Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

MGR
Da Isaka 900km
Isaka mwanza 250km
Isaka Kigoma 560km
Tabora kaliua mpanda 450km
Dar Arusha 700km
Tanga Korogwe 100km

Hiyo hapo juu ni urefu wa MGR tuu
Unaweza ukaongeza Tazara 900km on Tanzanian side
SGR Dar Makutupora 560km
Hapa hatuhesabu sidings ni main line tuu.
Kutoka Dar mpaka Tabora kuchepukia Mwanza-Mpanda mbona hujahesabia?
Ni kama umezichanganya hesabu mkuu.
Ungeanzia Dar to Tabora kwenda mbele,maana Dar to Tabora ni 750+kms.
 
Kutoka Dar mpaka Tabora kuchepukia Mwanza-Mpanda mbona hujahesabia?
Ni kama umezichanganya hesabu mkuu.
Ungeanzia Dar to Tabora kwenda mbele,maana Dar to Tabora ni 750+kms.
Kuna kama 150km nyingine hapo
 
Au kuna mradi upi TZ ulianzishwa na serikali ikasema tunaulinganisha na Kenya!?
😂😂 povu la nini sasa? mbona unaandika kwa hisia kali namna hiyo? kwa hiyo sasa nikuamini ww instead kwa kuharahara with no tangible or credible sources/ data?
jitafakari sana... Kenya sio level yako.
yani kila kitu huaga wanakopi kisha wanakuja kw mwenye amefanya wa kwanza na kuanza ku compare...

lapset corridor vs bagamoyo port
kibaka vs thika highway
sgr ke vs sgr tz
turkana wind power nao wanaenda na stiglers hewa
Atcl vs KQ

sasa katika hyo list...za kwao zote ni hewa...yani mpka nashangaa na hawa wasee...

ngoja kidogo kidogo utaskia ndugu yake dongo kundu...
wapuuzi hawa. hawana akili, ndio maana Kenya iko 30yrs mbele. yaani walipo saa hii, ndio Kenya ilikua 1990
 
ila Mturuki bhana! 🤣🤣🤮 🤝
20240621_155727.jpg

IMG_20240818_124325.jpg
 

The beautiful 1k-mile train ride like a safari that's repeatedly named one of world's best​

Rosie Jempson17. August 2024

This beautiful train ride offers passengers the chance to spot unique and interesting wildlife from the comfort of their seats.​

By Rosie Jempson, US News Reporter
06:00, Sat, Aug 17, 2024

Tazara train climbing the Great Rift Valley escarpment, Zambia

The beautiful 1k-mile train ride like a safari that's repeatedly named one of world's best (Image: Getty)

From slicing through the rural landscape to linking a nation's grand cities, the world's top train journeys offer a fresh viewpoint on any destination.

Trains navigate through the scenery providing an adventure, an experience and a glimpse into the heart of a country.

Lonely Planet has compiled a list of some of the finest train journeys globally, with the Tazara Railway securing the seventh spot.

The Tazara Railway (Tanzania and Zambia Railway Authority) offers its passengers the unique chance of spotting wildlife from the comfort of their seats.

However, the real highlight is the chance to spend two days observing everyday life through the window, and relishing the hustle and bustle when the train comes to a stop.

tazara-railway-tanzania-and-zambia-5561169.jpg

Over recent years, these trains have become a major draw for tourists (Image: Getty)

This remarkable single-track railway spans 1,860km and has been operational since 1975.

The Tazara Railway also has an intriguing history.

Funded by China, the line was constructed to boost Zambia's economy, which had previously depended on Zimbabwe and South Africa.

The line enabled Zambia to transport its goods to Dar es Salaam for global shipment.

tazara-railway-tanzania-and-zambia-5561170.jpg

Two passenger trains make the full journey along the Tazara line each week (Image: Getty)
Two passenger trains make the full journey along the Tazara line each week, in both directions.

While they may not be as fast as your average bus, they're a safer way to travel.

Over recent years, these trains have become a major draw for tourists looking to soak up the authentic African train experience.

 
Back
Top Bottom