Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwa Tanzania infusion fluid tunanunua wapi???
Achana na zinazotengeneza infusion unit, kama st.francis hospital kule.
Kwani Tanzania syringe 💉 tunanunua wapi???
Hasa medical supplies? Tunanunua wapi???

WEWE NDO ACHA UHONGO
NA NINARUDIA ACHA UHONGO.
KAMA WEWE NI CHAWA SAWA.

WEWE mwenyewe upo TZ hapa unajua hali halisi. Unaleta ubishi tuu.
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂Upo factless sana mzee.
Haya ndio maswali gani ya kuuliza!?
Kinachotizamwa ni vifaa tiba vimenunuliwa wapi au ubora wa huduma za afya!?
Huna la maana uloongea mkuu,mbaya zaidi hakuna ulichojibu.
HUNA HOJA MKUU,NIACHE NIENDELEE NA MJADALA MAHUSUSI.
 
UKIONA WATU WAMEKUZIDI KIUCHUMI UJUE WAMEKUZIDI VITU VINGI NDUGU YANGU ACHA UBISHI TUU.

SASA tukirudi kwa kenya uchumi wa kenya ni mkubwa kuliko wetu.
Wewe unafikili inamaana gani???
Nikuulize kitu!?
Kama Kenya ina uchumi mkubwa;
1)Kwanini waliishiwa dawa za TB na wakaomba wizara yetu ya Afya tukawasaidia mwaka huu??
2)Kwanini walikuja kuomba tuwasaidie akiba ya fedha za kigeni mwaka huu ila Samia akawakatalia??
3)Kwanini walishindwa kuruzuku mafuta ili yasipande kiasi yao ni bei kubwa kwa 1200 tzsh zaidi yetu!?
4)Kwanini raia wao wanaandamana maisha kupanda bei HIGHER INFLATION RATE!?

Embu nijibu hayo kwanza,nisikujazie mengi ukashindwa kujibu.
Umeona wapi nchi iliyoendelea ina KASORO hizo hapo juu!?
 
aiseee..! eti wanataka kushindana na sisi..... 🤣🤣🤣
wana akili timamu kweli?
FB_IMG_1720262946844.jpg
 
Mkuu kuna mjadala wa Dar vs Nairobi nenda kule huku usituharibie uzi mkuu.
Hiyo Kenya unayoisifia ina GDP kubwa mwaka huu wametuomba sisi dawa za TB,je hilo unalizungumziaje!?
Mkenya mwenye jilaz yuko hapo Tanzania na kujifanya mmoja wetu. Et Kenya uchumi mkubwa wakati hawaishi uhalisia na sasa ndio wameanza kuishi uhalisia kwa kupunguza mishara ili kuweza kuendesha shughuli za kiserikali. Mapato yote ni $15B bajeti $30B.
 
Huyu huenda akawa Teargas kaja kwa mlango wa uani.😁
 
Mkuu kuna mjadala wa Dar vs Nairobi nenda kule huku usituharibie uzi mkuu.
Hiyo Kenya unayoisifia ina GDP kubwa mwaka huu wametuomba sisi dawa za TB,je hilo unalizungumziaje!?
Sishangai , hata USA big economy unaomba mkopo China.
Ni kawaida labda kwao huko walipata wagonjwa wengi wakaishiwa kwenye stock.
Sasa kufanya order kiwandani mpk wakufanyie production.
Inachukua muda.
 
Back
Top Bottom