Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #13,441
tuambie statistics za 2021!MSA port was recieving 36 vessels a week back in 2017 nyi mnaringa na 77 Vessels a month in 2022 🙈🙈🙈🙈
View attachment 2098600
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuambie statistics za 2021!MSA port was recieving 36 vessels a week back in 2017 nyi mnaringa na 77 Vessels a month in 2022 🙈🙈🙈🙈
View attachment 2098600
We all know your port is twice smaller than ours 🤣🤗tuambie statistics za 2021!
Msa port haina uwezo wa kuhudumia meli 36 Kwa wiki. Huu ni uongo wa mchana kweupee..We all know your port is twice smaller than ours [emoji1787][emoji847]
Yani bandari babkubwa ya 22 Berths ishindwe kupokea meli 36 Kwa wiki moja?Msa port haina uwezo wa kuhudumia meli 36 Kwa wiki. Huu ni uongo wa mchana kweupee..
Weka shots hapa ya vessel schedule tuone berth time inachukua muda gani.. Tuone avarage time ya loading and offloading hadi muweze kufikia hapo.
Labda kama meli zinapita tu hapo bila kushusha au kuchukua chochote.
Wacha maneno weka ushahidi hapa tuona mnaweza vipi kuhudumia meli 36 Kwa wiki. Kwa automation ipi hapo msa ambayo Dar itashindwa? Na weka hapa hizo 22 berth ambazo ni operationalYani bandari babkubwa ya 22 Berths ishindwe kupokea meli 36 Kwa wiki moja?
Nikiuekea ushahidi wa idadi ya meli bandarini sahii utafanya nini, ama ni kurusha mdomo Tu?
Dar port received 1407 ships in 2020, Mombasa 1,675 in 2019.Wacha maneno weka ushahidi hapa tuona mnaweza vipi kuhudumia meli 36 Kwa wiki. Kwa automation ipi hapo msa ambayo Dar itashindwa? Na weka hapa hizo 22 berth ambazo ni operational
See the traffic Young man... Ndio ujue wapi wako busy.
View attachment 2099724
Wakenya na manipulation of data.. HahaDar port received 1407 ships in 2020, Mombasa 1,675 in 2019.
View attachment 2099728
View attachment 2099729
Huwa mkilemewa lazima mkuwe excuses, go to Tanzania Bureau of statistics you will get everything there.Wakenya na manipulation of data.. Haha
Hebu kwanza niambie mko wakenya wangapi.. Ndio tuanze kuongelea credibility ya hizi data zenu.
Hiyo rekodi ya meli zilizo dock Dar umepata wapi?
Mara ya mwisho imekuwa updated lini hiyo website? Screenshot the page please.Huwa mkilemewa lazima mkuwe excuses, go to Tanzania Bureau of statistics you will get everything there.
Population ya Kenya itakusaidia na nini?Mara ya mwisho imekuwa updated lini hiyo website? Screenshot the page please.
Na usisahau.. Nipe data wakenya mko wangapi?
Wewe kichwa chako kama jiwe la mtoni tu. Hata likae ndani ya maji miaka karne bado ukipasua ndani ni kavu kabisa.Population ya Kenya itakusaidia na nini?
Data zote za Tz ziko kwa hii link.
Starting from only
9,000km of paved road
28% ELECTRICITY CONNECTIVITY
2.5M number of passengers served by JNIA
National Bureau of Statistics - Tanzania in Figures 2020
Tanzania National Bureau of Statisticswww.nbs.go.tz
After kukupea facts an evidences umeanza hasira sasa, typical Tanzanian indeed🤣🤣🤣Wewe kichwa chako kama jiwe la mtoni tu. Hata likae ndani ya maji miaka karne bado ukipasua ndani ni kavu kabisa.
Facts na evidence? Where is the evidence.. Japo ume derail from your own topic kuhusu idadi ya vessels at msa Port.. Bado sijaona chochote..After kukupea facts an evidences umeanza hasira sasa, typical Tanzanian indeed[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Here is the evidence, directly from the Tanzania Bureau of Statistics.Facts na evidence? Where is the evidence.. Japo ume derail from your own topic kuhusu idadi ya vessels at msa Port.. Bado sijaona chochote..
Nenda tafuta chakula ule..
Achana na data za Tanzania zitakupoteza.
Kwani wewe unajua zaidi kuliko serikali ya Tanzania that keeps record of every ship that makes a call at the port of Dar?🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jiwe la mtoni[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kichwa chako kama jiwe la mtoni tu. Hata likae ndani ya maji miaka karne bado ukipasua ndani ni kavu kabisa.
Yani upo hapo umeketi ukiamini Dar port iko busy kushinda Mombasa? Duh!Wacha maneno weka ushahidi hapa tuona mnaweza vipi kuhudumia meli 36 Kwa wiki. Kwa automation ipi hapo msa ambayo Dar itashindwa? Na weka hapa hizo 22 berth ambazo ni operational
See the traffic Young man... Ndio ujue wapi wako busy.
View attachment 2099724