Hizi screens huenda zilitolewa before shipping ili ku avoid theft during shipping and handling at the port. Zikiwa under TRC wataziweka na ku reinforce zisiweze kuibiwa kirahisi. Ingekuwa jambo la ajabu sana umwambie mkandarasi wa Ujerumani akutengenezee grill ya kulinda screen lakini hapa bongo fundi Maiko ni rahisi kumpa kazi hiyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hayana charging points na meza? Yaani hata display screens zimeng'olewa...! Kuna kitu nitakuja kusema humu maana nishawahi kuzipanda huko zilipotoka kabla ya kuwa phased out! Hii maneno haijawa refurbished yaani imepigwa rangi ikapakiwa kwenye meli !!!