Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Kawaida hua watu wanakata ticketi online wanaingiza details kama seat number,date, Jina, ID Number alafu wanalipa na kupewa ticket number....nikikata ticket kutokea home afu nikaenda kuverify hapo station na kupewa official ticket (boarding pass) nitatumia muda mdogo kuliko mtu anaenza kukata ticket akiwa station, coz atatumia mda mwingi kuingiza data zake kwanza..
kupunguza msongamano ndo mana wanaweka online system, otherwise kama system zote zinatumia mda sawa kituon.. bas hakuna haja ya online system
Unaeza ukaenda siku yoyote kabla siku ya kusafiri kuchukua ticketi yako na hautapata msongamano wowote, lakini ili ku save garama, watu hungojea siku ya kusafiri wakifika kituoni ndo wanaenda hapo kwa ATMs na ambapo wanaitishwa ticket Number na phone number na mashini alafu pap, boarding pass yako inachapishwa....
Shida inayotokea hua ni hizo dakika 30 za mwisho ndo kila mtu anafika kwa SGR station na anataka kuchapisha ticket.....
-------
Wakenya walisema suluhisho ya hio shida ni KRC wapanue network yao, Wafungue ofisi kadhaa kwa mitaa kadhaa mijini alafu waweke hizo ATM kwa hizo ofisi,ili ule mtaa unaokaa kuna ofisi ya SGR ambayo iko na hio ATM ya ticketi iwe unaweza chapisha tiketi mtaani bila kufika stesheni. Kwasababu kama ulivyosema hakuna mtu ata book online alafu asafiri kuchapisha na ku confirm tiketi kwa stesheni alafu arudi nyumbani angojee siku ya kusafiri. Lakini kukiwa na ATM machine mtaani itakua rahisi kufanya hivyo.