Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwaio mafulushi ya mpunga na jogoo tusibebe jamani baadae tutaambiwa tukiingia tuvue viatu
tuombe Mungu tusifike huko maana tunakoelekea sio kuzuri. wengi tutakuja azirika sana
GRKsPmRXoAEPbKm.jpeg
 
IMG_1719.jpeg

Hapa ndo walipofikia jirani zetu baada ya upepo mkali wa SGR yetu, tuwaombee! Behewa moja halafu limeandikwa kichina tupu ukute mkwanja wote unaelekea kwa Soviet dah mchina analamba anavyotaka hizi nyang’au.
 
huwezi kunyorosha miguu, safari nzima munashinda kuangaliana. what if hamuongeleshani sasa... wueh! don't you think it would be awkward the whole journey nyote ni mabubu, mara uangalie juu hiviii mara upande 🤣 🤮
Safari inachukua muda mfupi sana.
Hiyo miguu inaumaje hata usipoinyoosha!?
Unadhani hiyo ni Madaraka nyenyinyo inajiburuta kwa masaa sita?
 
huwezi kunyorosha miguu, safari nzima munashinda kuangaliana. what if hamuongeleshani sasa... wueh! don't you think it would be awkward the whole journey nyote ni mabubu, mara uangalie juu hiviii mara upande 🤣 🤮
Viti vinageuka!
 
The luxury train services will accommodate 28 passengers, providing ample legroom and personal space with fully reclining seats for ultimate relaxation during the journey.
GR345Q2XUAAF_zr.jpeg

GRfnZh4XQAAF2-y.jpeg

GR345T8WcAAiG2S.jpeg
 
Hapo unapopa post daily panaweza kurekebishwa kama ilivyorekebishwa reli nzima ya narrow gauge.
Jambo dogo sana hilo piga kelele za bure kujifariji.
mbuzi kweli ww. reli ina-cost billions of dollars of taxpayers hard-earned money na upo hapa kusifiasifia kwa kuwa ww ni chawa wa mama yaani huna akili kabisa.
nakuhakikishia hio ingekua ndani ya Kenya, mm binafsi nalianzisha kwa kuandamana hadi kieleweke!!!
20240621_155727.jpg

IMG_20240622_135915.jpg

What da fvck???
GSYW0hxWQAA72_l.jpeg
 
Back
Top Bottom