Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kamanda tangu kifo cha Akwilina naona umeamua, kwa hasira ya mkizi; basi na miradi yote ya serikali nayo ishindwe😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda tangu kifo cha Akwilina naona umeamua, kwa hasira ya mkizi; basi na miradi yote ya serikali nayo ishindwe😎
Mkuu, habari njema kama hizi lazma ziambatane na mapichapicha![]()
SGR luxury coaches with recliner seats have arrived
Four Premium coaches, a dining car and four first class coaches have arrivedwww.the-star.co.ke
Mkuu, habari njema kama hizi lazma ziambatane na mapichapicha
View attachment 3045194
View attachment 3045195
View attachment 3045196
View attachment 3045197
Yamekuja mabehewa 4 tuu ya aina hiyo.Daaa! Ndani ni nzuri sana.
Lkn sasa mambo ya kutumia dizel tena haipendezi.
upotezaji wa fedha wangeweza kuangalia namna ya kuongeza speed ya nginjanginja, lakini kwa vile Nairobi-Mombasa journey inachukua masaa sita itasaidia maana abiria hutaka kulala kupunguza uchovu!Yamekuja mabehewa 4 tuu ya aina hiyo.
Hayo masaa sasa mwendo jongoo 🤣🤣🤣
Hata muipambe vipi hilo ni tuk tuk tu.Mkuu, habari njema kama hizi lazma ziambatane na mapichapicha
View attachment 3045194
View attachment 3045195
View attachment 3045196
View attachment 3045197
hata ndege pia inatumia dieselDaaa! Ndani ni nzuri sana.
Lkn sasa mambo ya kutumia dizel tena haipendezi.
nondo bado zinaendelea kushukishwa. kua mpole uone mambo mazuri yakitendekaYamekuja mabehewa 4 tuu ya aina hiyo.
Hayo masaa sasa mwendo jongoo 🤣🤣🤣
ndege inatumia Jet Fuel Jet A-1 unless huko Ukunyani mnatumia diesel! Sishangai hata kui mnaweza kutumia!hata ndege pia inatumia diesel
Fuel!ndege inatumia Jet Fuel Jet A-1 unless huko Ukunyani mnatumia diesel! Sishangai hata kui mnaweza kutumia!
Aren’t you aware that Kenyan trains are faster than those tortoises you have down there?upotezaji wa fedha wangeweza kuangalia namna ya kuongeza speed ya nginjanginja, lakini kwa vile Nairobi-Mombasa journey inachukua masaa sita itasaidia maana abiria hutaka kulala kupunguza uchovu!
Tuoneshe safari mlowahi kutembea chini ya masaa mawili tokea Nairobi mpaka Mombasa.Aren’t you aware that Kenyan trains are faster than those tortoises you have down there?