That moment when you think you make sense kumbe you are confused.... Huku Kwetu unaweza ku book SGR kwa kutumia USSD code ya *369#, pia unaweza ku book online na unatumiwa ticket number kwa simu... Lakini siku ya kusafiri kabla upande reli lazima uwe na "Bording pass" hio bording pass/ticket hakuna namna nyengine ya kuipata hadi wewe mwenyewe ujipeleke kwa ATM na uweke ticket number alafu ndo ina print boarding pass yako .
Kama huyu hapa unaona ana print ticket yake kwa hiyo ATM,
Kwahivyo upunguze ushamba, hata ukisafiri na ndege au hata na bus sikuhizi, unaweza book na ulipie ticketi yako mtandaoni, lakini siku ya kusafiri hauwezi ukaonyesha message uliyotumiwa kwa simu wakati wa kupanda ndege, lazima uwe na karatasi ya boarding pass... Unafikiri hio pass inapatwa wapi?