Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #14,521
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majirani wajipange tuu. Reli na meli ni very cheap mode of transport. Gharama to and from UG itakuwa low na kuongeza competition sana kwa northern corridor. What we need now ni more cargo ships in lake victoria.
[emoji1][emoji1] kwani Kagame umeshawahi kumsikia anaililia SGR au hata akipiga story za khs SGR?Wenye bandari yao ndio kila siku wanaongelea mambo ya SGR[emoji1][emoji1]. Yule naona hata wakisema leo SGR haitaenda kwake atashukuru wamempunguzia mzigo wa Madeni tu.Yeye anajua malorry yako ya kutosha ya kubeba mizigo inayomhusu.
Still Hakuna faida labda yeye haunganishe kutoka Burundi, kumbuka mkuu kuwaHapana sisi tunajenga mpaka keza 258km kama sikosei wao wanajenga from there to kigali 160km nadhani
Ila mkuu kutoka Kampala KUPITIA kagera mapka dsm ni mbali Sana bro, kuliko kutoka Kampala kwenda Mombasa KUPITIA nairobi , nafikili hivyo, hata ikija kujegwa SGR ya Kenya Wenda wakaamia Kenya.Ruti ya keza itajengwa tuu broo na ina umuhimu kama tunataka kuwavutia waganda
Hiyo line ya keza inaweza ikajengwa if Uganda watapenda kuunga na sgr ya Tz ambayo ni option ya pili ukiacha port bell.Still Hakuna faida labda yeye haunganishe kutoka Burundi, kumbuka mkuu kuwa
Rwanda hawana mzigo ya kutoka kwao kuja dsm bandarini, Ila wanayo kutoka dsm kwenda Kigali, Kama itapitiliza kwenda Congo inaweza saidia Ila issue Congo hawana imani na Rwanda wanaweza Rwanda wakawafanyia figisu kwa faida yao, maana PK haaminiki.

[emoji1][emoji1] kwani Kagame umeshawahi kumsikia anaililia SGR au hata akipiga story za khs SGR?Wenye bandari yao ndio kila siku wanaongelea mambo ya SGR[emoji1][emoji1]. Yule naona hata wakisema leo SGR haitaenda kwake atashukuru wamempunguzia mzigo wa Madeni tu.Yeye anajua malorry yako ya kutosha ya kubeba mizigo inayomhusu.
SGR ya Danganyika haitawahi beba double stack containers [emoji23][emoji23] ata kurudisha kwa port haitawahi