REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 2,293
- 8,231
Mi hizo station sina tatizo nazo, mi ni huko ndani. Je, Wachina watajenga kwa ubora ule wa Yapi kuanzia madaraja mpaka stesheni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wasijenge? Na kuna project’s consultant?Mi hizo station sina tatizo nazo, mi ni huko ndani. Je, Wachina watajenga kwa ubora ule wa Yapi kuanzia madaraja mpaka stesheni?
Sifahamu. Lets wait and see. Mi sikupendezwa na BRT phase two ya Wachina, niwe mkweli.Mbona wasijenge? Na kuna project’s consultant?
Bora mkandarasi amefuate matakwa yetu amasivyo angetujengea Shaolin temples za kufa mtu huku 😁
Hio stesheni ya Shinyanga ina umbo la Diamond ambayo inapatikana Shinyanga kwa wingi.
Ile BRT phase II design ya vituo hovyo kabisa ila phase III naona wamerudisha design kama ile ya phase ISifahamu. Lets wait and see. Mi sikupendezwa na BRT phase two ya Wachina, niwe mkweli.
Kwakweli,kikubwa wasimamiwe vizuri vitoke vitu vizuri vyenye uboraBora mkandarasi amefuate matakwa yetu amasivyo angetujengea Shaolin temples za kufa mtu huku 😁
Ni kweli design ya stesheni ya Shinyanga ni ya madini ya almas, pia stestesheni ya Malampaka design imejikita katika zao la pamba, stesheni ya Isaka design imejikita katika uunganishaji wa nchi jirani ndio maana ukiangalia jengo muonekano wake kama ni majengo mawili yaliyounganishwa.Hio stesheni ya Shinyanga ina umbo la Diamond ambayo inapatikana Shinyanga kwa wingi.
Basi hapo ndio umefurahii. Upuuzi mtupu. Jaribu tena kivingine😎