Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kutoka stesheni ya dar hadi Pugu pia imekua delayed na mvua? Miezi 4 naona progress ni ile ile, daraja hazija malizwa. At current pace i dont see first 100km being done within 1 year. By the time first train reaches morogoro Nairobi expressway will be complete. Trains not procured, after procurement it will take year to construct them.
Reli hii ita anza kazi 2023
Kumbe unajua kwamba ni lazima itaanza kazi, nilidhani nayo itaishia machakani km yenu[emoji3][emoji3]
 
JPM akikagua ujenzi wa SGR Dar-Morogoro 82% and counting...
 
Kutoka stesheni ya dar hadi Pugu pia imekua delayed na mvua? Miezi 4 naona progress ni ile ile, daraja hazija malizwa. At current pace i dont see first 100km being done within 1 year. By the time first train reaches morogoro Nairobi expressway will be complete. Trains not procured, after procurement it will take year to construct them.
Reli hii ita anza kazi 2023
Mkifika Morogoro SGR Kenya inafaa kua Kisumu[emoji23][emoji23]
 
Looks cheap
FB_IMG_15933667488294121.jpg
 
Wakenya oneni the real middle Income tulipofika, co nyie mnajiita MIC wkt hata treni ya umeme hamna, bus stand za kueleweka hamna, BRT hamna cable bridges hamna cjui middle Income gn nyie, na kwa taarifa yenu hii ni part 1 kuna ile nyngne part2 ya mbezi ambayo ni hatari kuliko hii is loading..... Dodoma bus stand[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

hizi sgr
kule china wanaziita slow train, zinatumiwa na watu wenye kipato cha chini au wabana matumizi,
kama unabisha ingia youtube andika slow trian china
 
Ukumbuke pia hiyo ya umeme hitaweza kushinda ya kenya kwa kubeba mizigo. Yenyu itaweza kubeba only 16 million tonnes kwa mwaka wakati yetu inabeba 22 million tonnes kwa mwaka. Ni vile reli yenyu itakuwa hafifu, haitaweza kustahimili uzito wa cargo kama ya kenya.
Kwa kifupi, Treni moja ya mizigo ya kenya ikileta cargo Tanzania, hapo kwa border itabidi Tanzania ilete treni mbili ibebe mizigo yenye treni moja ya kenya inabeba au treni 4 za mgr.
Mkuu treni ya kenya inaweza vuta 4,000 tonnes only, ya Tanzania ni 10,000 tonnes kama ulikuwa hujui hili.
 
hizi sgr
kule china wanaziita slow train, zinatumiwa na watu wenye kipato cha chini au wabana matumizi,
kama unabisha ingia youtube andika slow trian china

kweli bana [emoji23][emoji23] mwenye account is the same guy

Back
Top Bottom