Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

leo imeenda ruti ngapi? mutashangaa mukija ipata imejawa kutu. endeleeni kutesti miaka nenda rudi wakati sisi huku tunachana mbuga
Kitu chenye advanced technology kinahitaji test za kutosha .
Angalia spacex rockets , Hata ndege angalia .
Toroli au mkokoteni au gari moshi ni low technology inatengenezwa na kurushwa Kwenye njia itembee hakuna haja ya test 😁😂😂😂😂
 
nilishakwambia, sio mm niliochagua. Ugandans have already decided, and so are Rwanda, Burundi, Drc, SS..... wote wameona kuwa the Kenyan route is the way to go. tried, tested and proven.
hii reli ingine ya 'centro' ni mdebwedo tupu. testing mtu unafanya miaka kumi 🤣🤣🤣. wacheni kuzingua!
View attachment 2989177
Wewe huna akili. Burundi na Tanznia na Congo tayari wamesha secure funds za kuanza ujenzi. Hii ni future alternative ambayo hawataweza kuimplement anytime soon.
 
Mbona 2021 ni data za nyuma sana weka za 2023 tuone growth [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwaio za 2023 ndio zinaonesha mumetupita au? sio lazima nikuwekee kila kitu, hata ww unaweza weka tu
 
Kitu chenye advanced technology kinahitaji test za kutosha .
Angalia spacex rockets , Hata ndege angalia .
Toroli au mkokoteni au gari moshi ni low technology inatengenezwa na kurushwa Kwenye njia itembee hakuna haja ya test 😁😂😂😂😂
boya sana ww. ndege na treni, wapi na wapi? naona umeanza kurukwa na akili
 
Nafikiri utakuwa unakunywa chang’aa , kwa akili yako electric train yenye kasi ya 160 kms per hour sio advanced technology?
kichaa katika ubora wake! ww ni kituko. dude linatembea 38km/hr
FB_IMG_1709004596487.jpg

kuna technology gani sasa hapo ww. aisee, ficha upumbavu wako sometimes.
sasa kwa mfano mungepata ile ya Morocco @ 320km/hr si mungetunyelea vichwani humu 🤣🤣🤣🤣🤣. amka tafadhali
 
boya sana ww. ndege na treni, wapi na wapi? naona umeanza kurukwa na akili
Hapa anaongelea modern technologies kwa train na ndege sasa nini kinakuwasha?
Simple transport systems kama matoroli, mikokoteni, magari, garimoshi na mengineyo hayahitaji testing nyingi
 
Hapa anaongelea modern technologies kwa train na ndege sasa nini kinakuwasha?
Simple transport systems kama matoroli, mikokoteni, magari, garimoshi na mengineyo hayahitaji testing nyingi
ni kitu gani kiko modern hapa 👇
GJvZe0-WMAAA0Kk.jpeg

20240422_020759.jpg
 
kichaa katika ubora wake! ww ni kituko. dude linatembea 38km/hr
View attachment 2989582
kuna technology gani sasa hapo ww. aisee, ficha upumbavu wako sometimes.
sasa kwa mfano mungepata ile ya Morocco @ 320km/hr si mungetunyelea vichwani humu 🤣🤣🤣🤣🤣. amka tafadhali
Huyo anatafuta Mazoba walio mbali kama wewe halafu anawadanganya
 
Back
Top Bottom