Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

First electrical SGR in East Africa i.e. EAC

compare with this noisy garimoshi

sbpjzbw8ka581.jpg
 
Na ndo tunachoongelea hizo za kuanzia huduma!
Procurement rules za GoT haziruhusu ununuzi wa vitu used kwa sababu itakua ngumu sana kupata mshindi wa tender, value for money etc.
Inaelekea hao TRC walipata offer nzuri ya treni za kuanzia ambazo zilikua zimeanza kujengwa kwa ajili ya mteja mwigine sasa wakatakiwa kufanya modifications fulani ili kufit specs zao.
 
Wakuu ishu ya mradi kuchelewa nafikili Shida inaweza kuwa juu , TRC Sina uhakika Kama Kuna Shida , coz wao wanapokea pesa kutoka kule juu pamoja na maelekezo. Wenda mwenda zake alitengeneza mazingira flani yakwake, wa Sasa wanataka kuweka mazingira yao wenyewe. Sasa inaweza let's Shida coz Baadhi ya mikataka washasaini.
Afu jamani hi miradi Mara nyingi Ni gharama Sana nchi Kama zetu hizi Ni Shida Sana.
 
Mwendazake alikuwa anawalazimisha Burundi na DRC kupitia Keza-Isaka ambapo ni mbali kwao na ukiacha ukweli uongozi wa Kagame huwa hautabiriki yaani it's too risky to commit with him on multibillion dollar project (Tayari Uganda wamewashitaki Rwanda East African court kwa kufunga mpaka kinyume na EAC's common market protocols) na ndo maana hawakua na mhamko! We angalia jinsi response ilivyobadilika haraka!
 
Bado media za Tanzania zinatumia picha za sgr ya kenya..hakuna cha kuonesha kwenye sgr ya Tanzania
FB_IMG_16569306196844891.jpeg
 
Mwendazake alikuwa anawalazimisha Burundi na DRC kupitia Keza-Isaka ambapo ni mbali kwao na ukiacha ukweli uongozi wa Kagame huwa hautabiriki yaani it's too risky to commit with him on multibillion dollar project (Tayari Uganda wamewashitaki Rwanda East African court kwa kufunga mpaka kinyume na EAC's common market protocols) na ndo maana hawakua na mhamko! We angalia jinsi response ilivyobadilika haraka!
Mkuu ishu ya SGR ya kwetu kwenda Rwanda it's too risk, hiki kipande Cha isaka -keza- rusumo risk sana kuweka fedha.
Sababu zifuatazo, kwanza ni mbali kutoka isaka mapaka rusumo, pia rwanda hawana mizigo hasa kutoka kwao kule kuja bandarini Bali wanayo mizigo kutoka dsm kwenda kwao, afu Kuna ishu ya mgogoro Kati ya rwanda na drc Wenda rail ikaishia tuu Kigali na hata ikienda north Kivu KUPITIA goma Bado lile eneo halina amani mpaka now.
It's better tunge weka kipaumbele kutoka tabora kalemii mpaka kigoma ziwa tanganyika mapaka msongati Burundi ambako Kuna nickle inaweza kuchibwa ikifika Burundi inaweza kwenda mapaka Congo ambako Kuna mazigo mingi kutoka Congo kuja dsm na kutoka dsm kwenda Congo.
Afu pia kuna Kuna bandari pale kigoma inayopokea na kupeleka mzigo Congo.
 
Na ndo mama anachofanya SGR project phase II inaanza na Tabora-Kigoma halafu Tabora-Kaliua-Mpanda-Karema port! Sasa humu ndani kuna Sukumagang wanamchafua kwavile kaweka maslahi ya nchi mbele!
 
Wafanye hivyo itakuwa fresh Sana , Mara ya kwanza magufuli alikuwa wanalazimisha na ndo maana zitto na bashe walipinga Sana bungeni.
 
Kagame kupata reli itachukua mda Sana awe mpole tuu,
Coz nimewahi kusikia mwanauchumi wa rwanda alisema Uganda sio rahisi kuchukua mkopo kujenga reli wakaisambaza kutoka Kenya eneo la maraba kwenda Kampala kwenda mpaka mpakani mwa Congo mpaka mpakani mwa rwanda na Tena mpaka mpakani wa South Sudan.
Kutokana na uchumi wake Uganda Ni mdogo Sana hawataweza.
 
Na ndo mama anachofanya SGR project phase II inaanza na Tabora-Kigoma halafu Tabora-Kaliua-Mpanda-Karema port! Sasa humu ndani kuna Sukumagang wanamchafua kwavile kaweka maslahi ya nchi mbele!

Kagame kupata reli itachukua mda Sana awe mpole tuu,
Coz nimewahi kusikia mwanauchumi wa rwanda alisema Uganda sio rahisi kuchukua mkopo kujenga reli wakaisambaza kutoka Kenya eneo la maraba kwenda Kampala kwenda mpaka mpakani mwa Congo mpaka mpakani mwa rwanda na Tena mpaka mpakani wa South Sudan.
Kutokana na uchumi wake Uganda Ni mdogo Sana hawataweza.

I think in terms of resources its cheaper Kigali wakiconnect from.Burundi. via Keza..kuliko kuanza ujezi wa Isaka to keza..SGR line..wakati tuna vipande vingi vinasubiri..kama Kaliua Mpanda Karema 361km...this means Zambia and some parts of DRC..could be served via Karema port..if we build alot of Shipping vessels

Plus Mbeya could easily be reachable from Mpanda if needed...

And Iringa and Njombe could connect from Dodoma SGR..

Isaka to Keza will only be profitable..if we connect rail to Uganda via Kagera
View attachment 2084455View attachment 2084456

Acha umama, huwezi jibu hoja bila kufanya personal attacks...kila mtu aha uhuru wa kuchangia maoni yake vile anaona inafaa...
By theway JPM kaingiaje hapa?and if you didnt know plan ya kwanza ya mzee mkapa na wenzie 2002 ilikua ni kupita isaka ili ku accomodate mradi wa kabanga Nikel, u can even refer speach ya JK alivyotembea mradi wa SGR after JPM died.
Once again jifunze kuheshimu maoni ya wenzio ht km hukubaliani nayo bila kufanya personal attack, ukion huwezi unaweza pia ku skip maoni yao, sio lazima uyajibu.

1st. Master plan report iliandaliwa na EAT Community (inchi zote 5) mwaka 2009 at that time JPM alikua waziri wa Ardhi utasemaje hio report ya JPM, who was he to influence hio report at that point in time?

2nd. Ht kutoka Keza unaweza kufika Musogati bila tatzo na ht report hio ya 2009 imesema hivyo.

3rd. Km unataka kutukana tukana tu hakuna aliekukataza, hio ndo njia pekee hua unaitumia kujibu hoja za watu ukiwa huna hoja kinzani.

Ni ubaguzi kuwaita wenzako ngosha(kama ni utani,Hamna shida) Ila mtu anapotoa maoni yake binafsi si mjuaji,cha msingi ni kuheshimu mawazo yake na kumrekebisha!
 
MY TAKE
Lets see if Kagame is serious about the connection from Isaka! Now he has no excuses to reject joining hands with Tanzania building that +400 km btn Isaka and Kigali! Let him honor his friend the late JPM!
 
MY TAKE
Lets see if Kagame is serious about connection from Isaka! Now he has no excuse to refuse to join hands with Tanzania building that +400 km btn Isaka and Kigali! Let him honor his friend the late JPM!

Kipande Cha makutupola to Tabora vipi sijasika.?
Afu nafikili JPM walielewana na PK kuwa kipande Cha isaka to Kigali wote tunachangia , au umebadilika mkataba?
 
sikiliza hiyo clip wapo mobilization ujenzi ushaanza!
 
Back
Top Bottom