Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wako slow sn, hii lot 1 tu wamembwela kinoma, nikipita pale kipawa hakuna viaduct mpk ss, ndo nn ss, ngj wachina wakimbize hii kitu.
Waarabu wanajenga reli kitwana sana...wacha iwacost.
ila hii mbinu alioitumia mjomba safi sana,kawarudisha wachina kwenye bei za uhalisia...in 2yrs nadhani tutakua na uwezo wa kutoa tender ya lot iliyobakia.
 
In two years? Uyu Magu boy utasikia anakwambia mwisho wa mwaka huu tenda ya kipande kilichobaki kitangazwe yaan Magu anataka akimaliza miaka yake awe ameacha historia yake pekee ya kujenga central corridor (Reli ya kati) kwa miaka 10. And JPM is proving to Tanzanians that once you have a good president then 10yrs are not enough. But all in all in 10yrs we will have a fully functional SGR from Dar to Mwanza.
 
Waarabu wanajenga reli kitwana sana...wacha iwacost.
ila hii mbinu alioitumia mjomba safi sana,kawarudisha wachina kwenye bei za uhalisia...in 2yrs nadhani tutakua na uwezo wa kutoa tender ya lot iliyobakia.

Waturuki sio waarabu bali ni wazungu sema hawapo kwenye European Union [emoji1099], au ushasahu Uturuki inacheza UEFA [emoji23] au sio mpenz wa mpira
 
waturuki ni waarabu bro....hahahahah
 
waturuki ni waarabu bro....hahahahah

Ni kweli wale ni waarabu na ni asili yao..ila Nchi yao ni European country...na all their technology na life style imebase Europe hicho ndo nacho maanisha labda mimi niwe nakosea...I stand to be corrected
 
Ni kweli wapo Europian Union na Nato...ila nikuulize tu boss, kwani wale wazungu wa South Africa nao tunawaita waafrica kwakua tu now wanaitwa Africana na kwakua wapo Africa?
Je wale wazungu wa africa kusini wamekua na tabia za ki africa kwakua tu wapo africa? Wa turuki ni waaarabu na hata wakurdi ni waarabu pia thus why wapo mpaka Iraq na most of their behaviors zitabaki za ki arabu arabu ikiwemo their prefered dini ht km wapo ulaya. I wasnt talking abt their location bt rather their origin and their behaviours.
 
Kwanza: Bro waturuki hawana tabia za kiarabu na wala misimamo ya kidini kama nchi za kiarabu...Wale jamaa wanatabia za europeans kabisa nenda instabul uone strip clubs zilivyojaa, Gambling games za kutosha, prostitutes wamejaa barabaran uku wakivaa nguo za uchi hizi si tabia za waarabu bro.

Pili: kuwa muafrika sio rangi wala race yako, hata Mzungu anaweza kuwa Muafrica ikiwa ana birth rights zote maana ukisema hvyo basi we ni mbaguzi maana hata wale wafaransa weusi sio wafaransa au wamarekani weusi sio wamarekani..Africa ni bara na sio watu sisi tunaitwa waafrika kwakuwa tupo bara la Africa ndivyo hivyo kwa Misri, Algeria na Morocco. Ndo maana Duniani hawasemi ubaguzi wa Afrika au Waafrika bali ni ubaguzi wa watu weusi.
 
Bro hakuna haja ya kuendelea na huu mjadala nadhani it's best tujikite kwenye mada husika ya "SGR"...tukishaanza kutuhumiana kua mtu ni mbaguzi sidhani km huo mjadala una afya tena. Asante.
 
Sawa Mkuu
 
China yajitosa ujenzi wa reli ya SGR​

WEDNESDAY JANUARY 06 2021​

palamagamba pic

Summary

  • Waziri Kabudi amesema Waziri Wang Yi atakuwa na mazungumzo binafsi na Rais Magufuli na mazungumzo na ujumbe wa Serikali.

By REHEMA MATOWO
More by this Author

Chato. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya China, Wang Yi anatarajiwa kutua nchini Tanzania kesho Januari 7, ambapo pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano ya reli ya kisasa (SGR) inayotoka Mwanza hadi Isaka yenye urefu wa kilometa 341.

Kwa sasa ujenzi wa reli hiyo kutoka Dares Salaam hadi Mwanza unatekelezwa na kampuni ya Yapi Merkezi.

Akizungumza na waandishi wa habari wilayani Chato leo Januari 6, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema awamu hiyo ya ujenzi itagharimiwa na Serikali ya Tanzania kwa jumla ya Sh3.0617trillion na itajengwa na kampuni mbili kutoka nchini China.

Pia, Profesa Kabudi amesema Waziri huyo atakayetua katika uwanja wa ndege wa Chato Januari 7 jioni, atafanya mazungumzo na Rais John Magufuli na kuzindua chuo cha ufundi wilayani Chato na kutembelea mwalo wa ziwa Victoria wilayani humo kuangalia shughuli za uvuvi.

Amesema Waziri Wang Yi yupo kwenye ziara ya siku tano katika bara la Afrika ambapo kwa Tanzania atakuwepo kwa siku mbili akishiriki mazungumzo binafsi na Rais John Magufuli kisha kufanya mazungumzo rasmi ya kiserikali ya yeye na ujumbe wake.

How is mwanza to Isaka 341km!
Ama mmasai hadi station length
 
Back
Top Bottom