Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
ndiko kuuzwa huko. dunia hii hakuna cha bure. hivyo ndio huwa mnajisahau na ndio maana nyang'au ataendelea kuwatandika kila siku!Acha upumbavu wewe kujenga ndo kuuzwa? Mbona egypt wamejenga Julius Nyerere kwa hela zetu na hiyo gati tumeshatenga hela kwenye budget pamoja na gati za bagamoyo.
for example unatembea zako maraundi, then all of a sudden/ out of nowhere, you receive a text like this 👇
how will you feel, what would be your reaction?