Picha za Kwanza mlizonionyesha ni kama hii hapa Chini...
hapo ukiangalia kote kote Kuna poles za stima, hizi ndo picha ambazo mlitumia haponawali, so kutokana na hio picha ndo comment yangu kuhusu kuhusu kushukisha mizigo kutoka kwa electrical SGR ilitokea, tena nikamwambia mwenzako Geza kwamba the only way that would be possible is kama hio track ya kushukisha mizigo itakua Haina nyaya za stima... Jibu lake ilikua ni Mimi sijielewi, inamaanisha hata yeye alikua hajui kwamba hio track ya kushukisha mizigo haitakua na nyaya za stima Bali itatumia diesel shunting locomotive., Manake kama angekua anajua hangechelewa kuniambia hivyo [so don't blame me for being observant]
Alafu kuhusu gantry cranes, Geza mwenyewe pia alitaja gantry cranes alipoanza kuongelea kuhusu the so called 'dedicated container yards'
Kwahivyo makosa ni yenyu nyinyi mnaopost picha ambazo hamuelewi ni nini alafu mkikosolewa kwa picha na maelezo mliotoa ndo mnakuja juu.... Kuna mwengine amepost picha za rail tracks zinazoingia kwa marshaling yard hapo Kwala, anasema hio ndo marshaling yard, je Mimi ninapoona hio picha ambayo ndo imenukuliwa kua ndo marshaling yard ya Tz na niwakosoe kwamba marshaling yard yenu Haina mahali pa kuegesha makontena nitakuja makosa ni yangu au aliepost picha na kusema hio ndo marshaling yard?