Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

Wanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.

Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za ofisi nyeti ile, hazitaonekana kama early signs of incompetence on part of the appointing authority?.

Haijapata kutokea the changing guards ya type hii hapa nchini!, what is it exactly?.

Huko nyuma niliwahi kuandika na kushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! jee inawezekana haya yanayoendelea sasa ya panga pangua ndio safisha safisha?.

Na ikitokea ni kweli kuna tatizo, naendelea kusisitiza tusimlaumu yeye kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, maana na yeye ni binadamu pia na sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tuendelee kumpa muda wa kutosha kabisa, na hata ikifika 2025 nyumba yetu ikawa bado haijakaa sawa, tumpe mitano tena ili akamilishe, anakwenda kutupatia katiba mpya.

Paskali

Cc. britanicca
Makosa ni yake na kama anatengua watu kwa majungu na hear say hilo la kwake abebe mwenyewe. Pascal unajua vizuri sema umeamua kuwa sarcastic tu kujifurahisha, kuchocheana kwingi sana Tanzania
 
Mimi naweza kusema yafuatayo kizalendo kabisaa!
1. Tuna changamoto kwenye mifumo yetu ya kuamini kwamba individuals as individuals wanaweza kutupa, kudeliver kile tunachotamani. Yaani tunadhani management na CEO wanaweza kufanya taasisi ikafanya vizuri katika majukumu yake. Kumbe kinachotakiwa kufanywa na kutengeneza mfumo wa chombo ili kila dereva aweze kukimudu.
2. Tunaamini sana firing and hiring. Tunatafuta malaika? Kwanini tusitatue tatizo badala ya kutatua watu?
3. TISS imekuwa kama TRA, TTCL, DART,TANESCO, NCAA,Polisi Tz na Wizara ya Maliasili na Utalii. It is either becoming too big to manage or something else.
4. Hakuna tatizo kwenye vetting. Ni vetting gani kuubwa tungehitaji wa watumishi wa idara wa Muda mrefu kama Balozi Siwa na wengine walioondoka? Vetting kubwa ni kwa mawaziri ambao hata Uraia wao sometimes unakuwa na mshkeli.
5. Tunachukulia poa watu wa chini kabisa tukiamini kila wakati tatizo ni CEO na menejimenti. Watendaji huku chini wakoje? Wako na wewe?
Hoja Na 3 inafikirisha na kinadhalilisha sana
 
Kuna struggle ya madaraka ndani ya CCM. Niliwahi kusema kuwa SSH finaly amepata timu itakayo msapoti 2025.

Nayo ni iliyokuwa timu Lowasa wakiongozwa na comrade Nchimbi. Lakini pia wanaweza ku 'gang up' na wazalendo wa awamu ya JPM kuhakikisha vijana wa mjini wanawekwa kwapani once and for all.

Ile safisha safisha JWTZ na sasa huko kwa hao wasiojulikana inaweza kuwa na malengo ya kudhoofisha mtandao wa akina fulani.
 
Vyombo vya Ulinzi na Usalama always vinapaswa kufanya kazi kwa maslahi ya nchi tu and not otherwise!

Shida iliyopo hapa nchini ni Wanasiasa kuona vyombo hivi ni sehemu ya kukidhi mahitaji yao.

Duniani kote, Wakuu wa hivi vyombo wanaandaliwa. Kuna kuwa na succession plan. Na huwa hata wao wa ndani wanajua kuwa akitoka huyu anafuata huyu.

Sheria ya TISS nakumbuka kipindi cha mkapa ilisema Director atakaa miaka 10.

Mkapa alijua umuhimu wa mifumo pamoja na kuwa mwanasiasa ndo mana aliweka misingi ya mifumo kisheria.

Hata yeye aliserve na DGIS wake kwa miaka 10, Kikwete nae aliheshimu hilo akaserve na DGIS wake kwa miaka 10.

Shida ilianza kwa Magufuli maana alianza kukiendesha kile chombo kwa matak
wa yake. Na kwa sababu watanzania hatuna akili tuna jikuta tuna watu ambao hawajui hata unyeti wa nafasi wanazozitumikia wanaishia kulamba miguu ya wanasiasa. Nchi hii kuna professionals kabisa ambao kimsingi wanatakiwa kusimama kama professionals na wapo nafasi za ki professionals ila hawasimami ipasavyo kwa kuwaogopa wanasiasa.

Samia kaingia kwenye mtego ule ule wa Magufuli. Nae aheshimu misingi ya mifumo.

Kiuhalisia huwezi badili DGIS mara tatu ndani ya miaka 4. Hata mahasimu wako wataona kuna shida kwenye nchi yako.

Saivi TISS iko hovyo zaidi ya Polisi. Maana wao wanatakiwa kujua shida ya nchi hii ni Wanasiasa hivyo kulazimisha mabadiliko ya katiba ili wanasiasa wasiingize hii nchi shimoni.

Ila kwa sababu nao kwao kumeharibika, hivyo wapo wapo tu!
 
hautaweza kamwe kuchukua watu walioprove failure katika regime zilizopita na kuziweka katika utawala wako never ever happen pasipo kubadili mifumo basi mifumo itawafata na kuwabadili wateuliwa .

tunapaka rangi kuta mbovu na kuringishia kwa watu nyumba yetu mpya kumbe tunachechekwa nyufa zimejaaa kwenye kuta.
 
Malkia Elizabeth ii,alipo waambie wapigania uhuru wa Afrika kwamba "wanadai uhuru lakini uwezo wa kujitawala hawana" Hawa kuelewa nini alimaamisha.

Kauli kama ya Malkia Elizabeth ii,ikaja kurudiwa na Kaburu P.W.Botha kwamba "Mwafrika hawezi kujitawala"

Yanayo endelea Tanzania na nchi kadhaa za Afrika ni ishara ya incompetent ya watawala wa Afrika kushindwa kujitawala.Donald Trump alikuwa Sawa kuziona nchi za Afrika na kadhaa za Asia kama sehemu ya kutolea haja kubwa.

Tumeshindwa mambo madogo kama mipango miji,ndo tutaweza kuwa na watu intelligent kwenye idara nyeti kama usalama wa taifa? Taifa hata kujenga vyoo vya shule limeshindwa, mpaka mabeberu waje kama wahisani kujenga.

Akili ya watawala wetu iko uku[emoji116]
JamiiForums-1176904024.jpg
 
Wanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.

Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za ofisi nyeti ile, hazitaonekana kama early signs of incompetence on part of the appointing authority?.

Haijapata kutokea the changing guards ya type hii hapa nchini!, yaani ma DGIS 4 wanakuwa hired na fired ndani ya miaka 3! Haijapata kutokea! what is it exactly?

Huko nyuma niliwahi kuandika na kushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! jee inawezekana haya yanayoendelea sasa ya panga pangua ndio safisha safisha?

Na ikitokea ni kweli kuna tatizo, naendelea kusisitiza tusimlaumu yeye kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, maana na yeye ni binadamu pia na sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tuendelee kumpa muda wa kutosha kabisa, na hata ikifika 2025 nyumba yetu ikawa bado haijakaa sawa, tumpe mitano tena ili akamilishe, anakwenda kutupatia katiba mpya.

Paskali

Cc. britanicca
Vetting haijawahi kuwa kigezo kufanya kazi kwa malengo ya muajiri.

Kwa falsafa ya R nne za mama Samia tarajia mabadiliko makubwa sana, ni ngumu sana watu kuielewa falsafa hiyo.

Nakushauri usikose kwenye koingamano la "Reforms" Kiislam lenye mada za "Sealing the gaps" litakalofanyika ukumbi wa Nyerere mwezi August, utapata uelewa na ufahamu mkubwa sana wa R nne za mama Samia kuliko ulionao hivi sasa. Wahadhiri maarufu kutoka nje ya Tanzania watakuwepo.

Kwa tunaojisomea kuhusu Uislam kila siku ya Mungu, tumemuelewa sana Mama Samia kuliko wengi sana.

Hata Sheikh maarufu sana duniani Assim Al Hakeem aliyesema "siyo beer zote ni Haramu" atakuwepo:

View: https://youtu.be/s9dWxfEFcgA?si=QcC1rXBSCNM_RVr-
 
Ila haka katabia kakupenda kuvichezea vyombo vya usalama ikiwemo Idara si alikaanzisha Msukuma mwenzako, au unasahau bwana Pascal Mayalla ? Huyu Mzanzibari anaiga tu kwasababu alikuta mfumo umeshabomolewa na wanasiasa.

Msukuma mwenzako alianza kwa kumfukuza Robert Masalika Makungu aliyekuwa Deputy wa TISS na kumpeleka kuwa RAS Njombe. Chanzo ni hasira za ile Trilioni 1.5. Watanzania mkashangilia kweli, kama ilivyo kawaida yenu.

Baadaye akamkamata Mkurugenzi wa TISS, Bwana Kipilimba na kumweka chini ya kizuizi na mwishowe kumfukuzia kule Namibia. Watanzania kama kawaida yenu mkashangilia kweli, bila kufahamu Raisi Magufuli anajenga Precedent mbaya mno.

Kipindi hichi chote Msukuma mwenzako anapanga na kupangua watu ndani ya Idara kwa misukumo ya kisiasa na kutengeneza uhasama ambao tamati yake ilifika mwezi Machi 2021, wote mlikuwa mnashangilia na kusifia kweli. Wengine mlisifia kwasababu ni mtu wa nyumbani.

Huyu Mzanzibari kaingia keshakuta Idara imechafuka mno kutokana na vurumai alilosababisha Msukuma mwenzako kisa mihemko ya kisiasa ya kutamani kutawala milele kama mfalme. Alikuwa anafanya vizuri kwenye baadhi ya mambo lakini nadhani kwenye masuala ya usalama alikuwa hana ufahamu mpana na mwishowe wahuni wakamzidi karata.

Mzanzibari anaiga tu alichoona mtangulizi wake anakifanya. Mpaka siku anaondoka madarakani, tutakuwa tuna nchi ya ajabu kuwahi kutokea na sidhani kama Tanzania itakuja kurudi kuwa kama ilivyokuwa zamani. Haiwezekani na tumeshavuka mstari mwekundu.

Humo Idarani kutakuwa ni kukomeshana na kukomoana kwasababu tu. Hata huyu Bwana Mombo hatakaa muda kwenye hiyo nafasi, wewe subiria uone gemu.​
 
Ila haka katabia kakupenda kuvichezea vyombo vya usalama ikiwemo Idara si alikaanzisha Msukuma mwenzako, au unasahau bwana Pascal Mayalla ? Huyu Mzanzibari anaiga tu kwasababu alikuta mfumo umeshabomolewa na wanasiasa.

Msukuma mwenzako alianza kwa kumfukuza Robert Masalika Makungu aliyekuwa Deputy wa TISS na kumpeleka kuwa RAS Njombe. Chanzo ni hasira za ile Trilioni 1.5. Watanzania mkashangilia kweli, kama ilivyo kawaida yenu.

Baadaye akamkamata Mkurugenzi wa TISS, Bwana Kipilimba na kumweka chini ya kizuizi na mwishowe kumfukuzia kule Namibia. Watanzania kama kawaida yenu mkashangilia kweli, bila kufahamu Raisi Magufuli anajenga Precedent mbaya mno.

Kipindi hichi chote Msukuma mwenzako anapanga na kupangua watu ndani ya Idara kwa misukumo ya kisiasa na kutengeneza uhasama ambao tamati yake ilifika mwezi Machi 2023, wote mlikuwa mnashangilia na kusifia kweli. Wengine mlisifia kwasababu ni mtu wa nyumbani.

Huyu Mzanzibari kaingia keshakuta Idara imechafuka mno kutokana na vurumai alilosababisha Msukuma mwenzako kisa mihemko ya kisiasa ya kutamani kutawala milele kama mfalme. Alikuwa anafanya vizuri kwenye baadhi ya mambo lakini nadhani kwenye masuala ya usalama alikuwa hana ufahamu mpana na mwishowe wahuni wakamzidi karata.

Mzanzibari anaiga tu alichoona mtangulizi wake anakifanya. Mpaka siku anaondoka madarakani, tutakuwa tuna nchi ya ajabu kuwahi kutokea na sidhani kama Tanzania itakuja kurudi kuwa kama ilivyokuwa zamani. Haiwezekani na tumeshavuka mstari mwekundu.

Humo Idarani kutakuwa ni kukomeshana na kukomoana kwasababu tu. Hata huyu Bwana Mombo hatakaa muda kwenye hiyo nafasi, wewe subiria uone gemu.​
Kwahiyo huyu Mzanzibari mwenzako anayebadili kila siku yeye hana shida!? Kabadili wanne

Ama kweli udugu katika Imani una nguvu sana
 
Umeeleweka vyema,

Tatizo liko Kwa mtenguaji!!

Si Rahisi kumpata DIBS aliye chawa, Hilo Haiwezekani!!
 
Haijapata kutokea the changing guards ya type hii hapa nchini!, yaani ma DGIS 4 wanakuwa hired na fired ndani ya miaka 3! Haijapata kutokea! what is it exactly?

Pigia mstari maneno hayo muhimu uliyoyaandika.

Mamlaka za uteuzi zinafahamu umuhimu wa cheo hicho ?

Je inafaa apigiwe kura ya kuwa na imani naye na chombo gani?

Upandaji cheo chake ndani ya taasisi ulikuwa kupitia utumishi uliotukuka?

Kama ametolewa nje ya taasisi hiyo nyeti je huko alikotoka ataleta uzoefu unaohitajika sana ndani ya TISS

Umri wa mteuliwa nao unangaliwe, je ameteuliwa akiwa amefikia umri wa kustaafu ?

Angalau utumishi katika Polisi na TPDF huangalia wanaochukua ukuu wa majeshi hayo kutoka ndani na wale wa ngazi za juu hivyo hudumu ofisini kwa kipindi kinachotabirika kuweza kuleta mageuzi au kuimarisha taasisi, je kwa mfumo wa TISS hilo halizingatiwi ?

CASE STUDY / 'SHAMBA DARASA'
Uundwaji wa mfumo mpya ndani taasisi nyeti kupitia mkuu wake, mkuu wa majeshi ya ulinzi mstaafu jenerali Mirisho Sarakikya anazungumza :

View: https://m.youtube.com/watch?v=vOfLnZaKHV0
Sandhurst military college 1961 Mirisho Sarakikya, Kashmiri, Alex Nyirenda.....

Askari wa vyeo vya juu jeshi la KRA waliokuwa na nyota ya vitambaa siyo ya vyuma Twalipo, Musuguri

Maofisa vijana wapya Marwa, Mayunga, Kimario, Mwaisongo ...

Kitovu cha maasi kambi ya Kolito Dar es Salaam .... matatizo ya Ngara mwaka 1962, Old Shinyanga Boma, mafunzo Israeli, mkufunzi wa kijeshi Nakuru Kenya, Tabora 1963

January 1964 mutiny maasi ya wanajeshi wa KRA yalitokana na kupunguziwa marupurupu na kudai mishahara iongozwe

1964 Mwalimu Nyerere kwa uchungu sana aomba vikosi vya Uingereza kuja kupokonya silaha kwa waasi mutineers, Mwalimu ikabidi aombe wabaki kwa muda. Nyerere akaomba waingereza wabaki ... baada ya kuwafukuza askari wote walioshiriki maasi hayo. Maofisa hawakyfukuzwa kwa kuwa hawakushiriki.

Mirisho Sarakikya, mwaka 1964 akateuliwa na Mwalimu Nyerere kuwa mkuu wa majeshi akiwa na umri wa miaka 30 huku akiwa hana jeshi wala askari hata mmoja ....

Ulikuwa mzigo mzito kuunda jeshi upya lakini ndiyo jukumu alilopewa Mirisho Sarakikya ....
 
Wanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.

Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za ofisi nyeti ile, hazitaonekana kama early signs of incompetence on part of the appointing authority?.

Haijapata kutokea the changing guards ya type hii hapa nchini!, yaani ma DGIS 4 wanakuwa hired na fired ndani ya miaka 3! Haijapata kutokea! what is it exactly?

Huko nyuma niliwahi kuandika na kushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! jee inawezekana haya yanayoendelea sasa ya panga pangua ndio safisha safisha?

Na ikitokea ni kweli kuna tatizo, naendelea kusisitiza tusimlaumu yeye kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, maana na yeye ni binadamu pia na sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tuendelee kumpa muda wa kutosha kabisa, na hata ikifika 2025 nyumba yetu ikawa bado haijakaa sawa, tumpe mitano tena ili akamilishe, anakwenda kutupatia katiba mpya.

Paskali

Cc. britanicca
Ishu sio vetting bali malengo ya mteuzi anataka Nini!

Ukiwa mzalendo kuliko mteuzi ni tatizo na ukiwa hutimizi matakwa yake binafsi ni tatizo!!

Vetting sio ishu kabisa kama ishu ni uzalendo !coz uzalendo upo kwenye maamdishi ni kufuata kitabu TU Cha maono ya nchi!

Tatizo ni pale mzalendo anapoenda kinyume na matakwa ya mteuliwa!!

Ni hayo TU,pia taarifa zenye mkanganyiko poa zinasumbua mteuzi!!
 
Wanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.

Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za ofisi nyeti ile, hazitaonekana kama early signs of incompetence on part of the appointing authority?.

Haijapata kutokea the changing guards ya type hii hapa nchini!, yaani ma DGIS 4 wanakuwa hired na fired ndani ya miaka 3! Haijapata kutokea! what is it exactly?

Huko nyuma niliwahi kuandika na kushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! jee inawezekana haya yanayoendelea sasa ya panga pangua ndio safisha safisha?

Na ikitokea ni kweli kuna tatizo, naendelea kusisitiza tusimlaumu yeye kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, maana na yeye ni binadamu pia na sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tuendelee kumpa muda wa kutosha kabisa, na hata ikifika 2025 nyumba yetu ikawa bado haijakaa sawa, tumpe mitano tena ili akamilishe, anakwenda kutupatia katiba mpya.

Paskali

Cc. britanicca
Nt

Tatizo la nchi ni vetting
Mamaa Alisahau sana akachagua kwa

1. Kufuata ushauri wa waliokuwa wamewekwa kwenye kona na Kato, akashindwa Kufuata taratibu za kuchagua na sifa kamili za watu, mfano, watu wote ambao walipumzishwa na mwenzake aliyetangulia wote aliwarejesha kwenye nafasi kwa huruma tu, akidhan alivyokuwa anafanyiwa yeye kama makamu labda nao walinyanyaswa vile vile

2. System yetu ya Usalama wa Taifa imeanza kuishiwa nguvu! Suala la Uchumi bora, madaraka na Teuzi Inabidi Vetting ifanyike screening ya kutosha kabisa kujua nani ashike nafasi gani, Lakin imekuwa ni shida nao hawako Makini, tumeshuhudia siku kadhaa hadi marehemu yuko kwenye Mkeka, Tumeshuhudia mama anateua usiku kabla ya kuhapisha anatengua muda huo huo , na Wengine akiwapangia vituo marambili, kwa kifupi naona vetting ya Muhimu na Maana iliisha kipindi cha Mkapa Lakin hawa wengine wanaweka washkaji zao au marafiki wa marafiki zao kwa kutegemea fadhila au kwa kulipa fadhila za waliyofanyiwa,

3. Mheshimiwa anasema alikuwa hajajiandaa kuwa Rais , hii kauli ameitamka Mara 4 public , na imefika hatua akawa hajiamini Kama ndo Rais hata hivo kwenye kuchagua lazima achanganye mafaili sana sana yan, hivo Inafika hatua inabidi afuate ushauri wa majambazi kadhaa ndani ya system kwamba amchague fulan na Fulan ndo wa zuri kumbe ni madaraja Yao ya upigaji,

4. Pale Ikulu pamevuja sana taarifa za nchi kugeuzwa geuzwa, ndo maana amewaondoa wote akina Yunusu, kisa walitoa Siri moja nyeti ambayo haikupaswa kutoka, wakaja wana usalama kadhaa nao kawatoa, sasa pia akaona Kama anahujumiwa na usalama akatimua mkuu wao, niliandika kuhusu kwamba atatimuliwa week kadhaa nyuma na ametimuliwa,

Britanicca
 
Back
Top Bottom