Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hebu acha upuuzi wako kamanda🙂cheki hapa uniambie ni wapi tunakoelekea 👇
View attachment 3048133
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu acha upuuzi wako kamanda🙂cheki hapa uniambie ni wapi tunakoelekea 👇
View attachment 3048133
Hili silipingi Tanzania is bankrupted na HUO NDIO UHALISIA.cheki hapa uniambie ni wapi tunakoelekea 👇
View attachment 3048133
eliakeem, coodip1, mr Dude, Mgonjwa Mahututi, Apeche alolo... mumeamini sasa?Hili silipingi Tanzania is bankrupted na HUO NDIO UHALISIA.
Ingekuwa bankrupt tungeshajua tunge andamana kwa kukosa msosi na kungekuwa na migomo ya wafanyakazi.
Huyo kamanda stori za vijiwe vya gahawa ndio mwenyewe, yaani huwa hazimpiti😎Embu tutolee story za kwenye vijiwe vya gahawa.
TBT
View: https://youtu.be/KLpgh6BGPRI?si=X8YglbEQ5nFHjIkL
MY TAKE
I am wondering when will that glass tower bebuilt!
husikii?? hela zimeishaKadogosa alitudanganya
nadhani itakuja kujengwa baadae!Kadogosa alitudanganya
Sidhani,ila subiri tuonenadhani itakuja kujengwa baadae!
🤫Ingekuwa bankrupt tungeshajua tunge andamana kwa kukosa msosi na kungekuwa na migomo ya wafanyakazi.
Kwenye ukweli lazima tuzungumze ukweli.
Mfano hiyo TTCL ilianza kuleta shida 2022 na ndio ishakufa kabisa.
Mwendo kasi ujenzi wa kuelekea Gongo la mboto lile eneo toka mwaka juzi limechimbwa na kuharibiwa ila ujenzi wa kusuasua.
Na hata hii SGR kama hatutatafuta watu makini wa kuiendesha basi inakwenda firisika,maana kama MGR tu route alizozifufua Magufuli zingine zishaanza kufa tena na ufanisi wa MGR umepungua,kama mwaka huu mwanzoni watu wankaa station siku nne treni haijaja kwa ratiba iliyopangwa.
Je hiyo SGR itakuaje aisee.
Bongo sasa hivi ni sawa na BURUNDI in all aspects a truth to be told.
Hiyo ni kuhusu miradi.
Ukija katika maisha ya raia biashara ngumu mzunguko wa pesa mgumu aisee.
Ukijipata ufanye biashara ukiingia katika anga za serikali kuna walafi wanaotaka cha juu laa sivyo biashara zako zitaenda mrama,mimi limenikuta mwaka huu April mtu anadai leseni sehem ambayo kodi/VAT ishakatwa kwa kibali,kisa tu sijammegea pande.
Huduma za kijamii zimerudi kuwa mbovu tena kama 2015 kushuka chini.
Vitu vinapanda panda hovyo tu pasi na kueleweka,gharama za maisha ziko juu bongo,IMAGINE HADI VOCHA IMEPANDA BEI,UKITAKA VOCHA YA 1K UONGEZE 100 TZSH aiseee!!
Tunabishana bure tu ila Tanzania ina hali ngumu kama Burundi tu.
maandamano unga ni ukunyani tu!🤫