Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 509
- 1,381
Wakati mwingine unaweza kunyamaza kuficha upumbavuIt is not. Is that how you see it???
That ramp is concrete and was done when the stairs were being done.
There is nothing temporary there.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwingine unaweza kunyamaza kuficha upumbavuIt is not. Is that how you see it???
That ramp is concrete and was done when the stairs were being done.
There is nothing temporary there.
Thnx Mkuu...naona Yapi Makenzi wamegoma kutoa Update ya Dec kipande cha Dar-Moro...[emoji23][emoji23]
watatoa tu probably leo! nadhani wanataka kuonyesha utandikaji wa reli kwenye ile viaduct ya Station-Bakhresa!Thnx Mkuu...naona Yapi Makenzi wamegoma kutoa Update ya Dec kipande cha Dar-Moro...[emoji23][emoji23]
That's great news bro though jamaa wapo slow...wawe wanatupa tu updates za kilichopo coz ht wakiwait watuoneshe huo utandikwaji wa reli still kutakua na sehem zina magape.watatoa tu probably leo! nadhani wanataka kuonyesha utandikaji wa reli kwenye ile viaduct ya Station-Bakhresa!
nadhani wamepata lesson kwa kipande cha Mwanza-Isaka kuwa JPM hataki mchezo! mie nangoja tender announcement ya Isaka-Makutupora hapa nina uhakika mpambano utakuwa mkubwa sana kati ya aspiring companies maana as it stands Yapi Merkezi na CCECC ni rivals! nauona mkopo wa nafuu kwa hiki kipande! JPM anazicheza karata vizuri!That's great news bro though jamaa wapo slow...wawe wanatupa tu updates za kilichopo coz ht wakiwait watuoneshe huo utandikwaji wa reli still kutakua na sehem zina magape.
nadhani wamepata lesson kwa kipande cha Mwanza-Isaka kuwa JPM hataki mchezo! mie nangoja tender announcement ya Isaka-Makutupora hapa nina uhakika mpambano utakuwa mkubwa sana kati ya aspiring companies maana as it stands Yapi Merkezi na CCECC ni rivals! nauona mkopo wa nafuu kwa hiki kipande! JPM anazicheza karata vizuri!
CCECC wali-bid $1.3 bln na sio $1.5 bln! BTW kipande kilichobaki Isaka-Makutupora sioni kikizidi $ 2.5 bln!Amini kwamba Mchina ana beba...sio kwa kuvunja bei vile yaan kipande cha Isaka -Mwanza Yapi wamepeleka 2.7B USD na Mchina kapeleka 1.5B USD huu si ubakaji...kama Uyu CCECC akimpeleka ujenzi wa hichi kipande mpela mpela na katika ubora wa juu basi ana nafasi nzur ya kupata vilivyobaki...Ila haya mambo yasivyo tabirika unashangaa Mkorea katokea pasipo julikana kabeba naye kipande chake.
Nadhani hata Yapi haamini km kakosa kile kipande.CCECC wali-bid $1.3 bln na sio $1.5 bln! BTW kipande kilichobaki Isaka-Makutupora sioni kikizidi $ 2.5 bln!
ofcourse hata CCECC wakilete ujinga wanapigwa chini kwa vipande vijavyo!Nadhani hata Yapi haamini km kakosa kile kipande.
CCECC wali-bid $1.3 bln na sio $1.5 bln! BTW kipande kilichobaki Isaka-Makutupora sioni kikizidi $ 2.5 bln!
ofcourse hata CCECC wakilete ujinga wanapigwa chini kwa vipande vijavyo!
hapo kacheza tumewapa ushindani.......Amini kwamba Mchina ana beba...sio kwa kuvunja bei vile yaan kipande cha Isaka -Mwanza Yapi wamepeleka 2.7B USD na Mchina kapeleka 1.5B USD huu si ubakaji...kama Uyu CCECC akimpeleka ujenzi wa hichi kipande mpela mpela na katika ubora wa juu basi ana nafasi nzur ya kupata vilivyobaki...Ila haya mambo yasivyo tabirika unashangaa Mkorea katokea pasipo julikana kabeba naye kipande chake.
Walifanya kosa kuweka Lots 5, zilitakiwa ziwe Lots 4. Isaka - Tabora ni pafupi sana. Nadhani the next Tender itakua moja from Makutupora - Isaka.Hivi kipande ni Makutupora Isaka??..sio kuna vipande viwili hapo kutoka Makutupora-Tabora zen Tabora-Isaka?...maana kama vipande vilikuwa ni Vitano xo vimebaki vipande viwili
Hata headquarters za CCECC East Africa yapo Tanzania!Walifanya kosa kuweka Lots 5, zilitakiwa ziwe Lots 4. Isaka - Tabora ni pafupi sana. Nadhani the next Tender itakua moja from Makutupora - Isaka.
By the way hii kampuni ya CCECC ni kampuni yetu kwa sababu ilianzishwa mara tu baada ya kukamilika ujenzi wa TAZARA.
Kwa wasiofahamu, wakati TAZARA inajengwa nchi ya China haikua na kampuni mahsusi za kwenda kufanya kazi za ujenzi nchi za nje. Hivyo basi ujenzi wa reli ya TAZARA ukifanywa na kikosi maalum kikisimsmiwa chini za wizara ya ujenzi na mambovya nje. Mara baada ya TAZARA kukamilika China ikawa imepata model ya kufanya miradi ya aina hio katika nchi za nje na ndipo kile kikosi maalum kilichojenga TAZARA kikageuzwa rasmi na kuwa kampuni hii ya CCECC.
Baada ya hapo CCECC imekuwa ikifanya miradi mikubwa ya ujenzi duniani kote.
China Roads and bridges ndio the best in CHINA/world
Imeumaeee?!pole.China Roads and bridges ndio the best in CHINA/world
SI HIZI maujinga.