Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

watakujibu kukupinga kwa kuona points zao ni bora zaid na excuses zao blaa blaa eti sukuma gang[emoji23].. (watu wa design hii jifunze kuwasikiliza afu wapotezee mana watakupotezea mda)

kuhusu hii line 2.. tungekaa wote mezan Rwanda na Burundi tukubaliane TZ tujenge reli hadi Keza then RD na BD watazipeleka nchin kwao.. hapa kila mmoja akiridhika, tunakuwa tumeua ndege wawili kwa jiwe moja

kuhusu line 1.. hapa tunamkosa RD .. hata ukisema watapitisha kupitia BD itakuwa ngumu sababu hawa mara nying wanazozana wao kwa wao, mfano RD ataona BD anafaidika na mizigo ya RD ikipita BR.. ukipitisha keza (TZ) hata wakizozana wao kwa wao hakuna shida maana junction ya keza ipo TZ

kuhusu DRC kuunganisha reli.. wataunganisha popote hapo musongati either umejenga kupitia line 1 au 2.. najua DRC wanatumia Kigoma port pia kama ilivyosasa , lkn wapo watakaopita musongati hata kwa kujenga line 2 ambayo bado junction bado ipo palepale ambayo itapita musongati kama ilivyo demand yao saiz.. so line 2 ungekuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja iff wote RD, BD na TZ tungekubaliana kujenga line 2.. na si kwa kulazimishwa na utashi (TZ na RD) au (TZ na BD).. tungekubaliana wote watatu line 2 ni bora zaid

kitu kingine, kwann DRC wanataka kupitia BD na si kwa port ya Kigoma ambapo ni rahis? mim naona ni kwa sababu DRC na BD wamekubaliana wao kwa wao ipite BD then itaendelea hadi huko DRC
View attachment 2209855

pia ukiangalia vizur Isaka (Isaka-Mwanza) na Tabora (Tabora-Makutupora) tayar kuna wakandarasi.. then line 2 from Isaka ni pafupi zaidi ya line 1 from Tabora

Wewe si engineer na si engineer ubwabwa piga mahesabu ya distance toka Dar-Uvinza- Msongati-Gitega-Bujumbura-Uvira halafu compare na Dar-Isaka-Keza-Gitega-Uvira! Halafu Urudi hapa na si kuchorachora! Feasibility studies zipo online!
 
mim sio engineer.. hesabu unayonipa nitajulia wap sasa [emoji38][emoji1787]
 
mim sio engineer.. hesabu unayonipa nitajulia wap sasa [emoji38][emoji1787]
Then nyamaza basi maana JPM alilazimisha hii maneno ya Isaka on his personal interest na kusahau shorter distance to the Indian Ocean n inland waterlink within L. Tanganyika that will cover the larger eastern DRC and the mistrusts other partners have towards Rwanda! Juzi Tshisekedi kailalamikia Rwanda kwenye speech ya kujiunga EAC!
 
eti ninyamaze whoi [emoji1787][emoji1787]
the fact is line 2 is shorter and more profitable than line 1
IMG_5439.jpg
 
eti ninyamaze whoi [emoji1787][emoji1787]
the fact is line 2 is shorter and more profitable than line 1
View attachment 2209881
Tumia macho yako na kujiuliza kama ramani ipo right scale? Na mbona DRC anaungana na Burundi badala ya Rwanda? Kingine Isaka Tabora link unamuachia nani kwenye mchoro wako?

central_multimodal.jpg

Unajua Kigoma port? cargo second to Dar port! sasa combine Kigoma na Burundi na DRC link halafu fanya mahesabu! wacha Sukumagang mentality! Rwanda can still come on board and link via Burundi too!

Kuna sababu kwanini DRC anaikwepa Rwanda pia yuko comfortable na Burundi zaidi ya na Rwanda! Tshisekedi alikuja Dar na kipindi hicho Rwanda nao walikuwa wanapigia debe route yao ila kasaini ya route ya Burundi! Sasa kama hujui kinachoendelea as far as kutoaminiana nyamaza!!

Na hizi meli zinazokarabatiwa na zinazoenda kujengwa kuhudumia the larger eastern DRC zibaki bila ya link ya SGR yenye capacity kubwa?
Sgr yetu itaenda mpaka kigoma phase 6 hiyo port itakuwa served vizuri tuu. Kuweka sgr isaka keza hakumaanishi kuwa sgr haitaenda kigoma. Infact pote palipopita mgr tanzania kutakuwa na parallel rail ya sgr hivyo sioni mantiki yako ya kuingiza kigoma port hapa wakati sgr itafika mpaka kigoma. My only argument ni kipande cha kigoma mpaka border ya Burundi 156km ni unnecessary cost unless wewe umetokea kigoma ndio maana unatetea huu upuuzi. Hapa tunaangalia proximity to all the markets including Uganda

Halafu hoja ya DRC kukwepa Rwanda haina mashiko maana ftom Keza kunakuwa na branch 2 moja via Burundi na nyingine via Rwanda ni choice ya DRC kuunga from either Rwanda au Burundi
 
Sasa mbona hawajajiunga na Rw? Na mchakato wa Keza upo kabla? Na Katosho dry port? Hivi ni our partners wanaamua SGR ipite wapi au sisi?

Sasa mbona hawajajiunga na Rw? Na mchakato wa Keza upo kabla? Na Katosho dry port? Hivi ni our partners wanaamua SGR ipite wapi au sisi?

Initial plan ni Isaka Keza hata feasibility study ishafanyika na iko kwenye financing stage. Kama sikosei serikali ilishateua kampuni ya nje last year kwa ajili ya kusimamia mchakato wa financing.
 
Initial plan ni Isaka Keza hata feasibility study ishafanyika na iko kwenye financing stage. Kama sikosei serikali ilishateua kampuni ya nje last year kwa ajili ya kusimamia mchakato wa financing.
Inajengwa ya Uvinza-Msongati-Gitega-Kindu sasa! Endelea kubisha!

Inajengwa ya Uvinza-Msongati-Gitega-Kindu sasa! Endelea kubisha!

Hii line Congo na Burundi wame gang up ku sideline Rwanda na kama partner states ndio malengo yao there is nothing we can do hence may be Burundi will be at the center of traffic to and from RDC, Rwanda and Tanzania . But this arrangement itatucost sana tutakapo taka kuunganisha Uganda kwenye sgr kutakuwa na kipande kikubwa sana cha kujengwa unless otherwise traffic ys Uganda ipitie Burundi na Rwanda mpaka Uganda na hapo Ndio tunampa Northern corridor nafasi ya ku fill the gap na kuunganisha reli yao mpaka Rwanda kupitia Uganda
 
Tatizo ni Kagame hayuko trust worthy na kuna mistrusts towards him from DRC. There is nothing we can do about! Rwanda haiwezi kuendelea kutuchelewesha! Akiwa tayari ata-join! Kingine route ya Keza-Isaka ni ndefu kwa Burundi.
 
Mbona danganyika inatumia picha za Kenya sgr mtungi wa changaa kuonyesha maendeleo ya SGR yao ambayo imekwama?
JamiiForums416463800.jpg
 
Back
Top Bottom