Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

our fellow kenyan have so called presidential appointment ACT this act direct the president on how to appoint especially in any position and the act has stipulated the qualification of appointee in any position! This is directory to president , we need this
 
Taratibu Kaka
Taratibu Kaka sisi wadogo zako bado tunakupenda jinsi unavyojitoa kutuelimisha masuala mbalimbali hapa jamvini.
Hofu yetu ni wasiojulikana kukupeleka Katavi!!
 
Ni wakati wa kutoa
"THANK YOU MADAM PRESIDENT"
2025 tunafanya usajili mpya. Ameitumikia nchi kwa muda mrefu mno tokea alipo ajiriwa kama karani hadi alipoingia ofisi kuu kwa ridhaa ya Katiba ile anayoita "kitabu tuu". Akale pension yake na wajukuu kwa amani.
Ajue hakuna mwananchi 2015 alimpa hiyo nafasi, muhimu ajiulize jee kama CCM wangempendekeza yeye na mgombea mwenza angekuwa JPM angetoboa?
Jibu akilipata aliweke moyoni kwake.
 
Kwani aliyeko aliwekwa na mwendazake? Si amestaafu?

Je, wewe unaona falsafa za mwendazake zinaendana na za Mama?
Bila kumtaja mwendazake huridhiki mpaka unalazimika kusema uongo kwa kujua au kutojua ilimradi umtaje tu. Wakati Jpm anafariki dunia DGIS alikuwa Diwani Athumani na "mama yako" ambaye nina uhakika hajawahi kukuzaa alifanya nae kazi kwa taktibani mwaka mmojana point,then akamteua mtu anaitwa Masoro ambaye alifanya nae kazi kwa miezi kadhaa isiyozidi tisa ndo akamteua Siwa ambaye amefanya nae kazi kwa miezi isiyozidi 6 ndo akamteua wa sasa. "Mama yako" ambaye kwa taarifa nilizonazo hajawahi kukuzaa kwa kipindi cha uongozi wake ashateua maDGIS watatu na kimsingi hana falsafa yoyote ya kiuongozi.
 
Hoja yako ni nzuri na inafikirisha. Ila umemalizia vibaya mno. Yaani tuendelee kushuhudia haya Tena baada ya 2025? No
Hapo mwishoni ndipo P huwa anafeli sana. Analeta uzi mzuri then anachanganya na uchawa.
 
Kinacho nisikitisha n namna hizi taarifa zinavyo tufikia public kabla ya uteuzi..
Hiyo ndio kitu imenishangaza sana this time around. Taarifa zinatufikia public mwezi mmoja kabla ya uteuzi na kweli inafanyika hivyo.

Taarifa za kuondolewa Kidata zilitoka wiki 3 kabla na kweli akaondolewa. Taarifa za kumteua mkuu wa TISS zimetoka mwezi mmoja kabla na kweli ameteuliwa.

Hii nchi hakuna siri tena.
 
Makosa ni yake na kama anatengua watu kwa majungu na hear say hilo la kwake abebe mwenyewe. Pascal unajua vizuri sema umeamua kuwa sarcastic tu kujifurahisha, kuchocheana kwingi sana Tanzania
Nakubaliana na hoja yako mkuu
 
Mwisho umemalizia kama kada mwandamizi mkuu, kwadhati kabisa hii sisiemu kwa miaka yote waliyoongoza ukadhani watabadilika sio kweli na issue sio individual yeye anamezwa na mfumo na hakuna anachoweza badili kwa utashi tunapata vipi kigugumizi kuruhusu fikra mpya tuone nao wana kipi kwa Taifa letu hizi akili zilizotufikisha hapa kamwe haziwezi kututoa majina yale yale sura zilezile tuna recycle kana kwamba hakuna watu wanaoweza kuongoza hata huko ndani ya sisiemu mfumo ungekua unaruhusu tungeona mabadiliko lakini huko kukosoana ni dhambi kubwa yausaliti maslahi ya chama yanawekwa mbele kuliko maslahi ya Taifa.
 
Uzi kama huu sie maamuma tunajibalagaza mkitusomesha hapa jamvini hatuna neno.
 
Dawa ya hili ni Katiba Nzuri (siyo Katiba Mpya).

Kwa kuwa appointees wote wanaletwa at the pleasure of the President, then yeye ndiye mwenye vigezo vya performance yao.
Kwani lini hii katiba iliyopo ilifuatwa??
 
Kumbe
Absolutely,Samia siyo msikivu anapenda kusifiwa na kupokea ushauri wa kichawa.Mimi personally nimewai kumfuata DM nikampa ushauri ambao kama angefanya tungekuwa mbali katika sekta ya Utalii lakini aliishia ku-like tu na kuendelea na program yake na yule Mwandishi wa habari.
Hili jambo pia linachangiwa na katiba chakavu ambayo inasema Rais halazimiki kufuta ushauri wa mtu yeyeto!!
 
Upatikanaji wa watumishi wa TISS upatikanaji wao ni wa hovyo wengi ni makada wa CCM
 
Tuna katiba ya hovyo sn ambayo imejaza teuzi za kujuana badala ya uwezo
 
Pengine hujui maana ya uongozi?
 
Haya yote yanasababisha na Nyerere kutuachia katiba ya hovyo kama hii
Mkuu Nyerere alishaondoka miaka mingi sana. Kwa nini sisi tumeshindwa kuondoa hayo makosa? Tusitake kutafuniwa kila kitu. Tunaweza kusema CCM ni majangili hivyo mambo yakienda hivi hawaoni shida. Je, wananchi? Gen Z wa Kenya wameondoa vile visingizio vyetu vya kila siku vya kusubiri wanasiasa kujirekebisha wenyewe.
 
Elimu yetu inatengeneza watu wajinga, haisaidii vijana wengi hawajitambui muda mwingi wanatumia kwenye mpira, bettings na mapenzi, wazee ndiyo wajinga zaidi wanapambana na alkasusi kufanya mapenzi badala ya kujadili maswala ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…