Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii irakuwa century old line maana sioni the usuals kwenye hii reli [emoji2]
usimvunje moyo bana maana hata barrier protection na drainage systems sizioni! achia mbali 5 railtracks vs 3 railtracks for SGR Kunyaland, pia cargo na PAX terminals for electrical SGR Tanzania! Asikudanganye mtu, Tanzania's electrical SGR is waay too superior!Hii irakuwa century old line maana sioni the usuals kwenye hii reli [emoji2]
huko chini ni parking lot ama? huo uwazi ni nini?
ohk asante kwa maelezo!Hakuna uwazi hapo kaka, ni rangi nyeusi wamepaka kwenye foundation.
Pole pole wanakuja by the time trains zina-operate, hawataongea watanuna!
Ivi Yale ya Korea ukijulisha na haya yatakua mangapi mbona haya yanachukua mda fupi mwaka tu Yale mda mlefu
Aisee ni mengi inabidi waje wa-compile! kulikuwa na order ya 40+ locomotives kama sikosei!Ivi Yale ya Korea ukijulisha na haya yatakua mangapi mbona haya yanachukua mda fupi mwaka tu Yale mda mlefu
You are rightAisee ni mengi inabidi waje wa-compile! kulikuwa na order ya 40+ locomotives kama sikosei!