Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #18,701
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i am fully aware that you have a problem with 'comprehension skills' but just take your time to read this 👇Kweli hawawezi kuleta inayotumia mafuta ya taa na ambayo haina air conditioning system
natoka kupitia comments humo aisee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ccm ni wapumbavu hapo hakuna royal..ni upumbavu mwingine kwanza viti ni vyembamba upumbavu mtupu ...nashauri wasiseme kuna royal bali waseme ni level ya kawaida kupunguza aibu za kipumbavu zisizo na msingi
bro,, yaani unaandika kwa uchungu 😂😂 ila nakusihi tu, punguza matusi.Niliwai kusema hspa kuwa treni hilo la EMU la mchongoko wanalo taka watu wapande kwa bei kubwa zaidi ni duni kuliko lile la kawaida lililoanza kazi .. sasa hapo ndiyo kituko kilipo na haya ni madhara ya mipango mibovu za serikali pumbavu ya sisiemu ....yani mtu alipe 150000 kupanda treni duni wakati akipanda treni bora analipa 70000...?..huo. mchongoko una hadhi ya TRAM tu yani kutumika kama BRT za mijini hapo ingekuwa sawa hata viti vyake ni vidogo kufaa kuwa kama basi la daladala tu ....naishauri serikali pumbavu ya sisiemu kufanya haya yafuatayo kwa EMU zitakazo kuja wawaite waundaji wa waje wafanye maboresho kwa kuangalia sgr ya kawaida na hiyo ya EMU kwa hoja kuwa,EMU ni lazima iwe nzuri zaidi kwa ndani kuliko ile ya kawaida .....mapungufu yaliyopo kwenye hiyo EMU ni mengi kuifanya kuwa ya bei juu ni kituko ...mfano wa mapungufu ni taa..taa zipo chache ...tv chache ...viti ni vidogo hakuna sehemu ya kuwekea hata chai au maji ya kunywa nadhani haya yote yametokana na viti kuwa na uwezo wa kuzunguka hivyo imefanya viwe vidogo na kukosa baadhi ya mambo kama kimeza cha kukunjua ...pia bora hiyo EMU ingekuwa na speed kubwa ya 200km/h tunge sema ina hadhi ya kuwa na bei juu kuliko ile sgr ya kawaida ...waboreshe soeed yake...nk ....tren siyo baya ila wakisema kuwa ni ROYAL HAPO NI KOSA KUBWA SANA bei iwe juu kidogo kabda izidi kwa sh 20000 tu
Hakuna matusi ni ukweli ....sikusema treni ni mbaya bali imezidiwa na ile ya kawaida makampuni ni tofauti ysliyo tengeneza ....viti vya kuxunguka ni vizuri ila madhara yake ndiyo hayo ya kuwa vidogo ili viweze kuzunguka na kukosekana kwa vimeza vya kuwekea chakula au kinywaji...hiyo treni ya EMU inafaa sana kutumika kama TRAM mijinibro,, yaani unaandika kwa uchungu 😂😂 ila nakusihi tu, punguza matusi.
ndio kwa mda mrefu nimekuwa nikiwaeleza hapa akina Kosugi, coodip1, mgonjwa mtumbafu na wengine wengi lakini hawakuta kuniskiza. asante sana kwa kuweza kufungua macho sasa bratha 😁😁
Hakuna matusi ni ukweli ....sikusema treni ni mbaya bali imezidiwa na ile ya kawaida makampuni ni tofauti ysliyo tengeneza ....viti vya kuxunguka ni vizuri ila madhara yake ndiyo hayo ya kuwa vidogo ili viweze kuzunguka na kukosekana kwa vimeza vya kuwekea chakula au kinywaji...hiyo treni ya EMU inafaa sana kutumika kama TRAM mijini
Hiyo treni ni nzuri sana tu sema hakukuwa na uwiano wa kiviwanda kujua ni lazima ilo la EMU lizidi sana lile la kawaida kwa uzuri .. bei ya 150000 ilitakiwa kila kiti kiwe na tv ..tena tv ambayo inaweza kuconnect na kamera ya mbele ya treni na ya nyuma ya treni kuelekea nje ili abiria uweze kuona safari yote kwa nje...ingevutia sana utalii....
View attachment 3140716
Hebu tuonyeshe viti vinavyogeuka?
SGR Tanzania
View: https://youtu.be/BSKeoBqNrhY?si=DRJ0p4tvQpkaWatv
😂😂😂Kinachonisikitisha zaidi, naona hii treni inakwenda kufa kifo kibaya ili mabasi huduma yao irejee.
Ni swala la muda tu