Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwa management ile ya TRC sina uhakika na hii Sgr.. Hii mgr iliyopo ni kama hawaithamini na hawaijali..
Mgr ishakufa sasa imebaki kuoza
Sgr kipande kinachoingia bandarini mpaka leo hakijaisha na kazi imesimama hakuna kinachoendelea
 
Mkuu hapa watu wanapenda mapambio, yani hawataki kuambiwa ukweli japo sijajua kama ndio wahusika wakuu wa serikali ndio maana wanafunika kombe ama vipi..!!

Kwa hii reli ya mgr tu ilikua na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa sana ila kutokana na management ya TRC haiko serious lile shirika limekua linaingiza hasara kitu ambacho ni ngumu kuingia akilini, ukiangalia yale malori yanayotoka bandarini kila siku inakuaje shirika linashindwa kubeba mizigo wakati wao ndio gharama zao ni nafuu kuliko malori?!!
Sasa kwa kipimo kama cha mgr shirika limeshindwa hata kujiendesha mpaka wategemee fedha za kuboost mishahara ya wafanyakazi kutoka serikalini,
Je huu mradi mkubea ivi ambao una complication nyingi za umeme plus signalling hawa jamaa watauweza kweli?
Yani linafikilisha kweli
 
MGR ni reli ya zamani sana. Ina zaidi ya miaka 100. Ilijengwa kwa matumizi ya muda ule ndio maana kwa sasa ni ngumu kuwa competitive. Ukianza kulist shida za MGR kwenye miundo mbinu na rolling stock hatuwezi kumaliza.

Mimi naona ni vigumu kujudge competence ya TRC management wakati miundombinu na vifaa haviwapi nafasi ya kushindana. Hiyo SGR ikianza ndio tutajua mbivu na mbichi maana hawatakuwa na pa kujificha.
 
Kweli MGR ni ya zamani lakini mpakasasa inauwezo ikatumika kwa ufanisi na ikaleta manufaa makubwa.
Kiuhalisia TRC haiko sereouse na mgr, mfano watu wanastaafu na hakuna replacement zinazo fanyika, miundombinu inaharibika kuna baadhi ya majengo ya trc mvua ikinyesha hamuezi kufanya kazi mnakua kama mpo chini ya mt. Loco znaharibika znasimama hakuna repair.
Mfano mwingine wa uzembe wa trc uko pale kilosa, yani kila kipindi cha mvua maji yanasomba reli na huduma zinasimama lakini hakuna anaepush kujengwe daraja la kudumu. Inasemekana kunavigogo wa TRC wamegeuza n mradi wa kupigia pesa kila mwaka.
Narudia kusema tena MGR imekufa na imeanza kuoza.
 
Sina details za revenues na matumizi ya TRC ila sidhani TRC wana mapato ya kutosha ya kudeal na tatizo la katikati ya Kilosa na Gulwe.

Kumbuka pale sehemu korofi sio moja na kuna vitu vingi vya kufanya pale. Kuna sehemu za kuhamisha reli, kuna sehemu za kujenga madaraja na kuna sehemu za kujenga mabwawa ya flood control. Gharama ya kuyafanya hayo TRC hawaziwezi hata kiongozi abadilike awe nani.

Sasa shida inakuwa TRC hawapati biashara moja ya sababu ni kutokuwa na uhakika wa huduma, hiyo inasababiisha wanakosa mapato ya maintenance, kukosa maintenace kunafanya huduma kuwa ya mashaka zaidi na hivyo wanakosa wateja zaidi, then wanakosa hela zaidi na cycle inajirudia. Kwa umasikini wa TRC hawana uwezo wa kuhudumia majengo na locomotives kwa ukamilifu kama hata mishahara wanasaidiwa na serikali kuu.

MGR kuwa profitable kunahitaji uwekezaji mkubwa kutoka serikali kuu lakini so far uwekezaji umekuwa wa kusuasua.

Kuna vitu vingine pia vinakuwa against maendeleo ya TRC kama sheria na sera za serikali. Kwa mfano TRC wana maeneo mengi makubwa katikati ya miji. Haya hayahitaji TRC wawe matajiri ila wanaweza kupata private capital wakaendeleza hayo maeneo, ila naamini sheria ilikuwa inawabana. Recently NHC wameweza kuaccess private capital na kupartner na private sector baada ya sheria kubadilishwa ila sijui kama TRC wako covered na hizo sheria mpya.

Then katikati ya Kilosa na Gulwe kulikuwa na mabwawa kadhaa ya flood control yalikuwa chini ya TRC ila serikali iliyahamishia wizara ya maji ambao wana priorities tofauti na wameya-mismanage mpaka yote yamebomoka. Nasikia yanataka kurudishwa TRC ila ni measure ambayo imechelewa sana maana kuyarekebisha sasa ni expensive sana.

Anyway, mambo ni mengi . I just hope SGR will fare better.
 
MGR ya central line iko overhauled mpaka Isaka all continuous welded with increased pounds kwa reli na bridges strengthened to accommodate more tonnage.
The only problem ni hapo kilosa reli inapita kwenye lowland prone to mafuriko. Ili kudhibiti hiyo hali inabidi reli yote ya hicho kipande kiwe elevated au ipite kwenye tunnel mlimani kama SGR ilipopita which by itself ni investment kubwa sana.
 
Mgr ishakufa sasa imebaki kuoza
Sgr kipande kinachoingia bandarini mpaka leo hakijaisha na kazi imesimama hakuna kinachoendelea
MGR kipindi magufuli anaiboresha kwenda kwenye joint welded ulikua wapi mkuu?
Magufuli kipindi anafufua safari za reli ya Tanga Arusha wewe ulikua wapi mkuu?
Magufuli kipindi anarudisha uvushawaji wa mizigo ya Uganda kwa reli kuvukia lake victoria we ulikua wapi kaka?
Hakuna reli ya MGR iliyokufa .
Ruti muhimu ambazo zilikufa zilirejeshwa na reli ikafumuliwa na kuundwa mpya .
MGR kilichobaki ni kubadili mabehewa na kuleta lokomotives mpya bas.
SGR imekwama tu umaliziaji.
Nasafiri na reli kila wakati na nimeona mabadiliko huko napoenda.
 
Kiongozi nakubaliana na wewe kipindi cha magufuli kulikua kuna project ya uboreshaji wa reli yetu, Lakini nkuhakikishie projekt haiukumalizika kama ilivokua imepangwa.
Mfano kwenye uboreshaji wa reli kwenda kwenye joint welded sehemu iliofanyika ni ndogo sana kulinganisha na mpango. ulivokua.

Labda nkuulize tu unafahamu mpaka muda huu ninapoongea huduma za reli Mgr zimesimama mpaka tarehe 23?
Unajua ni kiasi gani cha mzigo umekwama pale morogoro mpaka sasa?

Unajua kwanini kila mwaka lazima reli isombwo na maji pale kilosa?
Unajua vichwa vingapi vimesimama mpaka sasa kwa kukosa vipuli?

Hakuna kitu kinaumiza kama kua mtanzania unaependa nchi yako Halafu unaona mambo yanavoharibika.

Kwa kuongezea tu pale Kwala ICD alivokufa Magu tu na ujenzi umekufa yani wamehindwa hata kumalizia ule ukuta badalayake wameweka wire mesh na maseng'enge.

Ukienda pale Morogoro workshop ndo utatamani kulia
 
Hilo nali sapoti.
Ndio maana nikasema mabehewa na lokomotives vinatakiwa kubadilishwa ni kweli pale Morogoro ile njia inatakiwa irekebishwe ila reli ya Arusha Dar inafanya kazi vizuri always.
Sio kama TRC pesa hakuna ila upigaji ni mwingi na uongozi hauko serious.
Bora mwenda zake angekua hai amalize shughuli hii.
 
Reli ya Tanga Arusha imesimama takriban wiki mbili sasa sababu ni ubovu wa njia uliosababishwa na mvua znazoendelea kunyesha.

Kuhusu pale kilosa kunavigogo ndo mradi wao huo hawataki pajengwe daraja la aina yoyote ile, wenyewe wanajitegeza reli isombwe wapate rizki.

Trc kwa ujumla inaviongozi wazembe wasiokua weledi na wezi , binafsi nilishawahi kukutana na engineer wa TRc hajui kusoma measuring tape. Watu wanastaafu na Idara zao zinakufa.
 
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄 doooh.
Basi huwenda mabadiliko ya wafanyakazi waliyoweka yamechagiza hayo.
Maana nina wazee wanafanya kazi TRC wanasema mama kawajaza Suma JKT kama wote na kuwaondoa waliokua wanafanya kazi zamani.
 
Mkuu hapa watu wanapenda mapambio, yani hawataki kuambiwa ukweli japo sijajua kama ndio wahusika wakuu wa serikali ndio maana wanafunika kombe ama vipi..!!

Kwa hii reli ya mgr tu ilikua na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa sana ila kutokana na management ya TRC haiko serious lile shirika limekua linaingiza hasara kitu ambacho ni ngumu kuingia akilini, ukiangalia yale malori yanayotoka bandarini kila siku inakuaje shirika linashindwa kubeba mizigo wakati wao ndio gharama zao ni nafuu kuliko malori?!!
Sasa kwa kipimo kama cha mgr shirika limeshindwa hata kujiendesha mpaka wategemee fedha za kuboost mishahara ya wafanyakazi kutoka serikalini,
Je huu mradi mkubea ivi ambao una complication nyingi za umeme plus signalling hawa jamaa watauweza kweli?
Yani linafikilisha kweli
Ndio maana tukaweka open access kwa private sector kuweka rollingstock zao kwenye SGR hii itafaya utilization ya reli iwe juu na pia kuleta ushindani baina ya kampuni mbalimbali zitakazokuwa zinatoa huduma kupitia reli ya SGR.
 
Ndio maana tukaweka open access kwa private sector kuweka rollingstock zao kwenye SGR hii itafaya utilization ya reli iwe juu na pia kuleta ushindani baina ya kampuni mbalimbali zitakazikuwa zinatoa huduma kupitia reli ya SGR.
Mmh hilo mimi silishauri.
 
MGR ni reli ya zamani sana. Ina zaidi ya miaka 100. Ilijengwa kwa matumizi ya muda ule ndio maana kwa sasa ni ngumu kuwa competitive. Ukianza kulist shida za MGR kwenye miundo mbinu na rolling stock hatuwezi kumaliza.

Mimi naona ni vigumu kujudge competence ya TRC management wakati miundombinu na vifaa haviwapi nafasi ya kushindana. Hiyo SGR ikianza ndio tutajua mbivu na mbichi maana hawatakuwa na pa kujificha.
Hiyo MGR inakuwa overhauled yote ambapo kwasasa overhaul imeshafanyika toka Dar mpaka Isaka 900km new railings za pound kubwa from from 15 tons per axle to 25 tons per axle sawa na Kenyan SGR. Pili reli yote ni continous welded hii imeongeza average speed from 40km per hour mpaka 80km per hour. Mipango ya kumalizia upgrqde vipande mbali mbali iko mbioni Tabora - mpanda, Isaka-Mwanza, Tabora-Kigoma na Ruvu Junction Tanga na Arusha.
Uongezaji wa reli nene ulienda sambamba na uimarishaji wa madaraja yote kuhimili uziyo wa juu.
 
Mmh hilo mimi silishauri.
Nchi zote duniani zilizoendelea ndivyo zinavyofanya. Setikali haipaswi kufanya biashara bali kutoa mazingira wezeshi. Mfano miradi ya reli ni capital intensive hivyo serikali inapaswa kujenga miundombinu ya reli na kuwaachia private sector wafanye biashara TRC iwe relegated to regulatory duties na fee collection for railroad users.
 
Mkuu hizi data ni za kwenye karatasi kwa ground ni tofauti.
Kwanza reli walioverhaul baadhi ya vipande watu wakapiga hela wakasepa na asilimia kubwa bado haiko cobtinuous welded na kwa sasa max speed ni 65- 70km/h na sio hio 80 unayoisema
 
Hiyo MGR inakuwa overhauled yote ambapo kwasasa overhaul imeshafanyika toka Dar mpaka Isaka 900km new railings za pound kubwa from from 15 tons per axle to 25 tons per axle sawa na Kenyan SGR. Pili reli yote ni continous welded hii imeongeza average speed from 40km per hour mpaka 80km per hour. Mipango ya kumalizia upgrqde vipande mbali mbali iko mbioni Tabora - mpanda, Isaka-Mwanza, Tabora-Kigoma na Ruvu Junction Tanga na Arusha.
Uongezaji wa reli nene ulienda sambamba na uimarishaji wa madaraja yote kuhimili uziyo wa juu.
As long as kila mwaka connection inakatika Kilosa -Gulwe bado kuna kazi kubwa ya kufanya.
 
Nchi zote duniani zilizoendelea ndivyo zinavyofanya. Setikali haipaswi kufanya biashara bali kutoa mazingira wezeshi. Mfano miradi ya reli ni capital intensive hivyo serikali inapaswa kujenga miundombinu ya reli na kuwaachia private sector wafanye biashara TRC iwe relegated to regulatory duties na fee collection for railroad users.
Sidhani km Tanzania iko vizuri katika hilo.
Nadhani serikali yetu unaijua bro.
Ulafi na ufisadi utaingia humo humo tena kwa kukithiri.
 
watu wenye

mapenzi ya dhati na nchi yao naona wanavyoumizwa na namna mwenendo unavyoenda kwanini hata wasiwe wanapita huku kudodosa na kupata mawili matatu bado naona uhitaji wa raisi kama magu hamna namna japo itachukua muda ila twaweza amua.
 
Back
Top Bottom