kwa maneno haya tunaona kwenye gesi na kwenye bandari ya bagamoyo kote Magu kawapiga chini wachina. Pia nilisoma mahali kuwa Exxon Mobile nao walikuwepo kwenye utafutaji wa gesi huko kusini, ila awamu ya tano ilipoingia wakasepa.
Sasa hiyo gesi kutoka Mtwara inatumia bomba au inafika vipi hapo Kinyerezi?
Hiyo gesi ya offshore ambayo ni nyingi, kwa nini haijaanza kutumika?
Nikiangalia hali ya kisiasa awamu hii sijasikia gesi ikiongelewa kabisa (naelewa kuna bwawa la Nyerere) lakini je, sababu ya mradi kusimama ni kuzuiwa leseni ya uendeshwaji mpaka mikataba iishe au ni kwa kuwa kila kitu kilishauzwa?
Samahanini kama maswali yangu ni mazito.
Hii ni kwa my knowledge..kama mtu mwingne anajua vingine aseme
Hyo point ya kila kitu kilishauzwa ..i have no clear clarity on that...Hyo gas ya offshore kuna blocks mbali mbali..sasa hizo blocks walipewa kampuni mbali mbali za nje wa exploit na wachimbe..kwa waliziuza basi ni Boko moja kubwa sana....kampuni moja iliyopewa ni exonn mobil...nahisi kuna agreement flani ilifanyika TPDC wakawa wanahisa kwenye kila Block na Well zake ila hisa hizo zilikuwa kidogo (20%) ...niliwahi soma pia document flani kwamba production output ya siku ndo inadertemine % ya profit TPDC atayopata kuna flat base ya 20% ..hii haidepend na profit ya siku..na kisha hizi 20% zinaweza ku rise upto 50% ..something like that
Kutokana na gesi iliyogundulikwa kuwa nying...Tz Goverment wakachuka mkopo exim china wajenge Bomba ili kuleta Dar...kulikuwa na bomba lingine la songo songo ..yote yalikuwa joined pamoja..hii gesi inatumika hadi sasa Twiga cement (40mw)..Kinyerezi 1 &2 na zote zitazojengwa...
Sasa shida kubwa inakuja kwamba hizo wells na production plants(offshore) and machines owners ni Hao Exonn mobil ,Shell na BG if am not wrong..
Wakataka wajenge LNG plant Lindi ili tuanze ku export gas..kwenye mkataba huo nahisi TPDC naye angeweza chukua hisa..ila agreement bado iilikuaa kufanyika..
After 2015..Goverment ilianza kusua sua cause iliona hizo contracts ni mbovu yani pamoja na kwamba LNG itajengwa..tutapata Tax..Gdp ita rise ,employment etc..Bado GOT ilikuwa sio mnufaika mkubwa ...sasa President anataka whats best for the country not companies ndo maana unaona kuna kusua sua
Kuhsu umiliki wa hizo blocks am not so sure..but walipewa wa explore gas zilizopo..agreement zao am not sure TPDC anapata ngap but seems ni kidogo kwao...ndo maana president hajaiendeleza hii issue...
Sasa hii inafanya pipeline ya mTwara -dar iwe under utilized cause nia ilikuwa gas yote onshore na off shore zipite hapo...
I hope nimeclear some of questons
Plus kuhsu Nyerere Dam...Its more cheap ku produce Hydro..plus TZ under Tanesco wont be using any money to buy Gas from TPDC ..kumbuka hii mnazi bay Tanesco ananunua TPDC ambaye naye pamoja kwamba anapata hela kuna hela bado inaenda wentworth...So in turn umeme unakuwa bei juu kidogo kuliko utavyokuwa wa maji..of course u might say the pipeline will be under utilized..but it is what it is...
Awamu hii wameongeza Gas plant moja ..Kinyerezi Extension 185Mw...wakati plan ilikuwa kujenga Kinyerezi 3 &4 600MW and 450MW ...ili kuleta 1625MW total..but we wont likely see that soon..