Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwahiyo tuwe na bandari kubwa mbili sehemu moja zen mzigo wa kulisha hizo bandari utatoka wapi, wakati mwingine Geza huwa sikuelewi kabisa, siku hizi umekuwa anti Magu kwa mambo mengi hata yale ya wazi kabisa kwamba hayati alikuwa right but umekuwa ukipinga kabisa kwanini unafanya hivyo?

hii bandari inaenda sambamba na ujenzi wa viwanda.. nimeona sehem wameandika 190 (sina uhakika).. ila sasa kama sio ubinafsi kwanini wasitoe hata mkopo kuiboresha ya Dar?? au hata kutoa mkopo wa kujenga dual lane roads au railway kutoka huko bagamoyo(wanapojenga viwanda) hadi Dar???

option ya kuijenga na kuitawala bagamoyo port for a number of years over kutoa mikopo ya kujenga roads/railways probably wameona kuitawala port itawapa faida zaidi kuliko kutoa mikopo

nilichoona hapa ni unyonyaji wa rasilimali/faida.. wataleta ajira sawa lkn wao watapata faida maradufu
 
i mean uwezo wa kufikiria economic impact yake! BTW tuongee vingine tuache haya maneno!
Bagamoyo port is a transhipment port. All cargoes designated to Africa from China and far east will land at Bagamoyo port using huge ships post Panamax creating economies of scale for the port as well as reduction in shipping cost. Also this port goes pamoja na industrial park manufacturing goods for export
 
hii bandari inaenda sambamba na ujenzi wa viwanda.. nimeona sehem wameandika 190 (sina uhakika).. ila sasa kama sio ubinafsi kwanini wasitoe hata mkopo kuiboresha ya Dar?? au hata kutoa mkopo wa kujenga dual lane roads au railway kutoka huko bagamoyo(wanapojenga viwanda) hadi Dar???

option ya kuijenga na kuitawala bagamoyo port for a number of years over kutoa mikopo ya kujenga roads/railways probably wameona kuitawala port itawapa faida zaidi kuliko kutoa mikopo
dar ipo limitation ya space ukichukua urefu wa quayside yote haizidi 3 km! Yaani uzungeke mpaka daraja la Nyerere na uje upande wa Kigamboni! na majadiliano round ya pili ndo yameanza! Vuta subra! kama barrick waliweza kukubalioana na GoT mbona mnakata tamaa na majadiliano haya?
 
dar ipo limitation ya space ukichukua urefu wa quayside yote haizidi 3 km! yaani uzungeke mpaka daraja la Nyerere na uje upande wa Kigamboni!

it’s okay, lkn majamaa watapata faida ya maradufu.. labda ile mikataba aliyosema Magu isiwepo.. kusiwepo na unyonyaji wa ajabu ajabu.. mf eti usiendeleze ya Dar.. Tanzanian authorities ziwe na mamlaka ya kuaudit mambo ya fedha huko ndan bandarin (sijui terms za kiuchum, hope it’s understandable).. ishu ya miaka ipungue.. etc
yan ujue kuna vitu ukivisikia unajua hapa unapigwa.. kama wenzetu kwa express na SGR
 
Kwani mkataba umesainiwa? mbona mna papara? Wamerudi mezani! mi nashangaa hii tabia ya ku write-off every other attempt nje ya JPM mnatoa wapi? A reason napinga watu humu ndani, watu muwe na patience!
 
as if huwajui wachina [emoji2363]
 
Hiki ndicho kitu ambacho hatukitaki, yn unakuwa unajisifia mali ambayo haikusaidii, hakuna mtu asiyependa kuona nchi yake inapata neema lkn neema hiyo isiwe ya machoni tu bali iguse maisha ya raia directly, kama tumekubali bwagamoyo port basi hakuna haja ya kuharibu pesa kuendeleza Dar port mana possibly inaenda kufa, lkn pia km tunaenda mezani isiwe kwa style inayosemwa eti sisi ndiyo tunaowahitaji wawekezaji kuliko wao wanavyotuhitaji sisi cz kwa misemo hiyo mana ake unakwenda kukubaliana na kila hitaji lao, ok ngj tuone.
 
yule mchina kule chato aliambiwa na magu wafute baadhi ya madeni.. mchina akaonyeshwa anaguna guna

wacha kuchanganya madesa kwahiyo wakisamehe Tanzania na wakina Kenya na Angola si wataomba msamaha pia? Au mabenki ya China hayawezi kutetereka? Unajua China wamekopesha wangapi?
 
Hiki ndicho kitu ambacho hatukitaki, yn unakuwa unajisifia mali ambayo haikusaidii, hakuna mtu asiyependa kuona nchi yake inapata neema lkn neema hiyo isiwe ya machoni tu bali iguse maisha ya raia directly, kama tumekubali bwagamoyo port basi hakuna haja ya kuharibu pesa kuendeleza Dar port mana possibly inaenda kufa, lkn pia km tunaenda mezani isiwe kwa style inayosemwa eti sisi ndiyo tunaowahitaji wawekezaji kuliko wao wanavyotuhitaji sisi cz kwa misemo hiyo mana ake unakwenda kukubaliana na kila hitaji lao, ok ngj tuone.
sema hutaki wewe serikali ya Samia inaenda kurudisha huu mradi! Munamuongelea JPM utafikiri alikuwa saint!
 
IMG_0285.jpg
 
Kwani mkataba umesainiwa? mbona mna papara? Wamerudi mezani! mi nashangaa hii tabia ya ku write-off every other attempt nje ya JPM mnatoa wapi? A reason napinga watu humu ndani, watu muwe na patience!
Kuna mda hili li uzi nafikiri kuliacha hasa unapo kuta watu walewale wanakengeuka, point sio kutojenga, point ni inajulikana ni ipi, aaah kuleni ngano pia daah
 
Julio nimeanza kule kunyaland
👇

Tanzania standard gauge rail project to use Hyundai electric trains
Thursday, July 08, 2021

Hyundai has clinched a contract to supply Tanzania's first electric trains. Photo credit: Courtesy | Hyundai Rotem
By Agencies
What you need to know:
The vehicles will be Tanzania's first electric trains.
Hyundai Rotem, the manufacturing company that is part of South Korea-based Hyundai Group, has won a $296 million contract to supply 80 electric multiple units (EMUs) and 17 electric locomotives to Tanzania.

According to reports by South Korean news agencies, the trains will be supplied to the Tanzania Railway Corporation.

The vehicles will be Tanzania's first electric trains, the company said, and will be supplied within three years.

Hyundai Rotem’s electric vehicles will be used on the 546-kilometre-railway running from Dar es Salaam to Makutupora in the Dodoma region, which was recently reconstructed during the first two phases of the Tanzania standard gauge railway project.

The deal with Hyundai follows Tanzania's plan to modernise its railroads after injecting $6.9 billion into upgrading its old rail system.

Tanzania’s railways were narrower than standard gauges, and trains had to be driven at slow speeds of between 30 to 40 kilometres per hour.

However, the new rails mean that electric locomotives and EMUs supplied by Hyundai Rotem can run at maximum speeds of up to 160 kilometres per hour.

More phases
There are still three more phases left in Tanzania's SGR project, including modernising the 673-kilometre railway between Makutupora, Tabora, Isaka and Mwanza. To this end, Hyundai Rotem says it will actively bids to supply more trains.

“As our products will be Tanzania’s first electric trains, we will do our best to successfully carry out the contract,” said a spokesperson for Hyundai Rotem. “We will try to obtain additional contracts by supplying high-quality vehicles.”

Source: Nation
 
Back
Top Bottom