Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

you know sgr ya kenya iko na 3 phases right? and Mombasa Nairobi ni phase 1 pekee!?
then in Tz the land is owned by the govt so no compensation is required. in hte the govt does not own the land so it spends alot in compensating the victims
 
Umemjibu vizuri sana, huwa nashindwa kuelewa some fellas ambao kazi yao ni kupinga kila kitu hata vitu vya muhimu kama strategic infra projects. Miradi kama hio ikifanyika nchi jirani same people watashnagilia na kusema tunaachwa mbalo kwanini hatujengi.

Kuna wengine walisema kwanini tunatumia hela za ndani badala ya kukopa ktk ujenzi wa miradj mikubwa, haya sasa tumepata mkopo kwa kazi hio the same fellas wanasema kwanini tunakopakopa deni la taifa linaku kubwa🙂
Wakosaji tuu..Hata ndege walisema ni aibu Tanzania kutokuwa na shirika lake. Magu akafufua shirika kwa mtaji wamabano ya matumizi ya ndani wakasema ni kupoteza pesa za umma..Sasa Shirika lina inuka, ATCL wakichukua mkopo kuendeleza biashara watasema madeni ni mengi sana.
Sometimes i feel sad for magufuli, he has alot of unintelligent people to deal with
 
IMG_2402.JPG
IMG_2403.JPG


Yaani Tunnel inaweza kuwa hata 3stack containers [emoji28][emoji28][emoji28]


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Kwa wale amabao wanataka kujua progress ya SGR Tanzania... tupo hapa now..



Please comment ikiwa nchi yako in Reli yenye Umeme.. otherwise kama bado mnatumia Diesel pita kimya kimya..

Inakaa cheap sana,
Flat kama lami,
Passing tracks Kwa stations mbili pekee!!!!!
 
Kwa wale amabao wanataka kujua progress ya SGR Tanzania... tupo hapa now..



Please comment ikiwa nchi yako in Reli yenye Umeme.. otherwise kama bado mnatumia Diesel pita kimya kimya..


[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlipigwa bao kwa zile choo zenu za kanjo in the name of sgr stations. Kubali yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa jirani ni bora sisi kuliko nyie mliovaa chupi juu ya suruali halafu mnapita huku na huko mkijinasibu kuwa mmependeza!!!!!!.Ni ufwala, Stesheni nzuri......Reli teknolojia yake ni ya mwaka 1892,garimoshi ni mtungi wa chang'aa iliyolala.Kha,😂😂😂😂😂.
 
Back
Top Bottom