Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee 😂😂😂. niliwaambia humu wakabisha sana. matokeo yake ndio haya 👇Mama kazi imemshinda....Yepi wamesimama tangu Oct kati Tabora na Dodoma hakuna kitu wakandarasi wanadai sana kila siku story za TRC na Yepi hela hakuna kutoka hazina.....ADB wametukopesha nadhani wamechepusha hizo pesa.....acha isimame....tulisema kujwnga SGR ujanja ujanja miaka 20.....ma chawa wakabisha......
ametandika wapi na wapi?Tanzania kweli ni wanaume yani walikaa mataifa 4 ya kichovu wakatengeneza ngombe mgonjwa CoW mpaka leo hajazaa ila mwamba mmoja wa kusini katandika reli kote sio ziwa victoria wala Tanganyika tuu bali mpaka Burundi na RDC. Big up my country kweli JIDIPII yetu ni 200bn USD.
Yani kwa plan yao wanafikili museveni atajenga kutoka kampala mpk mpaka wa rwanda na congo pamoja na South Sudan.More than a decade ago walisaini hivihivi. Kelele za chura hazimsumbui Tembo kunywa maji 🤣🤣🤣
Inawezekana! Njia ya ku-discourage Museveni ni SGR Tanzania kufika DRC ksbla ya SGR Ugsnda! Maana hamna bank ita-finance SGR yao kwenda huko.Yani kwa plan yao wanafikili museveni atajenga kutoka kampala mpk mpaka wa rwanda na congo pamoja na South Sudan.
Yani mpk mseveni akope pesa ndo afanye hivyo.
LOT 5 SGR Isaka-Mwanza over 57.48% while LOT 4 SGR Tabor-Isaka over 5.8% LOT 3 SGR Makutupora-Tabora 14.34% na LOT 6 SGR Tabora-Kigoma over 5.49%! Subiria SGR Uvinza-Msongati tender id to be awarded before July! Most likely CCECC will be awaeded the tender!huko kwengine treni inamea mabawa na kupaa ama??? kichwa maji
Yah its true mpk sasa hawana source ya Loans kwa ajiri ya SGR yao.Inawezekana! Njia ya ku-discourage Museveni ni SGR Tanzania kufika DRC ksbla ya SGR Ugsnda! Maana hsmna bank ita-finance SGR yso.
ila uchumi wa Uganda unakua kwa kasi na kumbuka kuna EACOP na refineries r U/C! kuna umuhimu wa Isaka-Chikagati SGR!Yah its true mpk sasa hawana source ya Loans kwa ajiri ya SGR yao.
Na wachambuzi wanasema kuwa uchumi wa Uganda ni mdogo si rahisi kuchukua mkopo wakajenga SGR na kusambaza kote huko itachukua mda kidogo
Licha ya hayo yote hawawezi kujenga wenyewe hata kwa kianzio.ila uchumi wa Uganda unakua kwa kasi na kumbuka kuna EACOP na refineries r U/C! kuna umuhimu wa Isaka-Chikagati SGR!
ila 3 years from now Uganda's petrodollars will be speaking differently!Licha ya hayo yote hawawezi kujenga wenyewe hata kwa kianzio.
Imefika 67% . January 2026 itakuwa 100%!Hata LOT3 SGR Dodoma-Makutupora ni zaidi ya 10%!
evidence?Imefika 67% . January 2026 itakuwa 100%!