EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,352
Kwa hiyo hujui kuwa kuna feasibility study ya reli ya mjini km 266 Dar es Salaam imefanywa na TRC na kampuni ya S. Afrika. Tatizo la Afrika raia anaweza kuwa very irresponsible na bado akawa anajigamba hadharani na ujinga wake. Hiyo habari hata siyo mpya. Kadogosa kaisema mara nyingi sana.Seriously you believe in what this zero brain says, oh my God Tanzania we have a long way to go.