Reli yao itakuwa ya umeme sasa ikifika malaba sijui itaendaje mpaka Mombasa labda wafunge na locomotive ya diesel from itakayo vuta from malaba to mombasa and back.Hawa Waganda kama hamnazo. Wanakonect na Kenya, yet wanaonesha reli yetu. Sasa yao itakuwa ya umeme, mkaa ama mafuta kama Kenya?