Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
[emoji23][emoji23] wapige tu na facts. Sisi hatukai vijiweni kupiga umbea, tunapambana na reality ilivyo.Unaona vile hizo stesheni hata bila vioo unajua tu hio design si ya kawaida kabisa...
Lakini kando na hapo uwache kulinganisha vitu ambavyo havilinganishwi!!! .... Kila project inajengwa kulingana na pesa zilizo tolewa, ni kama mimi niende niokote projects kali kali za CCCC zilizojengwa huko nje kana kwamba hivyo ndo watajenga huku kwasababu ni kampuni ile ile.
Qatar Intergrated Rail Project ni project ya $36B (Yani nusu ya Tz GDP), naitakua na urefu wa 300km ikiwemo 30km ya tunnels..
Gold line metro ambayo ni sehemu moja ya hio Qatar integrated metro rail ni project inayofanywa na consotium tano
i.e Gold Line metro project was awarded to a global consortium (Joint Venture Company) consisting of five companies. Aktor S.A from Greece, Larsen & Toubro LTD from India, Yapi Merkezi from Turkey, STFA also from Turkey and Al Jaber Engineering from Qatar.
Hizo kampuni mbili za uturuki zinamiliki jumla ya 40% ya ujenzi wa hio Gold line......
Hio Gold Line ni 32km pekee lakini garama yake ni $4.4 Billion USD !!!!!!! NI mwendawazimu pekee ambaye ataketi chini ya mnazi akifikiria project ya light rail iliojengwa kutumia $4.4B kwa 32km itakua sawa na project yao heavy rail ya Dar-moro iliojengwaa kwa chini ya $2B kwa reli ya 300km.
Sent using Jamii Forums mobile app