Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #13,341
Uvinza-Msongati-Giteta SGR loading...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvinza-Msongati-Giteta SGR loading...
Burundi wasi dissapoint..wajiboost hata kama kukopa wajenge hizo 130+km za upande wao ..naona Tz wanataka kutanagza Tender 3 mwaka huu ..Tabora to Kigoma 411km . .and Uvinza to Musongati SGR..158km ...Isaka to Tabora 165kmNaona waburundi na wacongo hawataki kulink na rwannda
SGR Burundi tangu mwanzo haikuwa ipitie Rwanda! Hata Warwanda wakiwa tayari reli yao itaenda DRC pia!Naona waburundi na wacongo hawataki kulink na rwannda
Kwahiyo wewe ndo unawapangia? Sio wao based on their geopolitical influence (kutopita nchi mbili) and distance to the sea? Wacha ujuaji wao ni wateja na wanaamua wapi ipite kutokana na interests zao! Rwanda wana-interest na Mwanza pia! Swala la cost halikuhusu wacha reli itapakae huko maana hiyo ya Rwanda kupitia Keza itamvuta Uganda!I think in terms of resources its cheaper Kigali wakiconnect from.Burundi. via Keza..kuliko kuanza ujezi wa Isaka to keza..SGR line..wakati tuna vipande vingi vinasubiri..kama Kaliua Mpanda Karema 361km...this means Zambia and some parts of DRC..could be served via Karema port..if we build alot of Shipping vessels
Plus Mbeya could easily be reachable from Mpanda if needed...
And Iringa and Njombe could connect from Dodoma SGR..
Isaka to Keza will only be profitable..if we connect rail to Uganda via Kagera
View attachment 2084455View attachment 2084456
Mm navyoona wacongo watapendelea wakoneti via Burundi kwa sababu hawana disputes na Burundi ila Rwanda sidhaniSGR Burundi tangu mwanzo haikuwa ipitie Rwanda! Hata Warwanda wakiwa tayari reli yao itaenda DRC pia!
Hawa jamaa wana matatizo yao ila Kagame na Tshisekedi wako close! Hatupaswi kuingilia migogoro yao!Mm navyoona wacongo watapendelea wakoneti via Burundi kwa sababu hawana disputes na Burundi ila Rwanda sidhani
Rwanda wamebadili mawazo nini? Mbona Isaka-Kigali SGR ime-stagnate?Burundi wasi dissapoint..wajiboost hata kama kukopa wajenge hizo 130+km za upande wao ..naona Tz wanataka kutanagza Tender 3 mwaka huu ..Tabora to Kigoma 411km . .and Uvinza to Musongati SGR..158km ...Isaka to Tabora 165km
Analysis imetulia mkuu.I think in terms of resources its cheaper Kigali wakiconnect from.Burundi. via Keza..kuliko kuanza ujezi wa Isaka to keza..SGR line..wakati tuna vipande vingi vinasubiri..kama Kaliua Mpanda Karema 361km...this means Zambia and some parts of DRC..could be served via Karema port..if we build alot of Shipping vessels
Plus Mbeya could easily be reachable from Mpanda if needed...
And Iringa and Njombe could connect from Dodoma SGR..
Isaka to Keza will only be profitable..if we connect rail to Uganda via Kagera
View attachment 2084455View attachment 2084456
Financing tu hapo. Afbd wako tayari kumwaga hela. Ni wao tu kuwa tayari kuchukua Kwa terms zilizopo. Nakubaliana na wadau hao jamaa janja janja ndio maana unaona hakuna option Moja kufikia DRC. Unaweza pita Burundi au Karema. Watu wakupenda kususa susa Sio wazuri. Mood swing zinaweza kuharibu biashara ghafla tu.Rwanda wamebadili mawazo nini? Mbona Isaka-Kigali SGR ime-stagnate?
Nyie inawahusu nini kama Rwanda wanataka kwenda North Kivu wakati Burundi South Kivu? Nyie badala ku-concentrate na connection to Burundi and Rwanda first mnataka kulazimisha waende DRC kwa connection moja! Mambo hayaendi hivyo nyie shughulikieni ferries zenu kupitia Lake Tanganyika!Financing tu hapo. Afbd wako tayari kumwaga hela. Ni wao tu kuwa tayari kuchukua Kwa terms zilizopo. Nakubaliana na wadau hao jamaa janja janja ndio maana unaona hakuna option Moja kufikia DRC. Unaweza pita Burundi au Karema. Watu wakupenda kususa susa Sio wazuri. Mood swing zinaweza kuharibu biashara ghafla tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Reli itakwenda popote mkuu, kikubwa ni financing tu. Kila mtu aji commit Kwa upande wake.Nyie inawahusu nini kama Rwanda wanataka kwenda North Kivu wakati Burundi South Kivu? Nyie badala ku-concentrate na connection to Burundi and Rwanda first mnataka kulazimisha waende DRC kwa connection moja! Mambo hayaendi hivyo nyie shughulikieni ferries zenu kupitia Lake Tanganyika!
That's the motto!Reli itakwenda popote mkuu, kikubwa ni financing tu. Kila mtu aji commit Kwa upande wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
wacha ujuaji huu ujenzi ni shirikishi kati ya nchi mbili kama nchi ya destination ina priorities nyingine ikiwemo shorter proximity basi huwezi kuwalazimisha vinginevyo Burundi imeunganika kibiashara zaidi na Kigoma! Hii Isaka ilikuwa ubishi wa JPM kulazimisha Burundi ipitishe mizigo Isaka wakati wanatumia Katosho dry port!Isaka to Keza will be profitable kwetu. From there tunaweza kwenda Rwanda, Burundi, Congo na Uganda bila kusahau Kabanga kwenye Nikel...
Pesa ya Msongati tungejenga kuelekea Uganda. Unless km hatuna vipaombele, kipi kianze kipi kifuate.
Acha umama, huwezi jibu hoja bila kufanya personal attacks...kila mtu aha uhuru wa kuchangia maoni yake vile anaona inafaa...wacha ujuaji huu ujenzi ni shirikishi kati ya nchi mbili kama nchi ya destination ina priorities nyingine ikiwemo shorter proximity basi huwezi kuwalazimisha vinginevyo Burundi imeunganika kibiashara zaidi na Kigoma! Hii Isaka ilikuwa ubishi wa JPM kulazimisha Burundi ipitishe mizigo Isaka wakati wanatumia Katosho dry port!
Umama wewe kulazimisha Burundi kupita Isaka wakati wao wanataka Msongati! Maoni yako pelekea Rwanda Isaka na si Burundi wenye Katosho! JPM alikuwa analazimishia Isaka kwa vile kwake! Ndo maana Burundi wakawa wanasita ila lilipokuja suala la connection ya Msongati wamekuwa active ever since!Acha umama, huwezi jibu hoja bila kufanya personal attacks...kila mtu aha uhuru wa kuchangia maoni yake vile anaona inafaa...
By theway JPM kaingiaje hapa?and if you didnt know plan ya kwanza ya mzee mkapa na wenzie 2002 ilikua ni kupita isaka ili ku accomodate mradi wa kabanga Nikel, u can even refer speach ya JK alivyotembea mradi wa SGR after JPM died.
Once again jifunze kuheshimu maoni ya wenzio ht km hukubaliani nayo bila kufanya personal attack, ukion huwezi unaweza pia ku skip maoni yao, sio lazima uyajibu.
Haya ni maoni tu, hakuna sehem nimelazimisha, infact sidhani km wafanya maamuzi hua wanakuja JF kupitia maoni yetu na kuona nani kasema nn na nani kasema nn, or nani kalazimisha nn...wanafanya maamuzi kulingana na priorities zao, funds, feasibility studies, ROI na project factors nyingine...Umama wewe kulazimisha Burundi kupita Isaka wakati wao wanataka Msongati!
sasa wewe ukiangalia hiyo ramani ya Burundi unashindwa kuona kwanini wanataka Msongati-Uvinza? Mzigo wa Burundi unaenda Bujumbura aidha kwa kupitia meli toka Kihoma au kupitia Uvinza halafu Msongati ambapo malori huchukua cargo kutoka bandarikavu ya Katosho! Kumbuka mji mkuu wa Burundi umebadilika ni Gitega! Hizi options mbili ni fupi kuliko Isaka-Keza!Haya ni maoni tu, hakuna sehem nimelazimisha, infact sidhani km wafanya maamuzi hua wanakuja JF kupitia maoni yenu na kuona nani kasema nn na nani kasema nn, or nani kalazimisha nn...wanafanya maamuzi kulingana na priorities zao, funds, feasibility studies, ROI na project factors nyingine...
Sasa ww umekuja na mihemko yako mara niache ujuaji, mara JPM(huyu lazima alikutia dole sio kwa chuki hizi) mara isaka haikua initial plan imelazimishiwa tu(unajifanya unajua kila kitu).
Uwe na siku njema dada, kubishana na mdada alie katika mzunguko wake inahitaji uvumilivu kitu sana ambacho sina...