Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #14,141
watakujibu kukupinga kwa kuona points zao ni bora zaid na excuses zao blaa blaa eti sukuma gang[emoji23].. (watu wa design hii jifunze kuwasikiliza afu wapotezee mana watakupotezea mda)
kuhusu hii line 2.. tungekaa wote mezan Rwanda na Burundi tukubaliane TZ tujenge reli hadi Keza then RD na BD watazipeleka nchin kwao.. hapa kila mmoja akiridhika, tunakuwa tumeua ndege wawili kwa jiwe moja
kuhusu line 1.. hapa tunamkosa RD .. hata ukisema watapitisha kupitia BD itakuwa ngumu sababu hawa mara nying wanazozana wao kwa wao, mfano RD ataona BD anafaidika na mizigo ya RD ikipita BR.. ukipitisha keza (TZ) hata wakizozana wao kwa wao hakuna shida maana junction ya keza ipo TZ
kuhusu DRC kuunganisha reli.. wataunganisha popote hapo musongati either umejenga kupitia line 1 au 2.. najua DRC wanatumia Kigoma port pia kama ilivyosasa , lkn wapo watakaopita musongati hata kwa kujenga line 2 ambayo bado junction bado ipo palepale ambayo itapita musongati kama ilivyo demand yao saiz.. so line 2 ungekuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja iff wote RD, BD na TZ tungekubaliana kujenga line 2.. na si kwa kulazimishwa na utashi (TZ na RD) au (TZ na BD).. tungekubaliana wote watatu line 2 ni bora zaid
kitu kingine, kwann DRC wanataka kupitia BD na si kwa port ya Kigoma ambapo ni rahis? mim naona ni kwa sababu DRC na BD wamekubaliana wao kwa wao ipite BD then itaendelea hadi huko DRC
View attachment 2209855
pia ukiangalia vizur Isaka (Isaka-Mwanza) na Tabora (Tabora-Makutupora) tayar kuna wakandarasi.. then line 2 from Isaka ni pafupi zaidi ya line 1 from Tabora
Wewe si engineer na si engineer ubwabwa piga mahesabu ya distance toka Dar-Uvinza- Msongati-Gitega-Bujumbura-Uvira halafu compare na Dar-Isaka-Keza-Gitega-Uvira! Halafu Urudi hapa na si kuchorachora! Feasibility studies zipo online!