Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
Aisee jamaa akisema hela ipo hua anamaanisha kweli ipo...
Ndege moja ya mizigo tayari iko ktk mipango, sema sasa itabidi waongeze ziwe mbili ili sisi wakulima tuweze kupeleka mboga na maua ktk masoko ya mbali kirahisi zaidi...
Tenda ya Phase 3, 4 & 5 zitatangazwa kwa pamoja very soon. Ujenzi utaanza Mwanza na Makutupora simultaneously watakuja kukutana Isaka...
Ikumbukwe kuwa urefu wa Phase 3 zilizobakia ni kama sawa na urefu wa Phase 2 za kwanza (tofauti ya 37 km only), so cost wise gharama ni kama sawa au bit less given the terrain.
Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo kuna $300 mln Barrickgold wamesaini juzi! Hawa majamaa hawajui GoT ina mfuko maalum wa ujenzi ambapo kila mwezi Tshs 2 bln zinawekwa humo! Then kuna jamaa wa Airtel wanatoa the same amount $1 mln/month kama agreement ya kulipa hasara walioipatia TTCL ambayo inaenda kwenye ujenzi health fund inayojenga hospitali!
Ushauri
Kwa hiyo $300mln, mimi namshauri aanzishe another phase ya SGR construction esp. Mwanza to Isaka! Au anunue cargo aircraft mbili! Au ajenge wagon ferries nyingine kama 8 hivi kwa ajili ya Lake Tanganyika na Lake Victoria na 2 cargo ships for Indian ocean!
Sent using Jamii Forums mobile app