MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Athumani -> Massoro -> Siwa -> Mombo na mwaka haujaisha huu 🤣 🤣 🤣Wengine nimewasahau! Nakumbuka Athuman na Balozi Siwa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Athumani -> Massoro -> Siwa -> Mombo na mwaka haujaisha huu 🤣 🤣 🤣Wengine nimewasahau! Nakumbuka Athuman na Balozi Siwa .
Wanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.
Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za DGIS wa ofisi yetu nyeti, hazitaonekana kama ni early signs of incompetence on a part of the appointing authority?, au vetting is done right ila ma DGIS ndio wanaboronga wenyewe na kupelekea kuwa fired?.
Haijapata kutokea the changing guards ya type hii hapa nchini!, yaani ma DGIS 4 wanakuwa hired na fired ndani ya miaka 3!, its not normal, haijapata kutokea! what is it exactly or what could it be?.
Huko nyuma niliwahi kuandika na kushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! jee inawezekana haya yanayoendelea sasa ya panga pangua ndio safisha safisha?
Na ikitokea ni kweli kuna tatizo, naendelea kusisitiza tusimlaumu yeye kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, maana na yeye ni binadamu pia na sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tuendelee kumpa muda wa kutosha kabisa, na hata ikifika 2025 nyumba yetu ikawa bado haijakaa sawa, tumpe mitano tena ili akamilishe, anakwenda kutupatia katiba mpya.
Paskali
Cc. britanicca
Taratibu Kaka sisi wadogo zako bado tunakupenda jinsi unavyojitoa kutuelimisha masuala mbalimbali hapa jamvini.Wanabodi,

Democracy ipi??Achaneni na democracy ili tuwe na mifumo strong
Bila kumtaja mwendazake huridhiki mpaka unalazimika kusema uongo kwa kujua au kutojua ilimradi umtaje tu. Wakati Jpm anafariki dunia DGIS alikuwa Diwani Athumani na "mama yako" ambaye nina uhakika hajawahi kukuzaa alifanya nae kazi kwa taktibani mwaka mmojana point,then akamteua mtu anaitwa Masoro ambaye alifanya nae kazi kwa miezi kadhaa isiyozidi tisa ndo akamteua Siwa ambaye amefanya nae kazi kwa miezi isiyozidi 6 ndo akamteua wa sasa. "Mama yako" ambaye kwa taarifa nilizonazo hajawahi kukuzaa kwa kipindi cha uongozi wake ashateua maDGIS watatu na kimsingi hana falsafa yoyote ya kiuongozi.Kwani aliyeko aliwekwa na mwendazake? Si amestaafu?
Je, wewe unaona falsafa za mwendazake zinaendana na za Mama?
Hapo mwishoni ndipo P huwa anafeli sana. Analeta uzi mzuri then anachanganya na uchawa.Hoja yako ni nzuri na inafikirisha. Ila umemalizia vibaya mno. Yaani tuendelee kushuhudia haya Tena baada ya 2025? No
Hiyo ndio kitu imenishangaza sana this time around. Taarifa zinatufikia public mwezi mmoja kabla ya uteuzi na kweli inafanyika hivyo.Kinacho nisikitisha n namna hizi taarifa zinavyo tufikia public kabla ya uteuzi..
Nakubaliana na hoja yako mkuuMakosa ni yake na kama anatengua watu kwa majungu na hear say hilo la kwake abebe mwenyewe. Pascal unajua vizuri sema umeamua kuwa sarcastic tu kujifurahisha, kuchocheana kwingi sana Tanzania
Mwisho umemalizia kama kada mwandamizi mkuu, kwadhati kabisa hii sisiemu kwa miaka yote waliyoongoza ukadhani watabadilika sio kweli na issue sio individual yeye anamezwa na mfumo na hakuna anachoweza badili kwa utashi tunapata vipi kigugumizi kuruhusu fikra mpya tuone nao wana kipi kwa Taifa letu hizi akili zilizotufikisha hapa kamwe haziwezi kututoa majina yale yale sura zilezile tuna recycle kana kwamba hakuna watu wanaoweza kuongoza hata huko ndani ya sisiemu mfumo ungekua unaruhusu tungeona mabadiliko lakini huko kukosoana ni dhambi kubwa yausaliti maslahi ya chama yanawekwa mbele kuliko maslahi ya Taifa.Wanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.
Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za DGIS wa ofisi yetu nyeti, hazitaonekana kama ni early signs of incompetence on a part of the appointing authority?, au vetting is done right ila ma DGIS ndio wanaboronga wenyewe na kupelekea kuwa fired?.
Haijapata kutokea the changing guards ya type hii hapa nchini!, yaani ma DGIS 4 wanakuwa hired na fired ndani ya miaka 3!, its not normal, haijapata kutokea! what is it exactly or what could it be?.
Huko nyuma niliwahi kuandika na kushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! jee inawezekana haya yanayoendelea sasa ya panga pangua ndio safisha safisha?
Na ikitokea ni kweli kuna tatizo, naendelea kusisitiza tusimlaumu yeye kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, maana na yeye ni binadamu pia na sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tuendelee kumpa muda wa kutosha kabisa, na hata ikifika 2025 nyumba yetu ikawa bado haijakaa sawa, tumpe mitano tena ili akamilishe, anakwenda kutupatia katiba mpya.
Paskali
Cc. britanicca
Uzi kama huu sie maamuma tunajibalagaza mkitusomesha hapa jamvini hatuna neno.Wanabodi,

Kwani lini hii katiba iliyopo ilifuatwa??Dawa ya hili ni Katiba Nzuri (siyo Katiba Mpya).
Kwa kuwa appointees wote wanaletwa at the pleasure of the President, then yeye ndiye mwenye vigezo vya performance yao.
Haikufuatwa to be honestKwani lini hii katiba iliyopo ilifuatwa??
Absolutely,Samia siyo msikivu anapenda kusifiwa na kupokea ushauri wa kichawa.Mimi personally nimewai kumfuata DM nikampa ushauri ambao kama angefanya tungekuwa mbali katika sekta ya Utalii lakini aliishia ku-like tu na kuendelea na program yake na yule Mwandishi wa habari.Tatizo ni rais.hana uwezo wa kuongoza.akipewa ushauri wa kusimamia maliasili zetu ananuna na kukasirika na kuanza kuwafukuza. Anataka ushauri unaompendeza yeye kama ule wa kuuza Kila kitu Kwa wageni.madhara ya mtu kupata urais pasipo kutarajia (kurithishwa Kwa katiba au mserereko) ndiyo haya sasa.toka aanze kubadili matokeo Gani Sasa tunayofaidika nayo zaidi ya kuua uchumi wetu.
Upatikanaji wa watumishi wa TISS upatikanaji wao ni wa hovyo wengi ni makada wa CCMWanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.
Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za DGIS wa ofisi yetu nyeti, hazitaonekana kama ni early signs of incompetence on a part of the appointing authority?, au vetting is done right ila ma DGIS ndio wanaboronga wenyewe na kupelekea kuwa fired?.
Haijapata kutokea the changing guards ya type hii hapa nchini!, yaani ma DGIS 4 wanakuwa hired na fired ndani ya miaka 3!, its not normal, haijapata kutokea! what is it exactly or what could it be?.
Huko nyuma niliwahi kuandika na kushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! jee inawezekana haya yanayoendelea sasa ya panga pangua ndio safisha safisha?
Na ikitokea ni kweli kuna tatizo, naendelea kusisitiza tusimlaumu yeye kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, maana na yeye ni binadamu pia na sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tuendelee kumpa muda wa kutosha kabisa, na hata ikifika 2025 nyumba yetu ikawa bado haijakaa sawa, tumpe mitano tena ili akamilishe, anakwenda kutupatia katiba mpya.
Paskali
Cc. britanicca
Tuna katiba ya hovyo sn ambayo imejaza teuzi za kujuana badala ya uwezoKumbe
Absolutely,Samia siyo msikivu anapenda kusifiwa na kupokea ushauri wa kichawa.Mimi personally nimewai kumfuata DM nikampa ushauri ambao kama angefanya tungekuwa mbali katika sekta ya Utalii lakini aliishia ku-like tu na kuendelea na program yake na yule Mwandishi wa habari.
Hili jambo pia linachangiwa na katiba chakavu ambayo inasema Rais halazimiki kufuta ushauri wa mtu yeyeto!!
Pengine hujui maana ya uongozi?Amini nakuambia Paskali; hata wewe ukitaka unaowachagua wafanye kama utakavyo wewe na hutastahimili kufanya kinyume chake basi kila wakati utakuwa unateua na kutengua kwa sababu Watanzania tuna matatizo sana! Yule uliyemtua yeye kama yeye anaweza kuwa yupo vizuri au anaweza kulazimika awe vizuri kwa sababu anafahamu ameteuliwa leo lakini kesho anaweza kutenguliwa!
Je, wale walio chini yake na wenyewe wanaweza kuwajibika kwa hofu na wao leo wapo na kesho wanaweza wasiwepo? Kwavile huku chini probability ya "Hire and Fire" ni ndogo sana, hiyo ni fursa kwa wazembe kuendeleza uzembe wao kwa sababu ni rahisi sana kutimuwa hata Katibu Mkuu Kiongozi kuliko kutimua Mtumishi wa kawaida wa umma!
Mkuu Nyerere alishaondoka miaka mingi sana. Kwa nini sisi tumeshindwa kuondoa hayo makosa? Tusitake kutafuniwa kila kitu. Tunaweza kusema CCM ni majangili hivyo mambo yakienda hivi hawaoni shida. Je, wananchi? Gen Z wa Kenya wameondoa vile visingizio vyetu vya kila siku vya kusubiri wanasiasa kujirekebisha wenyewe.Haya yote yanasababisha na Nyerere kutuachia katiba ya hovyo kama hii
Elimu yetu inatengeneza watu wajinga, haisaidii vijana wengi hawajitambui muda mwingi wanatumia kwenye mpira, bettings na mapenzi, wazee ndiyo wajinga zaidi wanapambana na alkasusi kufanya mapenzi badala ya kujadili maswala ya nchi.Mkuu Nyerere alishaondoka miaka mingi sana. Kwa nini sisi tumeshindwa kuondoa hayo makosa? Tusitake kutafuniwa kila kitu. Tunaweza kusema CCM ni majangili hivyo mambo yakienda hivi hawaoni shida. Je, wananchi? Gen Z wa Kenya wameondoa vile visingizio vyetu vya kila siku vya kusubiri wanasiasa kujirekebisha wenyewe.