodoma ni tofauti na chinese...yaan kuna aina fulani ya ubunifu ambao huwezi kuta sehemu nyingine yyte duniani..yaan mnakuwa na muonekano unique.
Sgr stations za wachina kuna aina fulani ya ubunifu unaojirudia...stations zinakuwa na ngazi nyingi kama zile Temple za mabuza.
Tanzania ilifanya utafiti kabla ya kujenga Reli ya SGR ndo maana imefanikiwa kupata ubunifu wa pekee kwenye SGR stations asa zile stations ambazo zitakuwa na watu wengi na ziko mjini ukiachana na zile za maporini ambazo imeona ziwe ndogo tu incase kuna abiria wawili watatu.