Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kinshasa: Holding of the Tripartite Ministerial meeting on the SGR Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumbura-Uvira-Kindu​

By​

Cerise Mtoro

JUIN 13, 2022
653c5462-140c-4a25-9e1f-1cf1071c1850.jpg

The DRC Minister of Transport and Communication, Mr Chérubin Okende Senga, The Minister of Transport and Public Works of the United Republic of Tanzania, Makame Mbarawa, and the Minister of Commerce, Transport, Industry and Tourism of the Republic of Burundi, Marie-Chantal Nijimbire held the Tripartite Ministerial meeting on the SGR Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumbura-Uvira-Kindu on Sunday, June 12, 2022 in Kinshasa.

The project aims to facilitate the transport of people and goods between Tanzania and the DRC via Burundi in order to boost the economy in the sub-region. the construction of the latter is an appropriate solution to solve the problem of adequate transport infrastructure that connects the DRC with the members of the Central Corridor.

In his speech, the DRC Transport minister, Chérubin Okende Senga informed the public that in addition to this project, there are so many other integrators from this project.

8b2bed5f-562c-4980-babb-542ef76d325b.jpg

Chérubin Okende
The Minister illustrated some progress made since the signing of the Bilateral Memorandum of Understanding of July 13, 2021 between Burundi and the DRC. In particular, the signing of the Tripartite MOU between the DRC, Burundi and Tanzania on the development of the standard gauge electrified railway project signed in Dar es salaam on March 17, 2022, the commitment made by the governments on the availability of funds for the realization of feasibility studies of the Gitega-bujumbura-Uvira-kindu section, to name a few.

Mrs. Marie-Chantal Nijimbere, Minister of Trade, Transport, Industry and Tourism of the Republic of Burundi placed a few words on the convention.

fdba5c43-4a37-48c0-8772-fc07838bc513.jpg

Marie – Chantal Nijimbire
For his part, the Minister of Transport and Public Works of the United Republic of Tanzania, Makame Mbarawa said:

2345b6bf-24e0-4520-8780-c9c703e042ab.jpg

Makame Mbarawa
This activity benefited from the logistical support of the Central Corridor for its materialization.
Counsel Flory Okandju Okonge Okende, Executive Secretary of the Central Corridor Transit Transport Facilitation Agency, CCTTFA, summarized the activity as follows:

17e99948-ee01-4157-b864-89656078dc17.jpg

Counsel Flory Okandju
It should be noted that this agreement was signed apart from the ministers of three countries under the eyes of the ambassador of the United Republic of Tanzania accredited to Congo, the members of the steering committee of the said project, the executive secretary of the Central Corridor Transit Transport Facilitation Agency, CCTTFA, MPs and so many other personalities.

Auteur​

Partagez:​

Inachoma kama pasi

Cc Kafrican
 
Inakaa TRC wanapita humu ndani

FVSZKwrWUAEAuYo

FVSZMVRX0AMmv5U

MY TAKE
Haya madudu ya kununua vichwa viwili na mabehewa 30 (refurbished), yalifanyikaje kipindi cha malaika?
 
Inakaa TRC wanapita humu ndani

FVSZKwrWUAEAuYo

FVSZMVRX0AMmv5U

MY TAKE
Haya madudu ya kununua vichwa viwili na mabehewa 30 (refurbished), yalifanyikaje kipindi cha malaika?

Geza utabadilisha sana goli kwa ajili ya chuki zako na huyo malaika. Ila ukweli bila yeye tungekua na mtungi wa chang’aa kama jamaa zako wa 54. Hivyo vichwa na mabehewa wamenunua wazee wa asali. Bila kumuondoa chapombe kadogosa hiyo reli itaanza kazi 2033 uko. Ukibisha weka dau tubet
 
Kadogosa aliwekwa na nani pale?
 
Kwa hiyo aliyemuweka ndo aje amtoe? Mbona unakua na akili za (kipumbavu.) hiyo ndo kauli unaipenda hivyo usione kama nimekutukana
Mimi kinachonishangaza ni hii transaction ya ununuzi wa mabehewa na treni chakavu ilifanyika chini ya uongozi wa Malaika kwa zaidi ya Tshs 26 bln! Na hamna kilichofanyika kwa wahusika, au ndo wale untouchables wa Sukumagang? Kadogosa anatakiwa ajiuzulu kwa huu uzembe!
 
Geza kadogosa anajua ukweli hizo trein sio zilizonunuliwa Ndo maana hawezi kutolewa hapo ili kulida maslahi yao. Watu wamebadilisha dill ili wapige hela. Fungua macho mzeebaba
 
Geza kadogosa anajua ukweli hizo trein sio zilizonunuliwa Ndo maana hawezi kutolewa hapo ili kulida maslahi yao. Watu wamebadilisha dill ili wapige hela. Fungua macho mzeebaba
watu wepi hao? Waziri kabla ya Mbarawa yaani Chamuriho? Narudi kulekule untouchable Sukumagang wa JPM? Kumbuka jamaa wa TPA CEO Kakoka pia!
 
watu wepi hao? Waziri kabla ya Mbarawa yaani Chamuriho? Narudi kulekule untouchable Sukumagang wa JPM? Kumbuka jamaa wa TPA CEO Kakoka pia!

Unaamini nchi hii kuna watu untouchable? Na kama una amini hivyo una hisi kwa nini wanakua na nguvu kiasi hicho? Kuna siri wanajua kuhusu nchi? Wana hela sana? Au wanajeshi kwamba wanaweza kuipindua nchi? Mbona kakoka aliondolewa TPA na alikamatwa hata kama hajafikiswa mahakamani. Na kwa nini uhisi kipindi cha chamuhilo na sio kamwele? Au wote kwa pamoja.
 
Mimi nimeangalia Tarehe za Manunuzi, kama umeona kipindi hicho alikuwapo Kamwele weka vielelezo! Inawezekana pia!
 
Mimi nimeangalia Tarehe za Manunuzi, kama umeona kipindi hicho alikuwapo Kamwele weka vielelezo! Inawezekana pia!

Geza ukiona watu wanamsema mama kua ni dhaifu usione kama wote wanaosema ni sukumaG. Inshu kama hizo za trein na mabehewa ilibidi aonyeshe kweli yeye ndo top. Anashindwa nini kuwaajibisha hao watu? Ata ujenzi kuchelewa ilibidi kadogosa na team yake yote wasiwepo ofisini hadi sasa. Malaika na kupenda kwake sifa sizani Kama angekubali kununua mabehewa na train yaliyochoka. Kama kweli unaishi Tanzania suala la watu kufoji documents kwa maslahi yao sio geni. Kama walibadilisha report ya CAG watashindwa nini kubadilisha documents za TRC ili kumwangushia jumba bovu malaika? Na ukizingatia rais ni (mdebwedo) wa maamuzi magumu
 
nimekuelewa ngoja tuone mama akitoka Hija labda atakuwa na nguvu za kutengua pale TRC!
 
electrical SGR Morogoro-Dodoma-Makutupora; 86% done and counting...
 
Back
Top Bottom