The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Wakenya washakimbia huu uzi, MGR engines tu zimethibitisha kwamba SGR yao ni utumbo wa mbuzi [emoji238][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof Kitila Mkumbo.
Construction work of the SGR going on between Dar es Salaam and Makutupola in Dodoma will be a subject of display at Dubai Expo 2020 according to TanTrade.
Empty containers to Mombasa port
karudi The best 007Umefungua ukaona ziko empty ama?
[emoji7]
Rwanda tunae
Burundi tunae
DRC tunae
South Sudan tunae
Kwa kuwa South Sudan yupo, basi by default Uganda pia yupo.[emoji7]
Rwanda tunae
Burundi tunae
DRC tunae
South Sudan tunae
ila South Sudan na Burundi kama Kenya wanakopesheka kweli? Nikifikiria financing kichwa kinauma!Kwa kuwa South Sudan yupo, basi by default Uganda pia yupo.
ila South Sudan na Burundi kama Kenya wanakopesheka kweli? Nikifikiria financing kichwa kinauma!
Kwa Congo wako vizuri tunaweza kufika. Hata Rwanda pia changamoto bado financing haijakaa Sawa Kwa kipande cha Osaka. Inahitajika aji commit sio maneno tu.ila South Sudan na Burundi kama Kenya wanakopesheka kweli? Nikifikiria financing kichwa kinauma!
kuna kipindi kitafika bandari ya dar wasipojipanga vizuri kimiundo mbinu itazidiwa maana kunakoelekea business itachangamka sana,,Kwa Congo wako vizuri tunaweza kufika. Hata Rwanda pia changamoto bado financing haijakaa Sawa Kwa kipande cha Osaka. Inahitajika aji commit sio maneno tu.
Burundi Hana ujanja tutamkatia freight time as atapata Mizigo Kwa haraka. Uganda can manage as tuko na biashara nae kubwa tu. Sasa ukifika Uganda ni jirani na South Sudan. Hao ni kuwapa incentives tu za ICD Dar na special clearance desk kuwahisha mizigo Yao. Wakinogewa na biashara ikikuwa watakuja na financing models kufikiwa na SGR.
Hii ni kweli mkuu. Africa is the future.kuna kipindi kitafika bandari ya dar wasipojipanga vizuri kimiundo mbinu itazidiwa maana kunakoelekea business itachangamka sana,,
NOTE hii