Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Lazima wawe makini mana anachokisema Geza nacho kina mashiko, isije ikawa tunaingizwa mkenge japo ni ppp lkn hii ppp ni jina lingine la Loans.
ilo ataachiwa muwekezaji aipambanie biashara ya reli yake.
tazara iachwe ijikongoje na serkali ijikite kwe central coridor
 
Wana Mataga hamjambo ?
Naona SGR Daraja la Nkurumah limekongongorewa kwa mara ya Tatu.
Naona Jini la pale sio la Nchi hii.
Itabidi Mataga muongee na Jamaa mlie mvunjia Petrol station yake bila ya fidia yoyote.
Petrol station ile ilikua na hati miliki ya mwaka 1966 .
Magu akaivunja kibabe . Haya mukaongee naye au mtavunja hapo na kujenga mpaka maji mtaita mma
 
Hahaha wamevunja daraja la SGR tena?
 
Daah lini tena iyoo
 
Hahaha wamevunja daraja la SGR tena?

Progress at the moment,
sgr.PNG

sgr1.PNG

sgr2.PNG

MY TAKE
After the construction of girders and pylon is completed, the blue steel I-beams r being patched up now before a deck is being constructed ready for concrete slabs and rail bars as the pictures show, ready for the first cable stayed SGR overpass in Africa!

6-5-2_01.jpg

Instead of a tar road in the picture, there will be a concrete slab!

TRC inamiliki ardhi yake tangu Mjerumani ajenge MGRkabla ya 1900, huyu aliyepewa hati 1966 ni ya magumashi!

CC: Tony254
 
Progress at the moment,
View attachment 1741979

View attachment 1741980

View attachment 1741981

TRC inamiliki ardhi yake tangu Mjerumani ajenge MGR huyu aliyepewa hati 1966 ni ya magumashi!

CC: Tony254
Huwa unakashifu Lamu port kwa kuchelewa yet mradi huu umechelewa by almost 2 years now. Nyani haoni kundule.
 
Wana Mataga hamjambo ?
Naona SGR Daraja la Nkurumah limekongongorewa kwa mara ya Tatu.
Naona Jini la pale sio la Nchi hii.
Itabidi Mataga muongee na Jamaa mlie mvunjia Petrol station yake bila ya fidia yoyote.
Petrol station ile ilikua na hati miliki ya mwaka 1966 .
Magu akaivunja kibabe . Haya mukaongee naye au mtavunja hapo na kujenga mpaka maji mtaita mma
Yani ukiwa mjinga basi akili ni mzigo kwako....[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wana Mataga hamjambo ?
Naona SGR Daraja la Nkurumah limekongongorewa kwa mara ya Tatu.
Naona Jini la pale sio la Nchi hii.
Itabidi Mataga muongee na Jamaa mlie mvunjia Petrol station yake bila ya fidia yoyote.
Petrol station ile ilikua na hati miliki ya mwaka 1966 .
Magu akaivunja kibabe . Haya mukaongee naye au mtavunja hapo na kujenga mpaka maji mtaita mma
wapi picha mana mm nmepita jana pale naona kazi inaendelea kwa kasi kubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Progress at the moment,
View attachment 1741979

View attachment 1741980

View attachment 1741981

MY TAKE
After the construction of girders and pylon is completed, the blue steel I-beams r being patched up now before a deck is being constructed ready for concrete slabs and rail bars as the pictures show, ready for the first cable stayed SGR overpass in Africa!

6-5-2_01.jpg

Instead of a tar road in the picture, there will be a concrete slab!

TRC inamiliki ardhi yake tangu Mjerumani ajenge MGRkabla ya 1900, huyu aliyepewa hati 1966 ni ya magumashi!

CC: Tony254
Hiki ndicho nilichokiona jana, hawa jamaa wenye chuki binafsi dhidi ya JPM cjui wataacha lini, mzee wa watu amesha rest in peace kwann kumfata fata?
 
Ona huu uchafu mnaoita interchange, nyie watu ni wachafu mnoo, alafu zingine ni overpass lkn kwenu zime qualify kuitwa interchange, mnachekesha sn nyie watu, jengeni wacheni upumbavu, cc tumeamua kujenga na ndiyo maana tunawatesa sn mana tunaendana na kasi ya dunia inavyotaka na sio kujenga uchafu kuwaongopea wananchi kwa vitu low quality km hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1736394View attachment 1736395View attachment 1736397View attachment 1736398View attachment 1736400View attachment 1736403View attachment 1736404View attachment 1736405

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchafu uliokithiri huko Kenya
 
Back
Top Bottom