Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ntakuelezea kidgo about this..Mtwara Kuna Gas sehemu mbili..Onshore na off shore

Gas ya offshore ndo nying kuliko on shore almost 80%..ya gas iliyogunduliwa Tz..hii has haijanza kutumika bado kwa matumizi yoyote..ndo mipango..ilikuwa hyo kujenga ma LNG etc

Gas ya onshore najua iko mnazi bay..ambayo wachimbaji wakubwa ni kampuni ya Wentworth..ambapo TPDC pia wana hisa humo wentworth...hii gas ndo inayotumika..kwenye mitambo ya Kinyerezi 1 n 2 kuzalisha umeme...

Gas nyngne iko songo songo island..hyo nayo inachimbwa na inazalisha umeme

TPDC hana hisa huko Wentworth! Ila ana hisa kwenye mradi wa hii gas.. (hisa zao ni independent.. sijui kama umeelewa)
Serikali ya china ilitoa mkopo na TPDC nao walitoa hela kidogo,
IMG_1595459168.750786.jpg
IMG_1595459178.516586.jpg
 
Watakachokuja kufanya kwenye hio MSE wall ni kuanza kujenga kuta on both sides halafu katikati watajaza udongo, sub-balast and ballast layers and then watatandika reli. Patakuwa na gradient ya kupandia na kushukia kwenye viaduct.

Kama unakumbuka hilo eneo lilikua tepe tepe sana ndio maana wanaipa hio foundation ya MSE wall mda, sio kwa sababu ya ugumu wa kazi yenyewe, Kitu ambacho bado sijaelewa ni upade wa pili kuelekea Mandela road kama nako watatumia same approach ya MSE wall au watatumia method ya height graduated piles and beam.

Kule Vingunguti na Majumbasita ni kama wataweka underpasses ndogo ndogo kwa jailli ya magari.

kuhusu tepetepe vip kuhusu ruvu?[emoji1] anyway drop it!!
pia, kweny hizo MSE wall hakutakuwa na gradient yoyote ya kupanda au kushuka... mwisho wa hizo MSE wall both sides kuna madaraja (bridges)

lengo la kujenga hizo MSE walls ni kupunguza gharama za kujenga bridge hilo eneo lote.. kujenga wall ni less cost than bridge, hivyo kutakuwa na daraja flan la kupandia MSE wall, then MSE Wall yenyewe then ndo unapita pale daraja la mandela

sasa kama nilivyosema mwanzo mchakato wa kujenga daraja la kupandia MSE wall na kujenga wall yenyewe sio ya mwezi mmoja au miwili.. vilevile najiuliza kwann hawakujenga hii wakat wakiwa wanakenga 2km viaduct/bridge au ile daraja la mandela
 
mradi wa gas ya mtwara ulijengwa kwa mkopo wa china kwa $1.2 billion ila saiz ipo chini ya TPDC (wapo watatu, ila kurahisisha mambo tunamtambua TPDC kama muhusika) .. pale kinyerezi kuna kituo cha TPDC ambacho ndicho kinauza gas kwa TANESCO kwenda kwenye hizo plants 1&2
kwa maneno haya tunaona kwenye gesi na kwenye bandari ya bagamoyo kote Magu kawapiga chini wachina. Pia nilisoma mahali kuwa Exxon Mobile nao walikuwepo kwenye utafutaji wa gesi huko kusini, ila awamu ya tano ilipoingia wakasepa.

Sasa hiyo gesi kutoka Mtwara inatumia bomba au inafika vipi hapo Kinyerezi?
Gas ya offshore ndo nying kuliko on shore almost 80%..ya gas iliyogunduliwa Tz..hii has haijanza kutumika bado kwa matumizi yoyote..ndo mipango..ilikuwa hyo kujenga ma LNG etc
Hiyo gesi ya offshore ambayo ni nyingi, kwa nini haijaanza kutumika?

Nikiangalia hali ya kisiasa awamu hii sijasikia gesi ikiongelewa kabisa (naelewa kuna bwawa la Nyerere) lakini je, sababu ya mradi kusimama ni kuzuiwa leseni ya uendeshwaji mpaka mikataba iishe au ni kwa kuwa kila kitu kilishauzwa?

Samahanini kama maswali yangu ni mazito.
 
TPDC hana hisa huko Wentworth! Ila ana hisa kwenye mradi wa hii gas.. (hisa zao ni independent.. sijui kama umeelewa)
Serikali ya china ilitoa mkopo na TPDC nao walitoa hela kidogo,
View attachment 1514333View attachment 1514334
Yeah..i meant kwenye hii mnazi bay wells ...TPDC ana hisa na huyo wentworth ana hisa..kama sijakosea huyo mwingine naye aliuza..kwa wentworth.....serikali ya china under exim bank walitoa mkopo wakujenga Gas pipeline peke yake hawana issue kwenye Gas field yoyote...
 
kwa maneno haya tunaona kwenye gesi na kwenye bandari ya bagamoyo kote Magu kawapiga chini wachina. Pia nilisoma mahali kuwa Exxon Mobile nao walikuwepo kwenye utafutaji wa gesi huko kusini, ila awamu ya tano ilipoingia wakasepa.

Sasa hiyo gesi kutoka Mtwara inatumia bomba au inafika vipi hapo Kinyerezi?

Hiyo gesi ya offshore ambayo ni nyingi, kwa nini haijaanza kutumika?

Nikiangalia hali ya kisiasa awamu hii sijasikia gesi ikiongelewa kabisa (naelewa kuna bwawa la Nyerere) lakini je, sababu ya mradi kusimama ni kuzuiwa leseni ya uendeshwaji mpaka mikataba iishe au ni kwa kuwa kila kitu kilishauzwa?

Samahanini kama maswali yangu ni mazito.
Hii ni kwa my knowledge..kama mtu mwingne anajua vingine aseme

Hyo point ya kila kitu kilishauzwa ..i have no clear clarity on that...Hyo gas ya offshore kuna blocks mbali mbali..sasa hizo blocks walipewa kampuni mbali mbali za nje wa exploit na wachimbe..kwa waliziuza basi ni Boko moja kubwa sana....kampuni moja iliyopewa ni exonn mobil...nahisi kuna agreement flani ilifanyika TPDC wakawa wanahisa kwenye kila Block na Well zake ila hisa hizo zilikuwa kidogo (20%) ...niliwahi soma pia document flani kwamba production output ya siku ndo inadertemine % ya profit TPDC atayopata kuna flat base ya 20% ..hii haidepend na profit ya siku..na kisha hizi 20% zinaweza ku rise upto 50% ..something like that

Kutokana na gesi iliyogundulikwa kuwa nying...Tz Goverment wakachuka mkopo exim china wajenge Bomba ili kuleta Dar...kulikuwa na bomba lingine la songo songo ..yote yalikuwa joined pamoja..hii gesi inatumika hadi sasa Twiga cement (40mw)..Kinyerezi 1 &2 na zote zitazojengwa...

Sasa shida kubwa inakuja kwamba hizo wells na production plants(offshore) and machines owners ni Hao Exonn mobil ,Shell na BG if am not wrong..
Wakataka wajenge LNG plant Lindi ili tuanze ku export gas..kwenye mkataba huo nahisi TPDC naye angeweza chukua hisa..ila agreement bado iilikuaa kufanyika..

After 2015..Goverment ilianza kusua sua cause iliona hizo contracts ni mbovu yani pamoja na kwamba LNG itajengwa..tutapata Tax..Gdp ita rise ,employment etc..Bado GOT ilikuwa sio mnufaika mkubwa ...sasa President anataka whats best for the country not companies ndo maana unaona kuna kusua sua

Kuhsu umiliki wa hizo blocks am not so sure..but walipewa wa explore gas zilizopo..agreement zao am not sure TPDC anapata ngap but seems ni kidogo kwao...ndo maana president hajaiendeleza hii issue...

Sasa hii inafanya pipeline ya mTwara -dar iwe under utilized cause nia ilikuwa gas yote onshore na off shore zipite hapo...

I hope nimeclear some of questons

Plus kuhsu Nyerere Dam...Its more cheap ku produce Hydro..plus TZ under Tanesco wont be using any money to buy Gas from TPDC ..kumbuka hii mnazi bay Tanesco ananunua TPDC ambaye naye pamoja kwamba anapata hela kuna hela bado inaenda wentworth...So in turn umeme unakuwa bei juu kidogo kuliko utavyokuwa wa maji..of course u might say the pipeline will be under utilized..but it is what it is...
Awamu hii wameongeza Gas plant moja ..Kinyerezi Extension 185Mw...wakati plan ilikuwa kujenga Kinyerezi 3 &4 600MW and 450MW ...ili kuleta 1625MW total..but we wont likely see that soon..
 
kiufupi na ili ilieleweke vizur..
shareholders mpka sasa wako watatu
- Maurel ( 48% ilitokana na research na exploration, waliuziana na ma kampuni ya exploration)
- Wentworth ( 32% ilitokana na research na exploration, waliuziana na ma kampuni ya exploration)..
- TPDC (20% - ilitokana na serikali kujenga bomba kupitia mkopo wa china)

hivyo profits watagawana kulingana na hisa zao, sasa upande mwingine serikali ina deni kubwa la kulipa mkopo wa china

pia kama hisa za serikali (TPDC), 20% ambazo zilizotokana na mkopo wa kujenga bomba ni $1.4 billions, bas hao jamaa wengine walitumia zaid ya hio $ 1.4 billions kweny research & exploration na vitu vingine
 
kwa maneno haya tunaona kwenye gesi na kwenye bandari ya bagamoyo kote Magu kawapiga chini wachina. Pia nilisoma mahali kuwa Exxon Mobile nao walikuwepo kwenye utafutaji wa gesi huko kusini, ila awamu ya tano ilipoingia wakasepa.

Sasa hiyo gesi kutoka Mtwara inatumia bomba au inafika vipi hapo Kinyerezi?

Hiyo gesi ya offshore ambayo ni nyingi, kwa nini haijaanza kutumika?

Nikiangalia hali ya kisiasa awamu hii sijasikia gesi ikiongelewa kabisa (naelewa kuna bwawa la Nyerere) lakini je, sababu ya mradi kusimama ni kuzuiwa leseni ya uendeshwaji mpaka mikataba iishe au ni kwa kuwa kila kitu kilishauzwa?

Samahanini kama maswali yangu ni mazito.

- wachina walihusika kutoa mkopo na kujenga bomba tu
- walisepa kwa kuwauzia wengine hisa za mradi (research & exploration)
- Gas kutoka mtwara kuja Dar inatumia bomba ambalo limeenda sehem nying kwa kuungwanishwa.. lipo ubungo, kinyerezi, etc)
- Offshore inahitajika kujengwa LNG plant kwanza
- Mradi wa Gas haujasimama.. kilichosimamishwa ni kujengwa kwa plants nyingine, yan Kinyerezi 3&4 ambazo zingetumia zaid gas kutoka mtwara, pia kumbuka hizi plants mbili ndo zingekuwa ndo plant zenye MW kubwa Tanzania nzima (Kinyerezi III = 600MW na Kinyerezi IV = 450MW)
 
Hii ni kwa my knowledge..kama mtu mwingne anajua vingine aseme

Hyo point ya kila kitu kilishauzwa ..i have no clear clarity on that...Hyo gas ya offshore kuna blocks mbali mbali..sasa hizo blocks walipewa kampuni mbali mbali za nje wa exploit na wachimbe..kwa waliziuza basi ni Boko moja kubwa sana....kampuni moja iliyopewa ni exonn mobil...nahisi kuna agreement flani ilifanyika TPDC wakawa wanahisa kwenye kila Block na Well zake ila hisa hizo zilikuwa kidogo (20%) ...niliwahi soma pia document flani kwamba production output ya siku ndo inadertemine % ya profit TPDC atayopata kuna flat base ya 20% ..hii haidepend na profit ya siku..na kisha hizi 20% zinaweza ku rise upto 50% ..something like that

Kutokana na gesi iliyogundulikwa kuwa nying...Tz Goverment wakachuka mkopo exim china wajenge Bomba ili kuleta Dar...kulikuwa na bomba lingine la songo songo ..yote yalikuwa joined pamoja..hii gesi inatumika hadi sasa Twiga cement (40mw)..Kinyerezi 1 &2 na zote zitazojengwa...

Sasa shida kubwa inakuja kwamba hizo wells na production plants(offshore) and machines owners ni Hao Exonn mobil ,Shell na BG if am not wrong..
Wakataka wajenge LNG plant Lindi ili tuanze ku export gas..kwenye mkataba huo nahisi TPDC naye angeweza chukua hisa..ila agreement bado iilikuaa kufanyika..

After 2015..Goverment ilianza kusua sua cause iliona hizo contracts ni mbovu yani pamoja na kwamba LNG itajengwa..tutapata Tax..Gdp ita rise ,employment etc..Bado GOT ilikuwa sio mnufaika mkubwa ...sasa President anataka whats best for the country not companies ndo maana unaona kuna kusua sua

Kuhsu umiliki wa hizo blocks am not so sure..but walipewa wa explore gas zilizopo..agreement zao am not sure TPDC anapata ngap but seems ni kidogo kwao...ndo maana president hajaiendeleza hii issue...

Sasa hii inafanya pipeline ya mTwara -dar iwe under utilized cause nia ilikuwa gas yote onshore na off shore zipite hapo...

I hope nimeclear some of questons

Plus kuhsu Nyerere Dam...Its more cheap ku produce Hydro..plus TZ under Tanesco wont be using any money to buy Gas from TPDC ..kumbuka hii mnazi bay Tanesco ananunua TPDC ambaye naye pamoja kwamba anapata hela kuna hela bado inaenda wentworth...So in turn umeme unakuwa bei juu kidogo kuliko utavyokuwa wa maji..of course u might say the pipeline will be under utilized..but it is what it is...
Awamu hii wameongeza Gas plant moja ..Kinyerezi Extension 185Mw...wakati plan ilikuwa kujenga Kinyerezi 3 &4 600MW and 450MW ...ili kuleta 1625MW total..but we wont likely see that soon..
BTW Equinor (formerly Statoil) ndo Largest stakeholder kwa our offshore reserves! Hii mambo ya negotiation hayataki haraka bali weledi! angalia Ghana na Mozambique walioingia kichwakichwa kwenye kusaini makubaliano na ku-float Eurobonds as they anticipated positive results out of their discovery! Au angalia kenya na their early oil pilot scheme that just crumbled! It was a smart move for JPM to sack Prof. Muhongo as he was so much influenced by these Multinational companies to the extent of unfairly sacking Dr. Matarajio as he is patriot that keeps national interests first. It is good that JPM reinstated him at the helm of TPDC!
 
kuhusu tepetepe vip kuhusu ruvu?[emoji1] anyway drop it!!

Mechanically Stabilised Earth (MSE) au sometimes inaitwa Reinforced Earth, Kama jina linavyojieleza ni moja ya approach inayotumika kuhakikisha uimara wa ardhi itakayobeba heavy structure kwenye maeneo tata/nyevunyevu kama pale ktk picha zako, si umeona chini kwanza wanaweka vyuma na reinforced concrete eneo lote. Baada ya hapo watajenga side walls na kujaza udongo/backfill katikati. Otherwise, kama vipi si wangejenga side walls and then waweke backfill and ballast layers watandike reli juu yake? No they need to mechanically stabilise/reinforce the earth surface first.

Umezungumzia kule maeneo ya Ruvu, pale wanajenga madaraja sio MSE Wall hivi ni vitu viwili tofauti, kwa madaraja approach inayofaa ni kusimika pillars mpaka kwenye depth ya mwamba mgumu then kwa juu yake unaweka beams. While kwenye MSE Wall hawataweka beams bali wataweka backfill/udongo etc then ballast layer na reli.

Wakimaliza hio MSE Wall pataweza kuwa kama hizo picha hapo chini:

1

MSE2.png

2
MSE3.png

3
MSE4.png

pia, kweny hizo MSE wall hakutakuwa na gradient yoyote ya kupanda au kushuka... mwisho wa hizo MSE wall both sides kuna madaraja (bridges)

lengo la kujenga hizo MSE walls ni kupunguza gharama za kujenga bridge hilo eneo lote.. kujenga wall ni less cost than bridge, hivyo kutakuwa na daraja flan la kupandia MSE wall, then MSE Wall yenyewe then ndo unapita pale daraja la mandela

Sawa kama wataamua MSE Wall iwe moja kwa moja (end-to-end) kutoka viaduct kuunganisha Madela bridge, Kazi itakua rahisi zaidi., lakini kwa sasa hawonyeshi kama ule upande wa Mandela bridge nako kutakua na MSE wall ndio maana nikauliza kama kutakua na gradient ya kupanda na kushuka kwe MSE Wall upande mmoja na kwa upande wa Mandela wakatumia approach nyingine.

sasa kama nilivyosema mwanzo mchakato wa kujenga daraja la kupandia MSE wall na kujenga wall yenyewe sio ya mwezi mmoja au miwili.. vilevile najiuliza kwann hawakujenga hii wakat wakiwa wanakenga 2km viaduct/bridge au ile daraja la mandela

Kama nilivyosema hio sio kazi ngumu wakimaliza ile MSE pale chini na ikakauka vizuri, kitakachofuata ni kujenga Walls both sides na lastly itakua kujaza/backfill, ballast layer an reli juu. Hio yote sio kazi ngumu ya kuchukua mda mrefu.
 
kuhusu ruvu, hii sehem yenye udongo unaizungumziaje?
View attachment 1515263
kwani umeona any mechanical stabilisation/reinforcement ya ardhi hapo? Sio kila panapojazwa udongo/earthwork ni MSE.

lbda nikuambie kuwa MSE wall inajengwa si kwasababu ya unyevunyevu bali kutokana na flexibility ya eneo lenye high differential settlement and several feet of total settlement, hivyo MSE wall inasaidia kufanya same pressure to be distributed over a wide foundation area

Naona unarudia kile kile nilichosema kwa namna nyingine, the key word here is MSE and then wall, sasa jiulize kwanini sehemu nyinigne ardhi inatakiwa kuwa stabilised.

MSE wall inaanza kujengwa hapa
View attachment 1515275
mpk mwanzo wa mandela bridge (kbla hujavuka upande wa bakhresa)
View attachment 1515277

Okay kwa hio MGR itakatiza chini ya SGR (Rail over Rail) baada ya MSE wall ...
 
kuhusu ruvu, hii sehem yenye udongo unaizungumziaje?
View attachment 1515263View attachment 1515264
lbda nikuambie kuwa MSE wall inajengwa si kwasababu ya unyevunyevu bali kutokana na flexibility ya eneo lenye high differential settlement and several feet of total settlement, hivyo MSE wall inasaidia kufanya same pressure to be distributed over a wide foundation area
Hapo kwenye udongo hawataunganisha steel structure kweli? Mi nadhani imebidi wa-refill udongo kama barrier kuikinga MGR upande wa kulia ila kutasukwa steel structure kuunganisha hizo concete pillars mbili kama Nkrumah!
 
nadhan hamna.. angalia connecting points za hapo nkrumah au sehem nyingine zenye steel structure.. na hizi za ruvu
 
lbda umesahau ulichosema mwanzo au lbda hatujaelewana [emoji23]

fata huu mtiririko tujue nani hajaelewa

Bantugbro: MSE wall inajengwa kwasababu hilo eneo lipo tepetepe au lina unyevunyevu
Simon: Nikaukiza, vip kuhusu ruvu (mana ni eneo lenye unyevu mwingi)
Bantugbro: Ukasema ruvu tayari kuna madaraja (hakuna haja ya MSE wall)
Simon: Nimekuonyesha kwenye picha hapo, kuna madaraja na udongo, nikauliza unaongeleaje kuhusu huu udongo ruvu (eneo lenye unyevu mwingi)
Bantugbro: unaniuliza tena mim ‘kwan nimeona kuna enforcement yoyote hapo?’ 🤷🏾‍♂️

anyway, nishakueleza MSE wall haijengwi kwasababu ya unyevu au utepetepe ya eneo

kuhusu MGR kukatiza sijaelewa... rail over rail means rail moja inakatiza upande mmoja kwenda upande mwingine.. au fatilia MGR inakatiza kwenda wap kutoka upande wa kushoto iliyopo

Nikweli naona hatujaelewana ingawaje tunaongelea kitu kinachofana na sababu kubwa ni hii hapa chini:

Kikubwa nilitaka kukuonyesha nini maana ya method ya "MSE" na kwanini inatumika ktk ujenzi (angalia nimesistiza "MSE" kwanza then nikaweka neno "Wall" baadaye ).

Then nikaona unatumia maneno mawili muhimu kwenye construction material "differential" and "total settlements"

Sasa hapo ndio nikagundua kuwa inawezekana kuwa tunapozungumzia kitu hicho hicho kwa sababu kwenye kila eneo la ujenzi ni lazima uchukue sample za udongo ili kujua "geotechnical properties" za eneo husika kabla ya kuamua ni method gani ya ujenzi itumike. Na vitu vikubwa vinavoangaliwa ni "differential" and "total settlements" properties za udongo. Hizo geotechnical properties hutofautiana kulingana na jinsi udongo ulivyo kwa mfano kama ni wetland/unyevunyevu, au ni mchanga au ni mwamba etc. Hasara ya kutofanya huo utafiti wa sample za udongo wa eneo husika na kuamua kuanza ujenzi bila kuimarisha eneo husika ni nyingi ikiwamo structure yako kupata nyufa, kupinda au hata kubomoka. Sasa je kama umekuta "differential" and "total settlements" properties za udongo ni mbaya nini kifanyike?

Njia za uimarishaji wa eneo husika ziko nyingi, depending on the soil geotechnical properties na aina ya structure unayotaka kujenga:

-Unaweza kustabilise/kuimarisha eneo lako kwa kutumia njia za kawaida tu kama kujaza mawe, kuchanganya udongo na cement au lime then zege halafu unaendelea na ujenzi. Pale Ruvu Yapi katumia method hii kama unavyoona kwenye picha/video wanastabilise eneo husika kwa kujaza mawe na kuchanganya udongo na cement , sub-ballast, ballast then reli.

-Unaweza kutumia mechanical stabilisation hii ndio hio approach Yapi wanatumia pale km 3 hadi km 4 , inayohusisha usukaji wa hizo mesh steel structures ambazo wanazijaza concrete foundation. Sasa kwa kua kitu kinachotakiwa kujengwa ni elevated then watajenga retaining "Walls" on both sides na katikati take watajaza layers za udongo/sub-blallast, ballast na kutandika reli.
 
kuhusu ruvu, hii sehem yenye udongo unaizungumziaje?
View attachment 1515263View attachment 1515264
lbda nikuambie kuwa MSE wall inajengwa si kwasababu ya unyevunyevu bali kutokana na flexibility ya eneo lenye high differential settlement and several feet of total settlement, hivyo MSE wall inasaidia kufanya same pressure to be distributed over a wide foundation area

MSE wall inaanza kujengwa hapa
View attachment 1515275View attachment 1515276
mpk mwanzo wa mandela bridge (kbla hujavuka upande wa bakhresa)
View attachment 1515277
Ni kama baada ya TAZARA, kutakuwa kuna another Rail over Rail overpass nathani ni kuruhusu branch inayoenda bandarini!
 
Mzee Cheyo na kampuni yake ali-submit bid ya ku-supply trains za SGR wakapigwa chini wakaenda mahakamani kukata rufaa, nako huko wakapigwa chini, angalia screenshot hapa chini:
SGR_Trains1.png

XX
SGR_Train2.png
 
Back
Top Bottom