Hahahaha Yani 13,000 Sq.m alafu floor ya Chini ni ya reli ya zamani MGR kumaanisha SGR watapata maybe only 10,000m.sq kwa second floor.... Watu watakua wanapigaje laini
Angalia vile mahali kwa kusubiri hua kumejaa hadi kero
Mombasa station
Watu wanapiga line ya kukata ticketi..... Hii picha ilipigwa 6:30am watu wamepiga laini ya kuchukua tiketi kwa ATM,wakati treni yenyewe ilikua inaondoka 9am...
Laini ya Kushoto wasafiri ambao wanaenda kuchukua tiketi zao, laini ya kulia wameshachukua tiketi na wanangojea kuingia kwa stesheni wangojee treni
Hapa ni madakika kabla watu waanze kuabiri ambapo hua kuna zaidi ya watu 1000 kwa stesheni...
Mind you, Nairobi SGR station sits on a 58,000 m.q area, but the station itself is 21 meters high and 21,000 m.sq
This makes Nairobi SGR station twice as big as Dar station!!!!! So Dar station is not the biggest in EA, maybe the 3rd biggest After Nairobi and Mombasa Station!
SGR yenu ikikua successful hako ka stesheni kenu katakua kero tupu, watu watakua na msongamano kila mahali hata kupumua itakua shida tupu!