Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kweli hakuna middle class lakin at least hatushindwi kulipa treni ya 1500 nyinyi mmepandishiwa Bei kidogo ndani ya miezi miwili 62000 passengers wamepungua baada ya miezi SI mtapunguza milioni kabisa
1,500 Ksh. sio Tsh. 😁😁😁
hio ingekua Tanzania, hakuna hata mtu mmoja angepanda bureti treni.
 
Hii ni shida kubwa ina maana karne hii bado watu wanasafiri pamoja na wanyama ??
acha ujinga basi.
mbona kawaida sana...
images-1.jpeg
 
1,500 Ksh. sio Tsh. 😁😁😁
hio ingekua Tanzania, hakuna hata mtu mmoja angepanda bureti treni.
Haha mmepandishiwa hip tu mmekimbia hiyo ksh ni sawa na 31000tzs check kwa hiyo Bei ambayo mmeshindwa wenzen ziko full booked mpaka juma tatu
Hapo Kuna royal class 90,000 sawa ksh 4285
Business class 70,000 sawa na 3300ksh
Then economy ya 40000 tsh na 31000 ambazo nazo ziko full booked haya leta chat ya kwenu
 

Attachments

  • Screenshot_2024-08-24-14-27-59-82_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-08-24-14-27-59-82_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    236.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-08-24-14-28-00-81_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-08-24-14-28-00-81_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    236.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-08-24-14-23-38-61_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-08-24-14-23-38-61_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    182.5 KB · Views: 4
Haha mmepandishiwa hip tu mmekimbia hiyo ksh ni sawa na 31000tzs check kwa hiyo Bei ambayo mmeshindwa wenzen ziko full booked mpaka juma tatu
Hapo Kuna royal class 90,000 sawa ksh 4285
Business class 70,000 sawa na 3300ksh
Then economy ya 40000 tsh na 31000 ambazo nazo ziko full booked haya leta chat ya kwenu
sasa hapo inasema 'no seats available' halafu abiria karibu wote wanashukia Pugu, treni inaenda kitupu 😁😁. abiria wa 'buku' πŸ˜‚πŸ‘‡
IMG_20240823_220644.jpg
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui kwanini nacheka...
IMG_20240824_145140.jpg

SGR: When β€œeconomy class” becomes β€œdaraja la uchumi”!​

Lusugga Kironde2 hours ago
211
SGR-Train-Taarifa.jpg

DODOMA: I have recently travelled on the SGR from Dar es Salaam to Dodoma and I must admit, the experience was fascinating.
 
sasa hapo inasema 'no seats available' halafu abiria karibu wote wanashukia Pugu, treni inaenda kitupu 😁😁. abiria wa 'buku' πŸ˜‚
Express train haisimami pugu na hata ukitaka luprove kuwa ziko full booked request pugu moro uone kama utapata nafasi
 
hamuna middle class. Tanzania ni nchi ya wanyonge 😁😁.
Hiyo inajulisha Tanzania ni nchi yenye purchasing power.
Kitu ambacho wewe unakipata kwa bei kubwa sana huko Nairobi.
Mimi ninaweza kukipata at the lowest price hiko hiko kwa ubora ule ule.
Mfano sgr yenu ni sawa na narrow gauge yetu hata locomotives zake.
Ila bei ya juu,ila SGR yetu iko poa kwa kila kitu speed efficiency mpaka comfortability lakini ni bei chee sana,economy class ni kesh 650.
Ninyi economy ni kesh 1300+.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mnaishi maisha gani ninyi jamaa ya bei ghali yasiyo na ubora!??
 
economy class ni kesh 650.
Ninyi economy ni kesh 1300+.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mnaishi maisha gani ninyi jamaa ya bei ghali yasiyo na ubora!??
kwa distance ipi?? unajua we jamaa unabweka tu kama mbwa koko without evidence.
unachukua distance ya dar - moro unailinganishwa na distance ya Nbo - Msa.
shenzi sana 😁
 
Assumed 90 % after how 10 years then compare na tz ambayo 100% after zero years
Yaan mamburura ya Kenya miaka kumi mnaendeshewa treni na mchina unataka kulinganisha na tz ambayo
...ambayo inaenda kufa kifo cha mende hivi karibuni 😁😁
 
Back
Top Bottom