Unakaa Dar au uko wapi wewe ?Ndio
Umeshawahi kufika stesheni wakati treni ikiondoka au kufika?
Barabara yote ya Sokoine/Kilwa una freeze kutokana na abiria na harakati za mizigo.
Sasa hii treni inatarajiwa kuwa na abiria wengi zaidi ikikaamika. unafikiri itakuaje pale ikileta abiria 3000 kuanzia mwanza ?
Kuna siku niliganda saa nzima kusubiri magari yapungue kuchukua abiria.
Na wengine humu wanasema Reli ya kati itaendelea kutumia kituo hiki hii ina maana Foleni ya Kilwa road niya kudumu.
Kuna wengine wanasema mbona ulaya treni zinaingia mjini ?kwanza lazima uelewe uwepo wa phsibility study ...walifany analysis wakajiridhisha kwa uwezo wa terminal to accomodate 3000 passangers in a confortable manner...pamoja na packing lots pia lazima ujue utafit ulish fanyik so ww subiri final product.
Hizo ni metro na husimama vituo vingi na sehemu kubwa ni underground.
Treni ya masafa marefu mfano tube haisimami katikati ya london.
Kuileta Sgr katikati ya jiji ni strategic mistake. Sio kwel sababu kama itaonekana kuna pressure kubwa mjini siswala la kuallocate tu train za mikoa zishie njee ya mji alfu commutors ziwa sambaze mjini.Wajerumani walejenga pale sababu reli ikitumiwa sana na wao wenyewe na goverment officials pamoja na wahindi waliokua wakikaa mjini.
Leo hali imebadilika wakaazi wa mjini huku sio watumiaji treni ya zamani hata hii Sgr.
So why uwalete huku uhindini ?
Na ni kutokua na uwezo wa kufikiria future...ni mkurupuko.ww ndio una mtazamo hasi ambao hauna mana kabida kwani ww huoni bandari ilipo acha kuwaza abiria tu dababu train zinapata zaid faida kwenye mizigo hujui hii train itaingia bandari
Kwani Mwalimu alipo jenga Tazara main station pale ilipo hakuiona hii station ya sasa.
Mbona hakusema tupunguze gharama tuikarabati stesheni ya mjerumani ?usilazimishe mitazamo ifanane
Kwanza kuvunja tu lile jengo la kihistoria ni upunguwani kinyume cha sheria ya mambo ya kale.
Jengo lenye historia ya treni Tanganyika unaenda kulivunja na kujenga fremu za vioo !
Nchi haiwezi kujengwa na mawazo ya mtu mmoja asiejua historia asiejua thamani ya vitu vya kale. Ni eneo la utalii kwa wajerumani.
Kuna jamaa alisema ukitaka kujua historia ya Tanganyika nenda Museum za Ujerumani, UK , Ureno na Oman.
Na mwengine alisema asie thamini historia yake ni mtumwa.Hivi ww mda mwingine uko obsessed na Magu mbona unaongea pumba tupu ....nenda kote mataifa yaliyo endelea kwenye museaum wanafany renovation, Yani tuache kuweka historia ya nchi yetu unaleta upupu wa kikoloni kweli ww umechanganyikiwa ...kuna shida gani kuweka nembo ya Tanzanite inayo patikana Tz pekeyake duniani, km ni rail ya kikoloni ipo na tunatoa uchafu wa zaman inawekwa reli ya pound kubwa....ni muda wa kuandika historia yetu sio kuishi maisha ya kikoloni niujinga kabisa...sita shangaa ukiona wazungu ndio watu zaidi kuliko wewe sababu umenionyesha inferiority complex towards them.
Upumbavu in Mkapa words
Sent using
Jamii Forums mobile app